Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maeonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Tutahakikisha watu wote wanaojitambua hawajitokezi kushiriki huo upuuzi. Uchaguzi huru unafanyikia kwa Sheria za haki, kama hata kanuni za uchaguzi hadi leo bado, na wanaozitunga ni hao hao wafaidika wa hizo chaguzi za kipuuzi, ni wendawazimu kusema kutakuwa na uchaguzi huru.
wewe nadhani ulishaondolewa hata kwenye daftari la kudumu kupigia kura kwasababu za kiutimamu :DisGonBGud:
 
wewe nadhani ulishaondolewa hata kwenye daftari la kudumu kupigia kura kwasababu za kuitimamau :DisGonBGud:
Kama ni kuondolewa itabidi muondoe wengi sana, na huko kwenye daftari mmbaki na watakaokubali kufanywa mazombie kwa kupoteza muda kwenye mistari ya kura kuongopea Dunia kuwa kuna uchaguzi.
 
Kama ni kuondolewa itabidi muondoe wengi sana, na huko kwenye daftari mmbaki na watakaokubali kufanywa mazombie kwa kupoteza muda kwenye mistari ya kura kuongopea Dunia kuwa kuna uchaguzi.
Yes,
wote wenye shida ya utimamu na walioaga dunia wote wataondolewa :whatBlink:
 
wote wapi tena 🐒

wanainchi kupitia bunge lao tukufu wamepaza sauti na kurekebisha yaliyo muhimu na kuamua iwe kama ilivyo na tunasonga mbele kwenye utekelezaji 🐒

ikiwa hukuridhika, basi hilo ni jambo binafsi tafuta namna binafsi kulitatua.
Lakini ukweli ni kwamba waTz walisharidhia tayari kupitia bunge 🐒
Bunge lenyewe la Magufuri,Mahera na Ndugai na akili zao za Kimagufuri.
 
TUME HURU IPI TANZANIA HAJARIDHIWA NA WOTE? HUJUI AU MAKUSUDI?

bunge la Tanzania linalowakilisha mawazo na maoni ya wananchi wote waTanzania lilijadili na kuridhia maini ya wananchi kuhusu mabadiliko ya tume huru ya uchaguzi Tabazania, na hakuna namna nyingine :NoGodNo:
Bunge la Magufuri hovyo kabisaa lipo tu kwa ajili ya kushibisha matumbo na kumsifia Rais na hakuna kingine cha maana hapo.
 
Bunge la Magufuri hovyo kabisaa lipo tu kwa ajili ya kushibisha matumbo na kumsifia Rais na hakuna kingine cha maana hapo.
maoni yako ni yako, ni maoni yako mwenyewe tu, na ni haki yako ya msingi, lazima yaheshimiwe sana, lakini hayawezi kuzuia au kubadili ukweli kwamba bunge la Tanzania linatekeleza wajubu wake muhimu saba, kazi zake nzito sana, na majukumu nyeti sana kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla.... :BASED:

vinginevyo ni maoni na mitazamo ya lawaidatu ambayo ni kitu cha kawaida:whatBlink:
 
Kwenda kuongezea wastaafu na wenza mafao na marupurupu,siyo.
 
kama hujawahi kuona uchaguzi Huru, wa Haki, na Wazi Tz, basi fuatilia kwa karibu sana uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu na uchaguzi mkuu mwaka ujao, utakao simamiwa na Tuma Huru ya Uchaguzi🐒

Jambo la muhimu zaidi la kuzingatia,
usije ukubaini kwamba ni kweli ni uchaguzi ulikua Huru, Haki na Wazi uchaguzi ukiwa umekwisha, kisha ukaanza kujuta..

oohh bora ningeshiriki,
itabidi usubiri miaka mi5 tena 🐒
Ficha ujinga wako
 
Sasa wewe unaona hiyo ni sawa chombo cha umma kwenda kutunga sheria za kunufaisha familia zao?
kama wewe umeona sio sawa umeskizwa, lakini wale wengine hususan wabunge waliyo wengi wameona ni sawa.

si ndio demokrasia hiyo, au kwa vile umeona wewe si sawa na wengine nao waone kama wewe, right?
 
Back
Top Bottom