Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

Pale Iringa kulikuwa na mtu anaitwa Mwakipagate ... kuna Likopola Na Nyimbo walioteka Zainab Kitonga enzi za Kamanda Alfred Gewe.
 
Hawa wote mnaowasema walikuwa pumbavu tu hawana msaada wowote kwenye jamii zaidi ya kuumiza raia wema na kutesa watu wema.

Hawa ilikuwa ni watu tunaopaswa kuhakikisha hawatokei tena kwenye jamii yetu na sio kuwasifia na kuwafanya kama watu muhimu.
 
Hizo ndo zangu mkuu ikija issue ya kukabiliana na silaha za moto mimi natisha hata kwenye elite force yetu wananifaham. Unaweza kunifyatulia risasi nikaikwepa yani na bwaka chini kwa chini naibukia kwengine wakati bado unashangaa shangaa naibukia nyuma yako nakukuwasha konzi la hatarii kisogoni na kukunyanganya silaha kiulaini
Wee fuatisha mamuvi ya kihindi uje kufa.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Mburahati kulikuwa na mtu wa kuitwa Abdallah kuveta miaka ya tisini
kuveta mzee wa mapanga pia walikuwepo
Masoud Amekuwa Jambazi - Luhanga

Saibagi - Mburahati

Komando Yoso - Mburahati.

King Solomon - Luhanga

Hizi namba nazo zilizingua sana hiyo mitaa . Hapo wote wamekufa kasoro huyo komando Yoso member bado yupo hai nafkir ndiyo maana jina limefichwa.

Wakati tunakua hayo majina lazima uyajue ktk hiyo mitaa.

Kuna movie moja inaitwa Komando Yoso ya Mtitu G inaelezea wahuni na kwa kutumia majina ya wahuni wa zamani wa Mburahati.
 
Hizo ndo zangu mkuu ikija issue ya kukabiliana na silaha za moto mimi natisha hata kwenye elite force yetu wananifaham. Unaweza kunifyatulia risasi nikaikwepa yani na bwaka chini kwa chini naibukia kwengine wakati bado unashangaa shangaa naibukia nyuma yako nakukuwasha konzi la hatarii kisogoni na kukunyanganya silaha kiulai
Wewe movie zitakua zimekuvuruga ubongo..
 
Kuna mwamba pale morogoro nimemsahau jina ila ilikua miaka ya 98 jamaaa alitikisa hatari walikuja kumuua pale soko kuu moro baada ya watu kuwatonya askali jamaa alikua anakuja dar wakamkuta kwenye abood akaruka ndo akaanza kukimbizana na maaskari lakini alaiua asikali wawili nae ndo kufika soko kuu wakampiga ..dah yule mwamba hua sisahau ilikua km movie maana tulikua ndo tunaenda shule milio ya risasi ilikua inalia km tuko ukrain hatari sana.

Dah! Mkuu huyo mwamba ni kaka angu jina lake anaitwa Rashid selehe makupa aka NDANJE na alipanda islam cku iyo ilikua mwaka 1999 niko darasa la 4
 
Hakuwa na roho ya huruma, nyokaa ibilisi alimsukuma.

Nimemkumbuka Chindo man kwenye ngoma ya nyokaa
 
Jambazi hafikishi miaka 40 labda astaafu.
Labda jambazi anayenunua behewa moja kwa bilioni mbili na ushee.
 
Back
Top Bottom