NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu
Hakuna uhusiano wowote kati ya jina na dini ya mtu.MTU mwenye kutii mafundisho name kuishi katika maandiko ya dini yake ndiyo mkristo/muislamu safi.Lakini Hawa wote wezi wa mafao ya wazee wetu, mioyo yao imejaa kutu na dhuruma.In vichekesho kuwaita wadini ilihali hawatendi haki.
 
Nssf nishirika kubwa lisoendeshwa kwa romours za mitandao ya kijamii hasA JF.....pili kinachosumbua watu wengi nikuona ramadhan anaongoz shirika halaf kinahamis na juma nao wakipata ndo taabu mana hamjazoea....ila mtazoea nahaya maneno yataisha ila najua muda unahitajika kwa hili ili kuzoea kuwaon hao wenzet kweny mashirik makubwa.....wakati kidole unakinyoisha nssf....vipi TRA,BANDARI,TANESCO???!!au hujui??!!!!
 
Ramadhani Dau pale Nssf aliteuliwa na KAFIRI MWENZAKO MKATOLIKI MKAPA

VIPI UNACHUKIA SHIRIKA LILE KUOBNGOZWA NA MUISLAM???

KAMA NI NI IDADI YA WAKRISTO NSSF NI KUBWA KULIKO WAISLAM KAMA UNABISHA KAFANYE UTAFITI WAKO,

THEN NYINYI MASHIRIKA KARIBIA YOOTE NA MIFUKO YOOTE YA PENSIONS MMEJAZANA KAMA MNATAKA KUCHEZA DISCO LA YESU HUMO,LINI MMESKIA WAISLAM WAKIWAPIGIA MAKELELE,,UNADHAN HATUJUI KINACHOENDELEA??

MIMI NINACHOSHANGAA NYINYI JAMAA MMEJAZANA HUKO MAOFISINI MIAKA NENDA MIAKA RUDI MNALIFANYIA NINI TAIFA HILI??

MAANA TAIFA LINAZIDI KUWA MASKINI TUH NA NYINYI MMEKALIA WIZI TUH HAMUONI AIBU??

WEZI WAKUBWA

wewe utakuwa BOKO HARAM ----- WEWE
 
Aliyetoa mada hii ashajuta kwa upuuzi alioanzisha tujadilini mambo mengine ya msingi tukiendelea kujadili dini tutahamia kwenye makabila n.k
 
Waarabu na Wazungu wamefanikiwa kuwashika masikio kwa dini. Leo mnatukanana na kulumbana, Ivyo Kesho sitashangaa mwengine kumnyima kazi mwenzie kisa dini, aya malumbano yenu ya kukokosoana ki dini ni ushahidi tosha kua UDINI nyote mnao na hauepukiki
MFANO ni hapa hapa kwenye uzi ninyi wenyewe, sasa hivi wewe unayemuita mwenzio mgalatia katika huu uzi, ksho ukiwa afisa muajiri hivi kweli utaweza kumuajiri uyu uliyemuita mgalatia ama watu wa dini yake??na wewe unayemuita mwenzio gaidi hivi kweli ksho ukiwa afisa muajiri utaweza kumuajiri huyu ambaye tayari umemuita gaidi??Acheni unafiki mnajifanya kupinga kua hakuna udini kati yenu wakati katika comment zenu mmejaza udini, Kama ndugu wa pamoja mnaitana majina ya ajabu na kujibizana ki chuki kisa huu uzi sitawashangaa kesho mkivaa mabomu na kujitoa muhanga ama hata kushika risasi na kuuana. Hii ni stage ya mwanzo wa yale manayoyaona huko Mid-East na kwengineko.

Watanzania wenzangu msipelekeshwe na dini mlizoletewa na wageni. Ninyi ni ndugu
 
Maelezo yako unajitahd kuwa neutral ila inashindikana kwa tathmini ndogo tu umeji decrare ww una base upande gan ktu kngne wagalatia haina maana mbaya kwenye bibble ni neno zuri tuu acha wakat mwngine unaweza kuwa neutral katika mada kama una nia ya dhat ya kufuta mabishano ya kidini
 
NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu

Ww ndo umeweka sawa.
 
Lenye mwanzo halikosii kuwa na mwisho na mwisho ni mwakani atakujaa rais mwingine na wakurugenzi wake!

Kwani Dau si kachaguliwa na Kafiri nwenzako alipokua rais Usikurupuke dogo anza kuuliza. Acha kutoa mapovu.
Mimi ni muislam mbona wameninyima ajira na sifa na sijda ninazo?
 
LAKINI HAPO NSSF MUSLIMS VS CHRISTIANS NAMBA YAO KIIDADI HAPO TOP LEVEL IKO SAWA SAWA KABISA

TENA HATA HUKU WA CHINI WAO NDIO STIL BADO WEENGI LAKIN BADO WANALALAMA.

NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu

Bata wewe lete majina ya watu walioajiriwa Dau akiwa kazini hawa wa ngazi ya chini tumalize ubishi.
 
Bata wewe lete majina ya watu walioajiriwa Dau akiwa kazini hawa wa ngazi ya chini tumalize ubishi.

We KUNGUNI KWELI KWELI..

NANI AKULETEE HIZO DATA SASA...

HUYO KIKOJOZI MWENZAKO SI ANAMWAGA POVU KWAMBA NSSF KUNA UDINI I.E UISLAM???

KAWEKEWA DATA HIZO SASA AJITHIBITISHIE YEYE MWENYEWE

UMESKIA WEWE KIKOJOZI,,,ANGALIA HIZO DATA HAPO CHINI KISHA KAKOJOE UKALALE ZAKO,
1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta. I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani. Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum. Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria. Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa. Muislamu

UTANIAMBIAJE MIMI NIKUWEKEE TAKWIMU ZA DR DAU WAKATI YUKO KAZINI KAAJIRI WANGAPI HIYO WEKA WEWE UNAEMTUHUMU KWA HIZO ALLEGATIONS ZENU,

MMEKOSA HOJA SASA MMEBAKIA KUMWAGA POVU,

NYINYI SI MNASEMA KUNA UDINI??WEKENI SASA TAKWIMU YENU INAYOONESHA IDAD YA WAISLAM NA WAKRISTO HUMO NSSF WEPI NI WENGI KISHA UANZE KUJENGA HOJA ZAKO ZA KITOTO,

BESIDES HATA WAKIJAAA WAISLAM KUNA SHIDA GANI??HAWANA QUALIFICATIONS????

KWANI NUMBER ONE QUALIFICATION YA KUAJIRIWA NA SERIKALI HII LAZIMA UWE KONDOO WA GWAJIMA AU MUIMBA KWAYA NDIYO UPEWE KIPAOMBELE???

THEN NYINYI SIKU ZOOTE MNASEMA WAISLAM HAWAJASOMA NA HAWANA SHULE,,IWEJE SASA MUANZE KULALAMA KWAMBA WAISLAM WAMEJAA SEHEMU FLAN WAMESOMA LINI WAISLAM HAO??TEH TEH TEH

KIMEWAPOA SASA SHIRIKA LIMESHIKWA NA LET SAY WAISLAM NA MAMBO YANAENDA VIZURI MMEKOSA LA KUONGEA KISHA MMEKIMBILIA KWENYE UDINI NYINYI JAMAA KWANI KWENU JEMA NI JAMBO GANI AISEE??

KILA SEKTA YA UMMA NCHI HII MMEJAA NYINYI KWA KIGEZO KWAMBA MMESOMA SANA KULIKO WENZENU,,SEHEMU WANAPOONEKANA WENZENU KUDELIVER MNAANZA KUNYOOSHA VIDOLE NA KUSAGA MENO KAMA NGUCHIRO VILE,

SASA KWA TAARIFA YAKO HYUO DR DAU ALITEULIWA PALE NA KAFIR MWENZAKO MKAPA NA SIO KIKWETE MAANA HAMKAWII NYINYI MBUZI KATOLIKI KUANZA KULETA CHOKO CHOKO,

MASHIRIKA YAKO MENGI TUH SIYO LAZIMA UKAFANYE KAZI NSSF.

UMESKIA WEWE NGUCHIRO.
 
Acheni haya mambo ya udini.Imani ni kitu kizito na kina IMPACT kubwa.Kila mmoja wetu afuate imani yake huku tukivumiliana na kupendana.
 
Nssf oyee toeni huo upuuzi wenu hapa, hawana muda wa kujibu ujinga wako mtoa post.
 
Huu ni chuki binafsi kwa Dau kwa vile ni mwislam na shirika lina kwenda vyema.
Hivyo wanataka kuvuruga ili wali escrofishe.
Mleta fitina hii tuletee kitu sahihi chenye data tuone huo udini.
Lete majina ya wakurugenzi
Mamanagers
Branch managers
Assesors
Wasimamizi wa miradi nk
Bila hilo wewe utakuwa boko haram
 
Siku zote waislam hawawezi kulingana na christian katika nafasi za kzi ukitaka kujua hili angalia Matokeo ya kidato cha nne angalia shule 50 bora uchambue seminary za chrisstian ziko ngap na islamic seminary ziko ngapiau angalia top ten ya wanafunziwaliofanya vizuri uone muslim wangapi na christian wangapi.najua mtatukana lakini mkimaliza kutukana nitakuja kuweka hizo takwimu
 
Hizi ndio shule 10 bora matokeo-kidato cha nne 2013:
St.Francis Girls (Mbeya)
Marian Boys (Pwani)
Feza Girls (Dar-es-salaam)
Precious Blood (Arusha)
Canossa (Dar-es-salaam)
Marian Girls (Pwani)
Anwarite Girls (Kilimanjaro)
Abbey (Mtwara)
Rosmini (Tanga)
DonBosco Seminary (Iringa)
Hawa ndio wanafunzi 10 bora-matokeo kidato cha nne 2013:
Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)
Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)
 
Shule 10 za mwisho ni:

Manolo mkoa wa Tanga
Chokocho mkoa wa Pemba
Kwalugulu mkoa wa Tanga
Relini mkoa wa Dar es salaam
Mashindei mkoa wa Tanga
Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
Vudee mkoa wa Kilimanjaro
Mnazi mkoa wa Tanga
Ruhembe mkoa wa Morogoro
Magoma mkoa wa Tanga
 
Acha urembo wa kitoto wew kwan unadhan tukikaa kimya hazufaham nn kipo nyuma ya pazia kwa hizo unazo ziita shule bora za kikristo? Kwa taarifa yako hao ndio wanaoongoza kudisco na kusapu na ss wakayumba tunawaburuza ni hataree... hutambui kama hao unaoeaita shule bora ndio wanaochangia kuhujumu elimu ya bongo kwa ku endekeza spoon feeding na kuzalisha msingi mbovu?? Au kwa sababu wakitoka huko wanaongea kiingereza? Kama ngeli ni usomi bac vichaa wa nchi jiran ya kenya ni mapeofesa mana wanaipiga balaa fact nyingine hata hzo shule unazoziamini hazisomi watu wa hyo dini yako tuu wapo mchanganyiko kwa taarifa yako na uckae ukajivunia udini hta cku moja hyo ni vague concept kama unajicfia ww dini xx mpo juu mbona unasota na bahasha ya kaki huna ulipo?? C ungekua somewhere bac tuone ujabali wenu demu ww
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom