NSSF ipo taabani kifedha

NSSF ipo taabani kifedha

Mkuu hauna taarifa? Sasa hivi ni hiari ya mtu kujiunga na mfuko apendao mara anapoajiriwa, ila walio kwenye ajira tayari hawaruhusiwi kuhama mfuko alionao. Wajulishe na ndugu zako na rafiki zako. The best mfuko kwa sasa ni LAPF ukifuatiwa na PSPF. Achana na NSSF, PPF na GEPF lao moja. Mfano mtu mwenye mshahara wa 2.5 million akistaafu baada ya kuchangia miaka 20 (240 months) kwa PPF, GEPF na NSSF anapata lumpsum ya Tshs. 38,793,103.45 wakati wa LAPF anaondoka na Tshs. 103,333,333.33. Na pensheni ya kila mwezi haitofautiani sana japo hao PPF, GEPF na NSSF wanalipa kubwa kidogo.

Hauna data unaropoka tu, nenda SSRA ukapewe formula ya mafao mbumbumbu wewe
 
Hauna data unaropoka tu, nenda SSRA ukapewe formula ya mafao mbumbumbu wewe

Hivi watu wengine mmezaliwa na matusi tu kwa nini? Sasa kujibu kwa lugha chafu namna hiyo as if nimeongea kwa kumtusi mtu unamaanisha nini? Hizo formula za mafao kutoka SSRA ndo zikoje ziweke hapa basi tuzione. Mimi nimetumia formula za mafao zilizo kwenye mitandao ya mifuko hiyo. Sasa unaposema sina data wewe mwenye data, ziweke hapa basi tuzione badala ya kujibu kwa kejeli na lugha ya kuudhi. Sasa kwa upande wangu nakupa data. Ingia kwenye hizi website kisha tumia hizo calculator zao walizoweka hapo halafu uje na mrejesho na wewe utupe za kwako unazozifahamu. NSSF: https://www.nssf.or.tz/index.php/pension1, GEPF: GEPF, PPF: Calculator, LAPF: LAPF Pensions Fund na PSPF: http://www.pspf-tz.org/calculator.
 
Wabunge wa upinzani tunaomba muihoji serikali Bungeni kuhusu hili, wabunge wa CCM hawawezi hata kama wanaumia.

Mpaka sasa serikali imekopa kiasi gani NSSF?

Katika bajeti ya mwaka huu 2015/16 serikali imetenga kisai gani kupunguza deni la NSSF?

Liquidity ya mfuko wa NSSF iko je mpaka sasa? i.e. Uwezo wa kulipa mafao kwa wafanyakazi NOT assets.
I stand to be corrected- tatizo la mfuko huu na mingine ya pension ni political interference. Watu wanatengeneza ilani ya Chama wanaweka very ambitious plans/ projects wakati hawajui watakapopata fedha. Mwisho wanalazimisha fedha za wafanyakazi ziwekezwe kwenye miradi ambayo kiukweli siyo viable. Angalia Machinga Complex,- sijui ni nani aliwashauri!! Kwa tabia ya wafanyabiashara wetu wadogo sijui kama machinga complex ndiyo ilikuwa hitaji lao. Nafikiri walichokuwa wanahitaji wafanyabiashara wadodo wengi ni eneo la biashara ambalo linafikiwa na wateja na probably wangeweza kuwekewa facilities kama fence. Mmachinga siyo mtu wa kufunguwa kwenye kizimba siku nzima- jina lenyewe linakataa- "matching guy"

Daraja la Kigamboni kweli linahitajika lakini nafikiri tatizo hapa project hii ilitakiwa kuwa na wabia wengi zaidi ili kupunguza risks in case project haitakuwa viable. Sijasikia Shirika jingine lililowekeza mbali na NSSF na kidogo serikali- Ukiangalia project hii utagundua pia kwamba kuna political ambition zimejificha.

Nyumba nyingi zinazojengwa kwa ajili ya kukopesha mpaka sasa zimekuwa na malalamiko kwamba ni za ghali sana. Watu wanaweza wenyewe kujenga the same structures kwa half price.

