AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
Preta nimependa saana ujumbe wako... Ila mimi ni moja ya watu ambao naamini katika living the moment HASA katika mahusiano ambayo future yake kila mmoja hudhania jinsi itavyokuwa as opposed kujua ukweli kuwa itakuwaje (yaani kama for the better or worse).
Alafu ukiwa katika mahusiano yenye amani na mapenzi thabiti ile nuru ya furaha yako mara nyingi inapenya kwa wengine... Unaweza usiseme lolote but unaonekana mtu ambae una amani na furaha kwa kiasi kikubwa. Na sababu mara nyingi hatima ya mapenzi ni kuzoeana na kuwa hali ya kawaida saa ingine hata kuachana; ni heri kubanana na ile hali na furaha uisikiapo mwanzoni... Ila sio to the extent iwe matangazo... Lol.