Nukuu Ya Leo....

Im sure hajaachwa, amedolishiwa tu.
Afu ikamuingia kumoyo. Lol
mzima lakini wewe?

Yaaaaaawnnnnn mi mzima King'asti....mbona mapema hivyo!??

:focus: Hakuna kudolishiwa zis dayz, "Ukiona unapendwa sana, ujue kuna mjinga kaachwa..."
 
Last edited by a moderator:
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

hahahaha! Sawa preta.
 
Kuna mipango haipangiki.wala nini,lol. Yaani ni full magumashi mwanzo mwisho. Hata mzee wa upako umpe sadaka vitz, haipangikiiiiiiiiiiiii

ahahahahahahah!......

kushindana watashindanaaaaaaa lakini HAWATASHINDAAAAAA.....

TUNAKWEENDAA KUVUUUUNAAAAAAAA VITAKAVYOVUNIKA
 
*&%##$^*........:loco:
Confused confusions confusized my confused fuses and make my day hectic....but....but the young unknown Preta.......!!!...is Brat!.. yes let me call you da Brat(mtundu)
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
Mbona wazo lako la leo limejaa jazba?
 
Back
Top Bottom