pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
Kwa kuwa Dau ni Muislaam, basi staff wote wa NSSF ni Waislaam?
Hiyo ni Islamophobia.
Waambie waambie!wameanza kisa DAU ni muislamu.
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
Kwa kuwa Dau ni Muislaam, basi staff wote wa NSSF ni Waislaam?
Hiyo ni Islamophobia.
Kuna Kazi zilitolewa July za operation officers mpaka leo hawajaita watu....hii inakaaje?
Lazima watu waamini hizo tuhuma.
"Mi huwa nasema ni rahisi sana kwa mtu aliyeajiliwa anayelipwa vizuri kumpuuza mtafuta ajira"
umeshawahi kutembelea branch mbali mbali za NSSF?kama bado nenda halafu utakuja na jibu Mimi mdogo wangu aliambiwa na mtoto Dada yake Dau kwamba angekuwa muislamu angempeleka moja kwa moja kwa dau apate kazi ila am not blaming maana kuna institution kibao wanajazana wakurya, wachaga hata kwenye benki za kikristo eg mkombozi maendeleo na efatha huezi kukuta muislamu
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

mkuu. Endelea kutupa nondo, nimekukubali
NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu
N:B
Mkitaka niwawekee na Mifupo mingine ya Hifadhi ya jamii tulinganishe muone jinsi Wagalatia wanavyowabania vijana wa kiislamu.
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.
Kwa kuwa Dau ni Muislaam, basi staff wote wa NSSF ni Waislaam?
Hiyo ni Islamophobia.
we ni zuzu na TRA, TANAPA nako sio mashirika ya umma?
Kuna kijana wetu ana sifa, ameshafanya application kwa kazi zilizotangazwa wiki iliyopita(deadline ya 15 Dec 2014)
Tutaleta data hapa muda ukifika.
Suluhisho hapo nafikiri ni kwa nafasi zote hata za mashirika kupelekwa sekretariati ya ajira ili kuondoa migogoro hiyo. Ila watu wa aina fulani kuwa wengi haimaanishi kwamba wanaajiriwa kiupendeleo. Mi nafikiri ni imani tu imejengeka na pengine hata mtu mmoja tu aliwahi fanya hivyo basi inachukuliwa kama ndio sera ya hilo shirika.