Nyani Ngabu Kafa!!!!

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,861
106,010
Habari zinazoingia sasa ni kwamba yule mwanachama mwenzenu ajulikanaye kama Nyani Ngabu amekufa mapema alfajiri leoo hii kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitafuata baadaye.....
 
Last edited by a moderator:
Habari zinazoingia sasa ni kwamba yule mwanachama mwenzenu ajulikanaye kama Nyani Ngabu amekufa mapema alfajiri leoo hii kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitafuata baadaye.....

mhhhhh jama?

na huyu aliyepost ni yupi?

dcfrmb.jpg
 
Hii kitu imetokea eneo gani(Muungwana anapenda sana kwenda S.W.A.T na Bankhead).....car jacking, robbery, drive by, fumanizi au?

Kuna uhusiano wowote na tukio hili
image_7121277.jpg
 
Hii kitu imetokea eneo gani(Muungwana anapenda sana kwenda S.W.A.T na Bankhead).....car jacking, robbery, drive by fumanizi au?

Habari zinazoingia sasa hivi ni kwamba Bwana Nyani Ngabu alikuwa kwenye starehe na rafiki zake watatu wa kike ktk eneo la Camp Creek Market Place, ukatokea ugomvi kati ya mmoja wa madada aliokuwa nao na mtu ambaye identity yake haijatambulika. Kama ilivyo kawaida ya ndugu yetu Nyani Ngabu, hakuweza kuvumilia na akaingilia kati ugomvi huo........
 
Aaaah kumbe kafa kimapenzi?...
Wewe ndugu yake! mkuu huwezi kutumia signature ya ndugu yako aliyekufa unless wewe mwenyewe ni fisadi wa JF..kwa nini usitumie jina lako mwenyewe mbona unapenda kudandia migongoni..
 
I'm on it like a wet paint....
 
Aaaah kumbe kafa kimapenzi?...
Wewe ndugu yake! mkuu huwezi kutumia signature ya ndugu yako aliyekufa unless wewe mwenyewe ni fisadi wa JF..kwa nini usitumie jina lako mwenyewe mbona unapenda kudandia migongoni..

Kwa taarifa yako, Nyani Ngabu mara zote huwa ame log in. Hata wewe ukifika kwenye makazi yake na kutumia moja ya lap top zake unaweza kubandika kwa kutumia jina lake.....
 
sasa wewe ndugu yake wa karibu baada kufatilia hali yake na kujua hatima yake unatuletea break news?

mie nnamuamini nyani ngabu ni mtu makini sasa sijui huyu anaeandika just amepata vipi password au sijui mwenyewe yuko ktk hali tusioifahamu.

ila tusubiri wakati utaweka mambo yote wazi
 
Kama mwanachama mwingine ameenda nyumbani kwake.. na kukuta jamaa ka log in na yeeye akaamua kupost tu badala ya kusubiri kujiandikisha itakuwaje? Miye niko open minded... na ninafuatilia lakini sasa hivi sipuuzii jambo lolote kwani wanadamu tunauwezo wa mambo mengi sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom