Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

Umsogelee mtu ana cha moto.
Hizo ndo zangu mkuu ikija issue ya kukabiliana na silaha za moto mimi natisha hata kwenye elite force yetu wananifaham. Unaweza kunifyatulia risasi nikaikwepa yani na bwaka chini kwa chini naibukia kwengine wakati bado unashangaa shangaa naibukia nyuma yako nakukuwasha konzi la hatarii kisogoni na kukunyanganya silaha kiulaini
 
Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi.

Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk.

Kwa umafia wa kibabe nilijiridhisha pasipo shaka kuwa Kenonke wa Nyamongo alikuwa ni habari nyingine, Jombi anashika namba mbili , Nyokaa alikuwa ni hatari kwa mazingira yake lakini hakuwafikia hawa wawili.

Njia pekee ya kummaliza Kenonke ilibidi jeshi la polisi- liombe msaada kutoka wenzao wa JWTz, pamoja na kupata intelijensia kutoka kwa watu wake wa Katibu.
Huyo Mkurya ni mchumba tu.
1. Hakupelekwa Ikulu kuonana na raisi
2. Hakuharibu uhusiano wa kimataifa
3. Hakuisababishia nchi ifutiwe misaada.
 
Hao wote cha mtoto

Kule Mbeya miaka ya 2000 mwanzoni mitaa ya Nonde kuna jamaa alikua anaitwa Kaburi. Mchana anavaa suti kali ila night popote akikukuta akitaka mazaga haongei mara mbili ukizingua unachezea vitasa na kifo. Alikua anajua karate na anajua kutumia silaha.

Inasemekana alimuua mpaka mama yake mzazi, alimtia mimba mke wa mdogo wake na hakuna ndugu aliyeongea chochote. Alikuja kuuwawa na wananchi baada ya kumchoka. Alizikwa mchana, usiku raia wakaenda kufukua kaburi ili kujihakikishia kama amekufa kweli, ilibidi waukate kate vipande vipande mwili wake kwa hofu asije akafufuka akaendeleza balaa lake.
 
Dan
Kuna mwamba pale morogoro nimemsahau jina ila ilikua miaka ya 98 jamaaa alitikisa hatari walikuja kumuua pale soko kuu moro baada ya watu kuwatonya askali jamaa alikua anakuja dar wakamkuta kwenye abood akaruka ndo akaanza kukimbizana na maaskari lakini alaiua asikali wawili nae ndo kufika soko kuu wakampiga ..dah yule mwamba hua sisahau ilikua km movie maana tulikua ndo tunaenda shule milio ya risasi ilikua inalia km tuko ukrain hatari san

Kuna mwamba pale morogoro nimemsahau jina ila ilikua miaka ya 98 jamaaa alitikisa hatari walikuja kumuua pale soko kuu moro baada ya watu kuwatonya askali jamaa alikua anakuja dar wakamkuta kwenye abood akaruka ndo akaanza kukimbizana na maaskari lakini alaiua asikali wawili nae ndo kufika soko kuu wakampiga ..dah yule mwamba hua sisahau ilikua km movie maana tulikua ndo tunaenda shule milio ya risasi ilikua inalia km tuko ukrain hatari sana.
Alikua anaitwa ...ndanje...ni noma huyo mwamba...kama unasikilizaga mchiriku..jaguar music wanamtajaga sana maza ake na ndanje...mama ndanje.
 
Huyo Mkurya ni mchumba tu.
1. Hakupelekwa Ikulu kuonana na raisi
2. Hakuharibu uhusiano wa kimataifa
3. Hakuisababishia nchi ifutiwe misaada.
Bujii...unamjua mwasimba?
Halafu ..unamjua kaka yangu mwamajuja?
Je unamjua Ray alikua stand kuu? Ana tatoo ya mamba imeanzia begani hadi kwenye kiuno mgongoni?

Mwamajuja na jombi ni upepo mmoja,.....
Kuna askari alilishwa mkate mzima na mwingine
Hadi akafa
 
Kuna mwamba pale morogoro nimemsahau jina ila ilikua miaka ya 98 jamaaa alitikisa hatari walikuja kumuua pale soko kuu moro baada ya watu kuwatonya askali jamaa alikua anakuja dar wakamkuta kwenye abood akaruka ndo akaanza kukimbizana na maaskari lakini alaiua asikali wawili nae ndo kufika soko kuu wakampiga ..dah yule mwamba hua sisahau ilikua km movie maana tulikua ndo tunaenda shule milio ya risasi ilikua inalia km tuko ukrain hatari sana.
Kwenye hiyo abood alipanda na demu wake mmoja hivi, mkalii sana...totoz ya maana...alikua anashare na brig.general mmoja hiv ambaye alishawah kua C.O wa smh moro......iilikuaga kisanga kimoja hatari sana..kama movie la kihindi vile
 
Back
Top Bottom