Nyani Ngabu na wenzake wanaelekea kushinda.

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Nguvu walio nao wakina Nyani Ngabu inaonekana dhahiri jamaa wamejipanga kikamilifu watashinda haya maneno ya Membe hayawezi kuwazuia kama kuwepo wameshaingia na wanakimbiza ile mbaya kitaa.Soon kwa ushawishi mkubwa alionao NN hapa JF atapendekeza wapewe jukwaa lao,na,watapewa.
 
Andika maada ueleweke...plz andika kama great thinker mkuu,...sijakuelewa unamaanisha nini
 
anadai kuwa mashoga watapewa haki zao hapa Tanzania, na JF watapewa jukwaa lao. upo hapo
 
sitaki ushahidi nalog off kabisa?
 
Yaani mzee wa 'Miafrika Tulivyo' anahusishwa na u-cameroon, anyway nasubiri msimamo wake...
 
Kama haya siyo ya kweli, basi unaweza kuwa ni udhalilishaji wa mwaka huo kwa upande wa mkuu Nyani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom