Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Nashukuru mkuu amani kwako pia.kwa mara ya kwanza nimpependa comment yako.ila sina iwezo wa kukupa like kwa simu hii mchina!
Nashukuru mkuu amani kwako pia.kwa mara ya kwanza nimpependa comment yako.ila sina iwezo wa kukupa like kwa simu hii mchina!
Kufuatilia habari za watu kama hizi hapa? Maana wakati anadanganya kwenye stori hii nilikua nae pale Rombo Green View Hotel ambako waandishi wa habari hii walikuja pale tukakaa siku 3 kabla ya story hii haijachongwa.Sasa aje hapa awaeleze watu kama kweli yeye ni daktari.Soma hapa Sababu ya kutokuendelea : Daktari atishiwa kuuawa - wavuti.comNasikia makao makuu pale chadema hana kazi yoyote zaidi ya kufuatilia habari za watu hasa zito bahati nzuri zito kaaga kwao tusingekuwa naye sasa chadema inakufa sijui ataishi vipi huyu kijana kazoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi.
Attention seeker.....!
Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.
Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua
Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara
Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade
Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa
Grow up!
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,
Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.
only for my safety
Dr.Mo ,
Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!
Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute
Ifike wakati wanasiasa vijana kama huyu wapewe uhuru wa kufanya siasa siyo wazee kama mzee slaa kuwatisha na kuwabania.
Lakini ni vema tukaendelea kumpa ushuri bado kijana sana hawa anaowaegemea ni wazee sana wataondoka na kumuacha kama ratiba ya kutoka duniani itafuata kanuni ya umri lakini pia anaowafanyia kazi za ushushushu hawatakuwa viongozi milele ajue hilo.Ben anaweza kuishi maisha yake tatizo ni pale anapokubali kuwa kondomu. Na siasa yetu ya bongo ni kijinga sana kwakuwa ukimtukana mtu mwenye heshima katika jamii ndio mtoko wenyewe huo.
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Attention seeker.....!
Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.
Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua
Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara
Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade
Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa
Grow up!
Nani kakwambia kuwa mimi natafuta uongozi wa kisiasa pole bangi za kuvutia chooni hizo mkuu.wewe mbona umenywimwa hata ubalozi wa nyumba 10 ?
kama ndiyo hivyo ,nyie vilaza tu mnakesha mitandaoni kuwapumbaza mabwana zenu wajione wanapendwa kumbe munawapeleka kuzimu.wala hamna habari ya kinachoendelea mikoani.ninyi kwenu tanzania ni arusha tu,endeleeni kujipumbaza mwishowe mutathibitisha ujinga wenu.
Sasa naanza kuwa na mashaka hii teamZittoThis is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Nimeipenda hii coment.Mbona umewaka sana baada ya kutajwa kibabu??wewe ndiye josephine mshumbushi nn??
Acha kujipendekeza kwa wanaume wenzio..shaur yako
Kwa kifupi ni kama Dr Slaa tu
Kwa kifupi ni kama Dr Slaa tu