Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Habari zinazoingia sasa ni kwamba yule mwanachama mwenzenu ajulikanaye kama Nyani Ngabu amekufa mapema alfajiri leoo hii kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitafuata baadaye.....
Habari zinazoingia sasa ni kwamba yule mwanachama mwenzenu ajulikanaye kama Nyani Ngabu amekufa mapema alfajiri leoo hii kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitafuata baadaye.....
Bora afe hasaa!
R.I.P
nini maana ya user name?tusikurupuke kupuuzia...
Hii kitu imetokea eneo gani(Muungwana anapenda sana kwenda S.W.A.T na Bankhead).....car jacking, robbery, drive by fumanizi au?
nini maana ya user name?
nini nafasi ya password
amefariki lakini kawahi kutuma posti yake hapa...
Habari zinazoingia sasa hivi ni kwamba Bwana Nyani Ngabu alikuwa kwenye starehe na rafiki zake watatu wa kike ktk eneo la Camp Creek Market Place, ukatokea ugomvi kati ya mmoja wa madada aliokuwa nao na mtu ambaye identity yake haijatambulika. Kama ilivyo kawaida ya ndugu yetu Nyani Ngabu, hakuweza kuvumilia na akaingilia kati ugomvi huo........
Aaaah kumbe kafa kimapenzi?...
Wewe ndugu yake! mkuu huwezi kutumia signature ya ndugu yako aliyekufa unless wewe mwenyewe ni fisadi wa JF..kwa nini usitumie jina lako mwenyewe mbona unapenda kudandia migongoni..
nini maana ya user name?
nini nafasi ya password
amefariki lakini kawahi kutuma posti yake hapa...