chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
Habari wadau
Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi
Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.