Ushauri: Ni wakati wa NSSF kufikiria wanachama wake. Kwa mfano kuna ubaya gani kwa mfanyakazi ambaye ameshachangia miezi 90 akaruhusiwa kuchukuwa nusu ya fedha zake ili aweze kujiandalia future yake, achukue fedha awekeze mwenyewe kwenye investiment portifolio anayoona itamsaidia. Ninajua issue itakuwa kuhusu pension- lakini hii pia inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa kupunguza pension ya mtu aliye- opt kuchukua sehemu ya fedha zake proportionally. Kuna haja gani ya kuja kumpa mtu fedha akiwa nyingi akiwa na miaka 60, akiwa ameshachoka, na hana tena nguvu?
 
Hali mbaya pia ipo kwa mfuko wa PSPF,mfuko huu umekobwa pesa na serikali kiasi cha wastaafu kutopata kiinua mgongo kwa wakati,utakuta cheki zimeandikwa lakini mfuko hauna pesa za kuwalipa.Huu utaratibu wa serikal kufilisi mifuko kwa kukopa pesa bila kuzirudisha umefumbiwa macho sana,nashangaa hata wabunge hawafahamu haya,huku sisi raia wa kawaida kukijitahid kuibua haya.Tumtegemee nan katika nchi hii?
 
Gulwa

Mkuu umesahau sababu nyingine, Waziri wa ujenzi kuwaingiza mkenge kwenda kujenga daraja la Kigamboni (White Elephant) litakalo hudumia wakazi wasiozidi 150,000 kwa siku. Kweli hawa viongozi wetu balaa.

sasa wakazi 50k ni kidogo kwa kutumia daraja kwa siku? au ndio negative minds tu?
kwa taarifa yako kama mambo yataendelea kua constant daraja la Kigamboni litakua na faida kubwa sana
1. kuuendeleza mji wa kigamboni na miji jirani
2. utalii wa beaches na wengine kupita tu darajani
3. kipato kwa wakaazi na serikali
4. mji wa mfano then kuigwa na mji mingine
5. uvuvi
6.nk nk
 
Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe naye kachangia kuifilisi NSSF kwa kugoma kulipa deni ya fedha alizokopa.

Kumbe Mbowe mtu mzito sana. Mpaka mafisiem wanamuogopa? Yaani kakopa halafu kagoma kulipa na hachukuliwi hatua? Viva kamanda Mbowe!!
 
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa ndani ya nssf kuwa hali ya mfuko huo kifedha ni mbaya sana kiasi cha kushindwa kulipa makandarasi wengi, na baadhi ya miradi hasa ya ujenzi kukwama.

Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hiyo ni:

1.Serikali kukopa hela nyingi kutoka kwenye mfuko bila kurudisha.

2.Ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi waandamizi wa mfuko ambao wengi wamejilibikizia mali nyingi sana zilizopatikana kwa njia haramu.

Sisi wachangiaji tunazidi kuwa maskini, watu walipewa dhamana ya kutunza michango yetu wanakosa uaminifu.

hata kama hujafanya auditing, kwa macho tu ni shirika gani lenye nguvu ya kiuchumi zaid ya NSSF miongoni mwa mashirika ya mifuko ya jamii?

KWAHY ukisema viongozi wake ni mafisadi sio kweli labda wanauma na kupuliza for which its good style of leadership we prefer.
unajua rafiki ni bora wajilipe vizuri wasiwe na misongo ya mawazo yatakayowapelekea wasibuni,wasifanye kazi vizuri.
kujilipa vizuri ni nyenzo ya kua muwajibikaji, na huo wanauonesha kwa investments na financial power walionayo si ufisadi au hali mbaya

pia hii mifuko ya jamii lengo lao si kuweka hela kwenye acount ili bank acct zao zisome hela nyingi, ni kuinvest invest.
 
Hizi ni habari za uzushi na siasa chafu, NSSF is the only institute with liquid cash and sound investments. Huyo aliyekupa hizo habari anaweza kukupa information ya zaidi kama hilo jambo lina ukweli. Unsupported Words with facts are very cheap and valueless
 
Huyo mkurugenzi wao anajenga jumba binafsi la bilioni 34 kinondoni kwa nn wasiwe taabani kifedha?
 
Mfuko unaendeshwa kwa akili za al madrasat mnategemea ninni?
 
Fanya utafiti zaidi Mkuu... NSSF iko imara kuliko mifuko mingine ya hifadhi za Jamii... Ni kweli kuwa Serikali imekopa sana LAKINI kutokana na uongozi Imara wa Dr DAU ... NSSF inavitega uchumi vingi vya maana vyenye uhakika wa kuwalipa wadau wake wakati wowote ... Unafiq na Uzandiki wa kushambulia Taasisi zenye kuongozwa na watu wa imani tofauti na Vatican unajulikana ... Acheni Upuuzi ... mnatakiwa kutambua juhudi zao na kuwaenzi ....

Imani tofauti na vatican ?Ndio maana wafanyakazi mpaka wafanya usafi wamejaa wavaa ninja na pedo!!!akili Za kimadrasa lazma mfuko ufilisike kwa kupewa mvaa pedo (chizi kapewa rungu mbele ya duka la vioo)
 
mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja uvaaji hijabu na uninja ktk kufilisika kwa mfuko ingawa ni ukweli usio na shaka kuwa ufadhili wa matukio ya ugaidi haukosi uhusiano wa moja kwa moja na uvaaji huo,
 
Wengine ni kutokujua tu au ni mwislam anaongoza pale basi wewe ni kupinga tu shilika gani la hifadhi ya jamii lilo bola tanzania na linalo saidia maendeleo ya jamii na kipindi cha nani kuongoza ndio.limepata umaalufu acheni umbulula nssf nhc toka wamepata vingozi wasiopenda kuchumia matumbo yao kwasasa ndio mashilika bola tanzania kama unajua moja nawewe tuambie
 
Waandae tu hizo pesa za watu. Business kuanguka = wafanyakazi kupunguzwa = wafanyakazi kuchukua mafao yao. Hapo sasa tutafahamu ukweli.
 
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa ndani ya nssf kuwa hali ya mfuko huo kifedha ni mbaya sana kiasi cha kushindwa kulipa makandarasi wengi, na baadhi ya miradi hasa ya ujenzi kukwama.

Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hiyo ni:

1.Serikali kukopa hela nyingi kutoka kwenye mfuko bila kurudisha.

2.Ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi waandamizi wa mfuko ambao wengi wamejilibikizia mali nyingi sana zilizopatikana kwa njia haramu.

Sisi wachangiaji tunazidi kuwa maskini, watu walipewa dhamana ya kutunza michango yetu wanakosa uaminifu.

NSSF wataachaje kufilisika Kama Miradi wanayojenga wana inflate gharama Mara Mbili Tatu.....bora hata wangekuwa wanakopesha Tanroad na halmashauri wajenge barabara .....wangelipwa ...kuliko kujenga maghrofo ya mabilioni yasio na wapangaji.....
Wakati NSSF wanamajengo Tele ....bado wanapangisha ofisi kwenye majengo binafsi yakiwemo ya Kigogo wa Mfuko na kulipa mapesa Mengi Tena in advance
 
Kuanzoa mlimani city na makumbusho wamepanga kwa bei ya juu sana,kule nyerere roadi jengo LA manji usiseme.hawa Nssf na dau ni jipuuu na limeiva
 
Wengine ni kutokujua tu au ni mwislam anaongoza pale basi wewe ni kupinga tu shilika gani la hifadhi ya jamii lilo bola tanzania na linalo saidia maendeleo ya jamii na kipindi cha nani kuongoza ndio.limepata umaalufu acheni umbulula nssf nhc toka wamepata vingozi wasiopenda kuchumia matumbo yao kwasasa ndio mashilika bola tanzania kama unajua moja nawewe tuambie
Wewe unajua uwezo w Nssf kwa swala LA cash flow?
 
Back
Top Bottom