Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 10,040
- 13,469
wewe nadhani ulishaondolewa hata kwenye daftari la kudumu kupigia kura kwasababu za kiutimamuNarudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maeonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Tutahakikisha watu wote wanaojitambua hawajitokezi kushiriki huo upuuzi. Uchaguzi huru unafanyikia kwa Sheria za haki, kama hata kanuni za uchaguzi hadi leo bado, na wanaozitunga ni hao hao wafaidika wa hizo chaguzi za kipuuzi, ni wendawazimu kusema kutakuwa na uchaguzi huru.
![DisGonBGud :DisGonBGud: :DisGonBGud:](/styles/memoji/DisGonBGud.webp)