NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Hata waliofanya field pale wanasema the same things,unakuta department nzima mkristo Mmoja au hakuna HATa

Kama unabisha nenda pale makao makuu mida ya sala Ijumaa uone kama utapata wa kukuhudumia. Iko wazi kwamba pale nafasi za kazi hutolewa kwa misingi ya udini.
Ova

TANESCRO dogo 1 alifanya field mwez wa ramadhan, department nzima wakawa wanamcheka kwnn anafunga. Ale tu kama wao coz he was muslim and the rest were christians. Say a word.
 
Wagalatia wa Tanzania wana roho mbaya kuliko wagalatia wowote duniani, ndio maana wamekuwa majizi sugu hayana khofu hata ya mungu

Mkuu roho mbaya hii waliyonayo imeanza zamani. Huu

wizi ni kurithishana tu, wameiba na kufilisi sana mashirika ya umma. Mimi naona ufisadi uliofanyika wakati wa

Nyerere ni mkubwa zaidi ya huu. Unapouwa shirika moja tu maana yake unaleta athari kubwa kwa taifa, mfano ajira

nyingi sana za wananchi masikini zinapotea hatimaye wanabaki ombaomba, serikali inakosa kodi ambayo ingesaidia

kununua dawa au kujenga shule. Ni mashirika mangapi yamekufa?, ni wananchi wangapi walikosa ajira? Hawa watu

wanamakosa sana na ninauhakika ipo siku watajibu haya madudu wanayotufanyia.
 
Udini upo na nitatizo ...both christians and muslims top leaders wa mashirika na taasisi za umma ndiyo wana intertain....nimewahi fanya project na ifakara health institute bagamoyo .............nenda ukajionee mwenyewe au pitia tovuti yao then utabaini kuna tatizo la udini.....

Ila tukiangalia hilo , tutaishia pabaya....
 
E bwana hizi habari ni za kweli kabisa, na huu ni mwongozo toka mamlaka za juu. Ni ngumu sn kupata kazi pale ikiwa si muislamu, hili mbona linajulikana wazi kabisa

Wakuu vema tusimpuuze mtoa hoja, Lisemwalo lipo kama halipo ... jiulize ni mara ngapi umesikia kuhusu udini katika shirika hili? kwa nini mara zote ni NSSF?

Viongozi watupe majibu na wasijaribu kufunika.
 
Wakuu vema tusimpuuze mtoa hoja, Lisemwalo lipo kama halipo ... jiulize ni mara ngapi umesikia kuhusu udini katika shirika hili? kwa nini mara zote ni NSSF?

Viongozi watupe majibu na wasijaribu kufunika.

Right question always lead to right answer.

Hivyo hivyo uibuaji wa hoja nzuri yenye mantiki na uhalisia hupelekea uibuaji wa hoja nzuri zaidi yenye mantiki na uhalisi katika kuijibu hoja ya kwanza.

Hapa ndipo pia weredi wa mtu huonekana, tofauti na hivyo mtu huonekana kituko.

Hivyo basi, mara nyingi tunaonekana wajinga na wapumbavu kutokana na maswali TUNAYOULIZWA hasa pale tunapoamua kuyajibu.

Ili kujihifadhi na huu ujinga ni vyema tukajiepusha na hoja za kipuuzi.

Tujikite katika kujibu only right questions and right arguments.

Unadhani hoja ya mleta mada inaweza tolewa majibu na mwerevu????????????????

Nijibu tafadh-dhali.
 
niulize swali,ukristo au uislamu wa mwenzio una msaada gani kwako?utakuta mahala kuna wafanyakazi 10,7 kati yao ni waislamu,utasikia wakristo wanalalama ooh udini,sasa mlitaka muwe sawa ili mcheze mechi au?
 
Kutenga sehemu ya kuswalia ndio udini!!!, waislamu tunatakiwa kuswali mara tano kwa siku, sasa kama msikiti upo

mbali tufanyaje??? Kama hoja ni kuwa na idadi ya waislamu wengi kuwa ndio kisingizio cha udini basi nchi hii ni ya

udini kweli kweli hasa ukristo, maana hakuna taasisi yoyote ya umma yenye waislamu wengi zaidi ya wakrisro... ni

ukristo ukristo ...kila taasisi.
Idadi ya Wakistoni karibia ni Mara 10 ya waislam hivyo kila kitengo ni haki wakristo wawe wengi zaidi ya Waislam.
 
Wakuu vema tusimpuuze mtoa hoja, Lisemwalo lipo kama halipo ... jiulize ni mara ngapi umesikia kuhusu udini katika shirika hili? kwa nini mara zote ni NSSF?

Viongozi watupe majibu na wasijaribu kufunika.

na katika hayo mengine ulio ambiwa kama TRA na TANESCO
 
Some times yes,Some times no. Embu leteni ushahidi jamani.

Ingia website ya BOT angalia Mwalimu Nyerere Scholarship Fund. Katika orodha ile hakuna mtoto hata mmoja wa kiislam. BOT ni taasisi ya umma tena ya Muungano. Tuseme hakuna mtoto wa kiislam aliye na sifa ya kupewa scholarship zile?. Kisha woote mnaonadi udini wa NSSF tuambieni ratio za waislam na wakristo kwenye wizara, BOT, Tanesco, TPDC, PPF, PSPF. Watendaji wa kikristo hutangaza scholarship za kiserikali kwenye makanisa badala ya public media.
Muhongo hivi majuzi tuu amewateua wakristo tuuu kwenda kusomea degree za mafuta na gas.
 
