NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
5.JPG

Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hili Mhandisi John Msemo (kulia) wa NSSF akiwa na Bw. Abdallah Mseri wakitembelea mradi huo jana.

Huyu John Msemo, usifanye kosa ukadhani ni Mkristo, jamaa ni Muislaam kuzidi hata Dau. Alianza long time akiwa Kibaha Sec.

http://www.safina.co.tz/ceo-words/index.php

Hapo juu anawakaribisha kwenye hotel yake kubwa tu. Mishahara ya NSSF kweli minono....

Angalia timu nzima ya UKAGUZI hapa chini kwa majina tu, utajua walikuwa wamekamilika.

Affinity PR: NSSF NA KASI YA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Sio NSSF Peke yake Bali na CRDB !
 
5.JPG

Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hili Mhandisi John Msemo (kulia) wa NSSF akiwa na Bw. Abdallah Mseri wakitembelea mradi huo jana.

Huyu John Msemo, usifanye kosa ukadhani ni Mkristo, jamaa ni Muislaam kuzidi hata Dau.

http://www.safina.co.tz/ceo-words/index.php

Hapo juu anawakaribisha kwenye hotel yake kubwa tu. Mishahara ya NSSF kweli minono....

Angalia timu nzima ya UKAGUZI hapa chini kwa majina tu, utajua walikuwa wamekamilika.

Affinity PR: NSSF NA KASI YA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

TANAPA.,TRA wamejaa wakristo wanaiba tu kodi zetu
 
Kwani mie nimetaja dini gani? Ningeliweza kuwa Rais, ningelipiga MARUFUKU dini ZOTE.

Narudia tena, natamani dini zote zipigwe marufuku. Haya sasa onyesha UDINI wangu.
Kuna udini zaidi ya huo unaoufanya wewe?
 
Zanzibar wana RAIS wao. Hili nafikiri lipo wazi sana. Kama itakuwa nchi moja, sijali Rais atoke wapi kama hana UDINI wala u-Zanzibar. You can go to hell all of you wadini na Wakumbatia Ukabila.

mwakani ni zamu ya zanzibar kutoa rais
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Unajadili udini karne 21,kuna vitu hatutakiwi kuvikuza bira kufanya utafiti,huyo mfanyakazi wa NSSF angekupa majina ya wafanyakazi wote wa NSSF,ILI UPIME SIO KULETA HISIA,hapo,nazani kuna baadhi ya wakurugenzi si waislam,waombeni hao majina ya watumishi wote,sio kutaka kuleta vitu visivyo na mantiki,kuna rafiki zangu huu ni mwaka wa nne na ni waislamu,wameomba kazi zaidi ya mara kumi mbona hawajapata,na wamesoma shule yza kiislam.chuo cha kiislam,na majina ya kiislamu,mbona hawapewi upendeleo,walimaliza chuo 2008,na mpaka leo hawajapata ajira NSSF,na kila interview wanakupewo hapo NSSF
TUUCHE UZUSHI HAISAIDII TAIFA HILI,maana ata NSSF WAKIKANUSHA HAMTARIZIKA,FANYENI NYIE UTAFITI,MLETE MAJINA YOTE YA WATUMISHI WA NSSF
 
tumepata agizo toka kwa mkuu wa kaya tuangalie dini nssf ili twende sawa na wakristo
si unajua anayekuja mkristo favour itakuwa hakuna kwetu waislam kwasababu sisi elimu ndogo tunapenda madufu kuliko kusoma
 
Na TRA waislamu wataingia wengi sana kuthibiti wizi wa kodi unaofanywa sasa hivi
 
Kwani mie nimetaja dini gani? Ningeliweza kuwa Rais, ningelipiga MARUFUKU dini ZOTE.

Narudia tena, natamani dini zote zipigwe marufuku. Haya sasa onyesha UDINI wangu.
Huwezi kupiga marufuku uislamu utaumia muzee.
 
Zanzibar wana RAIS wao. Hili nafikiri lipo wazi sana. Kama itakuwa nchi moja, sijali Rais atoke wapi kama hana UDINI wala u-Zanzibar. You can go to hell all of you wadini na Wakumbatia Ukabila.
Ni zamu yao,ama sivo patachimbika sana asee.
 
tumepata agizo toka kwa mkuu wa kaya tuangalie dini nssf ili twende sawa na wakristo
si unajua anayekuja mkristo favour itakuwa hakuna kwetu waislam kwasababu sisi elimu ndogo tunapenda madufu kuliko kusoma

Wezi wakubwa nyie makafir , go go go dr dau achana na haters hawa wanawaza kuiba tu
 
Udini mlioufanya kwenye sakata la IPTL mpaka benki yenu ya Kanisa Mkombozi imeshiriki kutakatisha pesa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom