NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Unafurahisha kwakuwa mdomo haulipii kodiii Endelea kuongea....World Vision wamejiweka wazi ni shirikaa la kidinii sasa we muislamuu ukafuate nini Uko?labda ubatizwe.....

Na majizi ya escrow mbona hujibu? Nyinyi wagalatia ndio mmeifikisha nchi hapa ilipo, Sasa mmeamua kushirikisha hadi bank zenu kuibia nchi mna laana nyie
 
Udini mlioufanya kwenye sakata la IPTL mpaka benki yenu ya Kanisa Mkombozi imeshiriki kutakatisha pesa.
Nasikia mgao ulienda hadi kwa baba mtakatifu,ndo maana hakuna cha tamko wala nini toka tec
 
Na bado, nikimuona Mama yako, hakika ntamuiba kutoka kwa Baba yako. Mtajibeba Wadini wote nchi hii.

Jiandae kuniita Baba Sikonge.

ndio maana mnalawitiwa Altareni nyie !
Mmekalia kula mwili wa n bwana na damu yake.........bunch of fools !
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Yaan we kukosa sifa unachanganya na udini....pia ukiona muislam kapata kazi jua anasifa kuliko ambaye si muislm
 
Na majizi ya escrow mbona hujibu? Nyinyi wagalatia ndio mmeifikisha nchi hapa ilipo, Sasa mmeamua kushirikisha hadi bank zenu kuibia nchi mna laana nyie

Wagalatia wana laana ya kuabudu kinyago cha mpapure, wenyewe wanakiita 'mwokozi' !
 
Hizo ni za Papa wa Roma !
Hawa jamaa uwa wanajiona wao ndiyo wana haki na hii nchi, TRA, TANAPA, BIMA, TANESCO, EURA, TANROAD, PPF, Wizara zote za serikali wamejaa Wakirsto watupu lakini wao hauoni udini.
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Ni conspiracy theory tu mzee mbona wanachama wanaochangia ni wa dini zote. Sijui kwa nini wakatoliki na waislamu ni walalamishi sana.
 
Sijabahatika kujua tawala za maraisi walio tangulia ila kuna taarifa kuwa mambo yalikuwa kama sasa kwa rais kuwabeba upande wake alifanya mkapa sasa anafanya kikwete ndio maana hata uteuzi wa polisi kaanzisha cheo cha naibu IGP ili kuweka mtu wa upande wake, udini upo ila sio jambo la jamii kulishabikia au kulumbana kwa maana sisi tunapaswa kuvumiliana kwa tofaut zetu za imani sio kubaguana.Hali ikiendelea hivi mustakabali wa wa taifa hili upo shakani!
 
Hata waliofanya field pale wanasema the same things,unakuta department nzima mkristo Mmoja au hakuna HATa
 
Kama unabisha nenda pale makao makuu mida ya sala Ijumaa uone kama utapata wa kukuhudumia. Iko wazi kwamba pale nafasi za kazi hutolewa kwa misingi ya udini.
Ova
 
Mimi ni muislam mbona sijapata kazi NSSF wameninyima na nina jina la kiislam kabisa. Au waislam wapi unaowazungumzia wewe?
 
Wakati Dr Charles Kimei Mkurugenzi wa Benki ya CRDB anatoa maagizo kwa Mameneja wake wote wa Mikoa kuwa watoe Sadaka Kanisani (fungu la 10) kutokana na faida ambayo Benki imepata, mbona hatuhoji wizi huu wa sehemu ya fedha za Umma (kwa sababu Serikali ina hisa 40% CRDB) zinazopelekwa Kanisani?

Serikali ipi ina hisa CRDB mmmhhh... Nijuavyo mm hisa za crdb partly wch is almost 21%ka sikosei n za Danida the rest ni za mashirika ya umma, manispaa na mtu mmoja mmoja sidhan ka serikal as serikal ina hisa directly.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom