NSSF ipo taabani kifedha

NSSF ipo taabani kifedha

Nssf tafadhali tunaombeni majibu yenu kuhusiana na taarifa hizi za mitandao ambazo kwa kiasi kikubwa zinatutia hofu sisi tulio wanachama wa Mfuko huu.
 
Utatuua kwa pressure kaka mpaka sasa tegemeo lipo huko baada ya kustaafu sasa tusije withdraw faster kabla ya 60
 
Sijui kama hii mikopo ya Serikali kutoka NSSF inaingizwa kwenye deni la Taifa ambalo sasa limefikia Trilioni 40, kama haliwekwi basi Serikali haitaki kuonyesha deni halisi la Taifa.
 
Zama za mifuko ya pension kufilisika Tanzania nadhani zimepitwa na wakati au muda wake bado kutokana na ufisadi si kwamba kwa muda mrefu wamekuwa wakipokea michango ambayo aina claimants kutoka kwenye taasisi za serikari bali wigo la wachangiaji lina zidi kushinda idadi ya watu wanaochukua pension at this point: Isitoshe kuna ring-fence policy ambayo inalazimisha pension funds za Tanzania kuwa na balance sheet yenye kiasi kikubwa cha liquid asset kuliko investment portfolio combined with loans assets.

Commonsense says kuna vitu vingi sana inabidi viende mrama kwa muda mrefu hili NSSF ifilisike no wonder they no longer care about investing wisely anymore.
 
kuna kwingine kabla ya kusaini mkataba unaletewa fomu ya hii mifuko,hasa NSSF!
ni wewe kutokujitambua tu,ni hiari elewa.na ujue kabisa anayefanya jitihada za kukujazisha form analapa posho ya kufanikisha
 
Hivi zile Report za ZITO akiwa Mwenyekiti EPA ziko wapi??
Zito hayupo huru kuiandika vibaya NSSF,yeye kama mwenyekiti aliramba mpunga mzito kupitia Leka Tutigite,pia amewahi kupewa prizes kadhaa.he was not independent
 
Sijui kama hii mikopo ya Serikali kutoka NSSF inaingizwa kwenye deni la Taifa ambalo sasa limefikia Trilioni 40, kama haliwekwi basi Serikali haitaki kuonyesha deni halisi la Taifa.


Mpwa, wewe na familia yako mnadaiwa vile haya mafisadi yamekuwa yakichukuwa 10% kwa kila dili zinazofanywa na serikali. Haya mafisadi yamekilimbikizia pesa na sasa deni la taifa limeshafikia 40 trillions.. Hii mipogaji...dah!
 
Mwambieni Mbowe arudishe mkopo wa NSSF ambao amepanga kuwatapeli. Watu aina ya Mbowe ndio hao hao wanaoshiriki kuikwamisha mifuko yetu ya kijamii.

LAZIMA...narudia LAZIMA ujifyatue akili japo kidogo uwe mtetezi wa CCM. Mkopo wa Mbowe NSSF at one time mlitaka kumning'iniza bungeni, akafafanua kwa takwimu na documents mkaufyata tena walikuwa hao viongozi wako na hadi leo wapo kimya sasa wewe sijui ni nani unaongelea huu uharo
 
Nssf tafadhali tunaombeni majibu yenu kuhusiana na taarifa hizi za mitandao ambazo kwa kiasi kikubwa zinatutia hofu sisi tulio wanachama wa Mfuko huu.

Achana na porojo za mtoa mada. Huwezi kusema Shirika linafilisika bila ya kuwa na Reference...nilidhani atasema kutonaka na Actuarial Report iliyofanyika mwaka.... Hali ya Mfuko imeoekana iko taabani. Hizi report ndo zinaoyesha hali ya ukwasi wa Shirika. Mtu hawezi just kuropoka tu bila hoja. Sasa the latest actual report inaonyesha kuwa Shirika liko sustainable kwa miaka 50. Full stop.

Issue ya Wakandarasi kutolipwa...Mkuu Ritz ameijibu vizuri. Shirika halifanyi kazi na mafundi mchundo/wabeba zege..n.k. Shirika linaingia mikataba na makampuni kisheria ambapo obligation ya kila part iko wazi na penalty ikiwa part moja itashindwa kutekeleza wajibu wake. Kama vile NSSF kulipa wakandarasi kwa mujibu wa makubaliano. Hapa nilitegemea mtoa hoja angesema kuwa NSSF imeshitakiwa na mkandarasi X kwa kushindwa kumlipa kwa mujibu wa mkataba wao.

Mada kama hizi zinashusha hadhi ya JF...na kuonekana kama kijiwe cha porojo na majungu. U-great Thinker haupo tena kutokana na mada kama hizi.

Ushauri wangu...Mod...funga huu uzi...unatushushia hadhi.
 
Lazima wafilisike tu. Huo wanaoita uwekezaji ni ufisadi tu. nyumba ambayo wangenunua kwa sh. milioni 60 Temeke wanainunua milioni 300. Unategemea nini?

yale yale kuchukua pesa kwenye mifuko ya kijamii ndo yalifanya National Insurance [SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA] kufa kibudu.
 
Shirika la KIDINI hili. Ukitaka kuamini, subiri kama utamuona faizaFox hapa na Wajahidini wenzake wakisema kitu.

Sanasana watakuja na ngonjera kuwa Dau siyo wa kwanza kuanza kufilisi shirika.

Kutafuta MSAFI CCM na washirika wake ni sawa na kutafuta matako ya nyoka.......
 
Last edited by a moderator:
nenda ukiwa na barua ya kuacha kazi, kitambulisho chako cha nssf na picha mbili. ukikamilisha zoezi pale ofisini utaambiwa uende kuchukua hundi yako baada ya siku 14 kama sikosei tangu ukamilishe ujazaji fomu. siku 14 za kazi hivyo ondoa jumamosi, jumapili na sikukuuu

Nliposma "voluntary" nlimaanisha ni yule aliyejiajiri na anapeleka mwenyewe michango yake. Asante mkuu ila nifahamishe kama uba taarifa juu ya mtu huyo akitaka ajitoe
 
Zito hayupo huru kuiandika vibaya NSSF,yeye kama mwenyekiti aliramba mpunga mzito kupitia Leka Tutigite,pia amewahi kupewa prizes kadhaa.he was not independent

Asante mkuu hilo ndo tatizo wa Tanzania tumepoteza uzalendo. Pia watanzania tunadhulumiwa sana hela P.A.Y.E Kubwa makato ya NSSF/ PPF then hela zote watu wache wanazipiga.

Tunahitaji serikali ya Mseto ili kuwe na uwazi
 
Kama wako hoi sasa hela zetu tutapataje?ngoja niwahi niambulie walau kiduchu kuliko kukosa kabisa
 
Back
Top Bottom