Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Mkuu mbona kama vile wang'oa meno nilisikia walitajwa na gazeti moja lililofungiwa, au kuna wengine?
 
G. Nyakarungu = NJAA KALI hivi unajua unadhihaki jeshi kujiita Brigedia umepewa u brigedia na nani?

Unamuonea.Yaani anakurupuka na kujipa title tu

Hana tofauti na akina
Idi Amin walijitungia
title kishamba.Eti

"His Excellency,
President for Life, Field
Marshal Al Hadji Doctor Idi
Amin Dada, VC, DSO, MC,
Lord of All the Beasts of the
Earth and Fishes of the Seas
and Conqueror of the British
Empire in Africa in General
and Uganda in Particular"
 
He he he, wee naye ni nani ndani ya chama?

Mna viranga nyie, mtu anajitisha afu anaenda kushtaki mwenyewe. Ni sawa na kujiandikia barua.
 
Kaka hakuna kucheka nao make wameonekana siyo watu wakileta ujinga waletee upumbavu kwa nini uhuru wa kuongea ukosekane wewe umetoa tamko kama anaona baya kwa nini asiende kutoa la kwake akipinge kwa hoja kuliko kukutishia maisha.

Walizoea sana kutisha watu lakini kaeni mkijua kizazi cha leo siyo cha kutisha hata kidogo lazima uwazi na ukweli kwenye vyama uwepo wala siyo nguvu tena.
Iambie kwanza serikali ya ccm iweke wazi huu mgao wa umeme ni kwamba TANESCO WANADAIWA SANA NA PANAFRICA ENERGY KUTOKANA NA UMEME SONGAS UNAOIUZIA TANESCO sii matengenezo ya mitambo ya gesi
 
Eti na wewe unajiita mwanasiasa,kwa huu umaarufu wa kijinga? hizo porojo wapelekee misukule wenzio pale lumumba.
 
Hajawahi kuwa na uhai wa kisiasa

Usije ukanitapikia bure kwa hamaki zako na mapovu yako ben. Hajawahi kuwa hai au ni hai hilo halinihusu kinachonifanya niguswe ni usalama wake kuwa hatarini. Mwigamba si mlimpiga matofali sasa mtashindwaje kwahuyu? Sumu, mawe,risasi, kuwategeshea wenzenu ajali za barabarani n.k. Hayo mmeyafanya nyie ebo! Nyie mmeishiwa na utu kabisa.
 
Iambie kwanza serikali ya ccm iweke wazi huu mgao wa umeme ni kwamba TANESCO WANADAIWA SANA NA PANAFRICA ENERGY KUTOKANA NA UMEME SONGAS UNAOIUZIA TANESCO sii matengenezo ya mitambo ya gesi
Na wewe upo kwenye kikosi cha kuwinda watu kwa sasa mko na nani?
 
mkuu harakati hizo ni muhimu kwa ustawi wa demokrasia ndani ya taifa letu.wala usikatishwe tamaa na waoga hao.tuko pamoja sana ktk hili na tunasubiri kwa hamu kubwa harakati hizi.hatuwezi kukaa kimya kinyonge na kuwaachia wachache taasisi hii wakati watu wamepoteza ajira zao kwa ajili ya chadema,watu wamepoteza maisha na kuacha familia zao kwa ajili ya chadema.chadema tumeijenga sote na ikibidi kuibomoa pia tutashirikiana kiroho safi kabisa ili iwe fundisho kwa wachaga wengine wenye tamaa za madaraka.

Hivi Zitto ni mchagga? Kibosho au machame?
 
Ifike wakati wanasiasa vijana kama huyu wapewe uhuru wa kufanya siasa siyo wazee kama mzee slaa kuwatisha na kuwabania.

Kamuulize kinana mzee wa vipusa na mangula walisahau nini katika siasa hadi ikawabidi warudi?
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

una miaka mingapi? Jaribu kutanzama familia yako utaifanyia nini then taifa, slaa na mbowe wamewekeza kwa muda sana ta wewe uanaharakati wako ujaanza alaf unaleta utani watakupoteza na hakuna atakaye kusaidia.
 
Unamuonea.Yaani anakurupuka na kujipa title tu

Hana tofauti na akina
Idi Amin walijitungia



title kishamba.Eti

"His Excellency,
President for Life, Field
Marshal Al Hadji Doctor Idi
Amin Dada, VC, DSO, MC,
Lord of All the Beasts of the
Earth and Fishes of the Seas
and Conqueror of the British
Empire in Africa in General
and Uganda in Particular"


muda si mrefu utakimbia humu,mark mwa words.....dogo umeharibu u dont seem kubadilika

eti mwanamapinduzi njaa kali
 
Ifike wakati wanasiasa vijana kama huyu wapewe uhuru wa kufanya siasa siyo wazee kama mzee slaa kuwatisha na kuwabania.

Ben mwenyewe alitoka kisiasa na kujipatia umaarufu jf' kupitia kuwachafua viongozi wake ila amekuwa salama kwakuwa kamtukana mtu asie na kinyongo ila kwa Slaa na Mbowe hawa wananuka wanadamu za watu.
 
Dr.Mo ,

Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!

Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute
Ben umekuwa kibaka hii michezo ya kuvua watu nguo mmeanza tena ile ya kuwapa watu sumu haitoshi mpaka muanze na kuvua watu nguo nyie shetani kweli mungu tusaidie waonde hawa watu.
 
Back
Top Bottom