Nukuu Ya Leo....

Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Bora shetani unayelala nae kuliko malaika mnayepishana njiani............................umenena mama

Sent from my redberry.........
 
unaweza kukuta ni jehanamu kuliko ulikotoka atiii
Hii ndio ngoma aliyokuwa ameisindikiza Kamanda Barlow saa 8 usiku nyumbani kwake!! eti huyu ni Mwalimi kha!!

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
kwikwikwiwkiwkwikwiwwkm leo vipi shost
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....sawa jamani....?
Ukiwa na mwanamke mwenye matatizo kama umejitwisha gunia la miba au misumari ukafanikiwa kulitua na kupata mwanamke afadhari lazima upige mayowe vigelegele na shangwe.
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Kiru! asee!
 
Back
Top Bottom