Nukuu Ya Leo....

Nukuu Ya Leo....

kuna jamaa mmoja mzee wa upako anasemaga

TUTAKWENDA KUPANGA MIPAAANGOOOOO ITAKAYOPANGIKAAAAA....!sijui kwa nin nimemkumbuka baada ya kuisoma thread hii maridhawa
 
Watu  bwana sema kwa kuwa aliye post ni mtoto wakike hata sishangai Mx
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Mwe!!!
 
wee Preta unamatatizo you are a naught girl, why mentioned Yaeda Chini off all the places in Tanzania? vilevile umetembea tembea
 
huko ndio yaeda chini kwenyewe majina ya vijiji watu kama kina nape hawawezi kujua huko nilipofika huko kutoa huduma ya kijamii kwa mara ya kwanza niliulizia wa walionipeleka kuwa je kikwete anafahamu na hii ni sehemu ya jamuhuri ya muungano.
 
karibu sana Yaeda switiiiiiii......
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Hahahahah! tena ukijaona muona huyo anayempigia kelele kilivyo kibovu utashangaa! Kha1:lol::lol::lol:
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Hahahaha kuna aliyekupigia kelele nini.........................?:lol::lol::lol::lol::lol:
 
karibu sana Yaeda switiiiiiii......

asante nitarejea tena huko muda si mrefu, ila nilielezwa majangili wapo kwa sana siku hz, vp mali za wajerumani bado zipo? kulikuwa na njia yao kubwa kutokea kanda ya ziwa, na walifukia mali nyingi sana, halafu waambie wale wahadzabe waache uvivu na kuwathamini sana wazungu bana.
 
Heeey Preta...i guess umeachwa/umemuacha mwenzio anaringa mtaa mzima kumpata!!

Pole...

ndio mana wanasema.."ukiona umependwa ujue kuna f.a.l.a kaachwa, na ukiona umeachwa ujue kuna mjanja kapendwa....ndio game la mapenzi linavyokwenda.
 
nimekupendaje hapo kwenye blue maee......
 
Kuna mipango haipangiki.wala nini,lol. Yaani ni full magumashi mwanzo mwisho. Hata mzee wa upako umpe sadaka vitz, haipangikiiiiiiiiiiiii

Back
Top Bottom