Tunasikia huu ni mwongozo wa mkurugenzi mkuu ndio maana mifuko hii inasuasua tu

Lete data ndugu yangu. NSSF ni giant sio tu Tanzania ana compete EA. Tatizo umehemka. Serikali yako ya mafisadi inategemea ichukue fedha kutoka NSSF itekeleze miradi yake. Na wakati mwingine kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali. Sasa mfuko gani unaosua sua? Huoni mashirika yanayosua sua eee au mmeshindwa kuchota mafedha pale kupeleka makanisani katika fungu la kumi kama mfanyavyo CRDB, na kwingineko? Ndio maana kelele nyingiiii
 
Sijaona hilo tangazo la kazi jaman, kama mtu anaweza nielekeza plz help.....
Natafuta Ajira.
 
Watu wana akili mbovu sana.....kuna watu wandhani ipo siku dunia hii itakuwa ya waislamu tu! Na kuna watu wanadhani kuwa ipo siku dunia hii itakuwa ya wakristo tu! Wanajitahidi kila namna kuweza kumkwamisha au kuhamribu mtu wa upande mwingine! Sijui vigezo wanatoa wapi wakati vitabu vyao wanasoma kila siku lkn hawaelewi au wanaelewa tofauti!
Watu hata wakipata habari ya ajali atahesabu je maiti ya dini fulani ngapi na dini nyingine ngapi? Huku ni kukosa fikra sahihi! Leo kila shirika lina mkubwa na huyo mkubwa ana dini yake je tuseme shirika hilo ni la dini? Tumesahau weledi wa mtu ndiyo utamweka kwenye hiyo nafasi! Binafsi simpendi mtu anaetanguliza jina kwanza badala ya mafanikio!
Na sitashangaa mkishindwa kwenye udini mtageukia kwenye madhehebu, kama muislamu utasema mbona yule ni sunni, ahamadiya, ansar au bohora! Na kama ni mkristo utasema mbona yule ni catholic, lutherani, protestant, au batist! Kwa sababu una dhambi ya ubaguzi itakutafuna mpaka familia yako kwani utakuja kuwapenda watoto waliofanana na wewe kuliko waliofanana na mkeo!
epuka dhambi ya ubaguzi
 
Usipende kusikiliza habari za vijiweni ....subiri nafasi zikitoka na kama una sifa peleka CV yako. ......watu mnakuwa hamjatimiza vigezo na mkitimiza mnakuwa mmefanya vibaya kwenye interview halafu mnakuja hapa na habari za kuokoteza kuwa kuna udini.
Mi nna rafiki yangu amesoma vizuri hapo Tanzania na ni muislam lakini alikosa kazi nssf, sasa na huyu nae alalamike kuwa kuna udini?

Labda alikosa kwa kuwa wa islam wali apply walikuwa wengi na wenye vigezo. Wakitangaza kazi ajaribu tena.
 
Acheni uchochezi na wivu wa kike, crdb na mashirika mengine mengi tu wala haina haja ya kuyaweka kwasababu si busara kufanya hivyo yana wakristo hadi 90% hamuoni?, ila mkiona mtu kavaa hijab tu nyie mnaumia acheni hizo bana

Kutazama asilimia ya waajiriwa si kigezo pekee cha kufahamu kama kuna udini au la, wala kuangalia mavazi pia si kigezo, kwanza suala la mavazi sio la dini ila ni suala la utamaduni wa watu kama ilivyo lugha pia sio dini bali utamaduni.
 
Nyie ongopeanen tu

na hayo maproduction and operations management

kiuhalisia hayo PODSCORB sijui hayareflect kaz za operations officer ktk social security industry



giant zaman syo sasa
 
Unajadili udini karne 21,kuna vitu hatutakiwi kuvikuza bira kufanya utafiti,huyo mfanyakazi wa NSSF angekupa majina ya wafanyakazi wote wa NSSF,ILI UPIME SIO KULETA HISIA,hapo,nazani kuna baadhi ya wakurugenzi si waislam,waombeni hao majina ya watumishi wote,sio kutaka kuleta vitu visivyo na mantiki,kuna rafiki zangu huu ni mwaka wa nne na ni waislamu,wameomba kazi zaidi ya mara kumi mbona hawajapata,na wamesoma shule yza kiislam.chuo cha kiislam,na majina ya kiislamu,mbona hawapewi upendeleo,walimaliza chuo 2008,na mpaka leo hawajapata ajira NSSF,na kila interview wanakupewo hapo NSSF
TUUCHE UZUSHI HAISAIDII TAIFA HILI,maana ata NSSF WAKIKANUSHA HAMTARIZIKA,FANYENI NYIE UTAFITI,MLETE MAJINA YOTE YA WATUMISHI WA NSSF

well said.
 
Udini upo. Lakini vyema kuushadadia.

Siamini kama kuna vigezo na masharti ya udini. Muombe Mungu wako na utapata kwa kadri alivyokupangia
 
Umejibu vizuri sana ndugu... Na umeonesha kujibu hoja kwa mifano na ushahidi. Sio watu kukurupuka na kuanza kukejeli bila ufafanuzi. Ndiyo hayo ambayo mleta mada alipaswa kujibiwa.

Babu jipange kabla ujauliza sensitive ishu kama hizi,.... swali lako hali mwonekano mzuri na linaharibu sifa nzuri ya kampuni ya mfano Tanzania. maana organisation profile ipo kwenye website yao ambayo inafanya kazi! Tafadhali, ili kudhibitisha ukilaza wako, embu sema ulipataje wazo la kuuliza swali hili?
 
Udini NSSF haujaanza kupigiwa kelele leo labda kama mnajifanya viziwi,,, sio vizuri serikal kuu kupuuza habar kama hizi,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom