NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Natamani nchi hii tufundishane adabu siku moja . Tunadharauliana sana. Nadhani Kenya now adabu inaanza kurudi



Aloo usijidanganye wakristo wa Kenya wakiweka imani pembeni na kuamua kulipiza visasi patamwagika damu ambayo haijawahi kutokea duniani. Kumbuka makabila yaliyopo Kenya ni Wakikuyu ,wajaluo,wamasai,wameru,wakurya,wakalenjii n.k.Hapo hakuna mtu mwoga hapo.
Wakristo huwa hawapiganii dini, Wanapigania mambo yanayogusa maisha yao kama mali,madaraka n.k. Lakini hakuna mkristo anayeweza kuteka watu na kuwaambia wale wasiojua sala ya Bwana wakae huku na kisha kuwamiminia risasi. Mkristo yeyote akimwaga damu ya mtu ni dhambi kubwa na atadaiwa hiyo damu kwa Mungu.
Ndio maana Kenya wana vita za kikabila na kisiasa lakini hao hao wamekua kondoo wa kutolewa kafara za mashetani wa Al shabab.

Tusitumie dini kuajiri watu kwani hii mifumo ya ajira ni ya kikafiri. Ndio maana haya mashirika yote yanaendeshwa kwa riba nadhulma dhidi ya watumishi wakioweka hela zao .

Hii mifumo yote iliyopo ni mipangilio ya kinyonyaji tu na haina uhusiano na dini za watu.Awe mwislam au mkristo anayepata ajira ni kwa faida yake na familia yake na mahawara zake hainihusu.
 
Tulia kijana.

Tumeanza research ili kumwaga data hapa jukwaani, muda ukifika.

Application documents kijana ame submit tayari.

Muda ukifika nitaleta data za mchakato mzima hapa jukwaani, twende na fact siyo story tuu.

Mpaka sasa naona unahororoja na kubwabwaja tu bila mpango.

Anza kwa kutuletea data za majina ya wafanyakazi wa NSSF waliopo sasa hivi, yanini kuandikia mate na wino upo?
 
Mpaka sasa naona unahororoja na kubwabwaja tu bila mpango.

Anza kwa kutuletea data za majina ya wafanyakazi wa NSSF waliopo sasa hivi, yanini kuandikia mate na wino upo?

Mi nimeshacheki wakristo wapo kibao ndio mana hawaweki data hata huyo hr alietumia watu email ana jina la kikristo hakuna ukweli wowote kwenye suala la udini ni bidii zako tu
 
Kweli hekima nyingi huondoa maalifa...
Na tuanza kwa kubadilisha jina ..kukosa hoja ni kama hivyo kuanza kuita wenzio walioumbwa na mwenyezi mungu makafiri....kwa maana ya kafili wewee unayelitumia vibaya ndio kafiri

dau hakuna wa kumtetea ni mdini na mbaguzi ahera inamsubili....na moto wa milele na ile ni kazi ya mkataba na utaisha tu....atarudi mtaani kwetu...huku hata kama ni london zimwi hilo la udini na uonevu atakuwa nalo tuuuu
 
kazibongo.blogspot.com/2014/07/nssf-tanzania-jobs-july-2014.html?m=1
 
Naombeni mnipatie nafasi nitoe conclusion juu ya hiki nilichoking'amua.

Kwanza mtoa mada, katoa mada kwa msukumo wa akili mhemko na akili hisia, kifupi S/HE HAS BEEN CAPTURED AND DRIVEN BY HIS/HER EMOTION RATHER THAN FACTS.

Watu wa sampuli hii ni wabaya sana katika jamii yeyote ile, matatizo mengi na mivurugano mingi katika jamii huanzishwa na watu wa namna hii.

Hayuko pekee juu ya uwezo wake wa kiakili, anawakilisha kundi kubwa la watu wenye akili ndogo kama yeye.

Kuna Mkuu mmoja ( Get much respect Sir) ame-refute hii hoja kwa kuleta facts, real facts.

Kaorodhesha senior positions and their holders katika baadhi ya taasisi za umma. na kilichooneka WAKRISTO wanahodhi nafasi nyingi uki-compare na zile zinazohodhiwa na WAISLAM. Hivi ndivyo namna ya ku-attack hoja. Na mara nyingi hoja inapokuwa imeletwa based on EMOTIONS/FEELINGS ni rahisi sana ku-refute na ndipo UJINGA NA UPUMBAVU wa mtu hudhihirika, kwa sababu siku zote A LANGUAGE REPRESENTS A THOUGHT.

Baada ya Mkuu ku-refute hoja kwa kuleta data halisi, sijaona sura ya mleta mada wala his/her likes katika ku-caunterargue.

Hii inamaanisha nini? jibu ni jepesi tu, ukweli ni kwamba wameshindwa hoja.

Lakini ni kipi cha kujifunza we as moslems?

Si makafiri na washirikina wote wana mapenzi na UISLAM, wapo ambao nyoyo zao huwa uma japo kujiu hawawezi pale waonapo PROSPERITY either kwa ISLAM or MUSLIM as an Individual.

La msingi ni kuwapuuza watu wa calibre hii, sababu hawana mchango wowote chanya even in their own destiny.

Kuna makafiri (N:B KAFIRI si tusi isipokuwa ni mtu aliyeukataa UKWELI) ambao hawana chuki na UISLAM as a religion (Binafsi I really respect them and sometimes I parrticipate with them in various life walks, because we live in an interdependent world)

Mwisho nikutakieni IJUMAA NJEMA.

Assalaam Alaykum.
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.

Kwa kuwa Dau ni Muislaam, basi staff wote wa NSSF ni Waislaam?

Hiyo ni Islamophobia.


Hivi ndivyo alivyoandika mwandishi au unawaza kwa niaba yake, au ni kujihami?

Mm sina comment yoyote kwa sababu hakuna mtu aliyeleta ushahidi
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.


Jumatano ijayo nitapita pale nione ka wameanza maandalizi ya kununua miti ya xmas.

Make hata ikulu huwekwa.
 
Mpaka sasa naona unahororoja na kubwabwaja tu bila mpango.

Anza kwa kutuletea data za majina ya wafanyakazi wa NSSF waliopo sasa hivi, yanini kuandikia mate na wino upo?

Tulia wewe, mwanamke gani mbishi mbishi hivyo.

Nimesema nitamwaga data baada ya mchakato wa ajira zilizotangazwa wiki iliyopita kukamilika.
 
naona muislamu kupata nafasi, watu roho inawauma, maana hatusemi shirika la tra, lakini tunaamini, ambavyo nyinyi hamuamini. Jipange kwenye interview acha visingizio
 
Mpaka sasa naona unahororoja na kubwabwaja tu bila mpango.

Anza kwa kutuletea data za majina ya wafanyakazi wa NSSF waliopo sasa hivi, yanini kuandikia mate na wino upo?

Mama mbona umepagawa mno? mpe jamaa nafasi malalmiko ya watu ni kwamba ajira zinatolewa kwa misingi ya dini jamaa anajaribu kupata ukweli kupitia mchakato wa ajira unaoendelea wewe unang'ang'ania waliopo sasa hivi.Si sahihi,haihitaji elimu kubwa hiyo.Vuta subra ukweli ubainike,nukta
 
wadau,
kama tunavyofahamu tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote nssf imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa nssf kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si abubakari au hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na ppf kuna 'udini' keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.
acha chuki zako za kijinga umezoea kuona kila shirika linaongozwa na mkristo.mashirika machache yanayoongozwa na waislam yanakupa shida sana.waislam nao wana haki kama wakristo.acha roho mbaya ya mbwa mwitu
 
Mama mbona umepagawa mno? mpe jamaa nafasi malalmiko ya watu ni kwamba ajira zinatolewa kwa misingi ya dini jamaa anajaribu kupata ukweli kupitia mchakato wa ajira unaoendelea wewe unang'ang'ania waliopo sasa hivi.Si sahihi,haihitaji elimu kubwa hiyo.Vuta subra ukweli ubainike,nukta

Huo ukweli angeufata NSSF akatuletea au wewe msaidie.
 
Huo ukweli angeufata NSSF akatuletea au wewe msaidie.

Mama, hiki kitu kinachozungumzwa hapa si rahisi kupata ukweli wake kwa jinsi hiyo mind you kuajiri watu kwa misingi fulani isiyo ya haki ni kinyume na sheria hata yule anayefanya asingependa kufahamika kwamba anafanya. I still insist we need to be patient and wait for the truth to come out. Shida nini?
 
Mama, hiki kitu kinachozungumzwa hapa si rahisi kupata ukweli wake kwa jinsi hiyo mind you kuajiri watu kwa misingi fulani isiyo ya haki ni kinyume na sheria hata yule anayefanya asingependa kufahamika kwamba anafanya. I still insist we need to be patient and wait for the truth to come out. Shida nini?

Unasubiri nini, si ungeenda kuleta majina tu ya waliokuwepo sasa hivi NSSF tujionee. Sasa mleta mada ni mtabiri?

Yanini mnaandikia mate na wino upo?
 
Huo ni uoga kwa kuwa Wakubwa ni Waislaam?

Amma kwa hakika Waislaam wanatisha, akiwepo mmoja basi huonekana wako 1000.

Hizo ndiyo barka za Uislaam.

NI kweli NSSF udini upo wametenga adi sehemu ya kuswalia kwenye shirika la umma. Mi nawajua wengi waislam niliosoma nao na ambao sijasoma nao wako pale. udini upo sana tu.
 
NI kweli NSSF udini upo wametenga adi sehemu ya kuswalia kwenye shirika la umma. Mi nawajua wengi waislam niliosoma nao na ambao sijasoma nao wako pale. udini upo sana tu.

Kutenga sehemu ya kuswali ni udini???
St james park uingereza , unamilikiwa na timu ya newcastle united umetenga sehemu ya kusali kwa ajili ya waislamu,
Inayokusumbua ni chuki tu, haya na hawa wazungu nao ni wadini????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom