thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,519
- 4,036
Kwa haraka haraka nadhani wamejikita kuangalia asili ya mtu na si tabia zake.
Serikali ya sasa ingehitaji makamu chawa hasa.
Ndejembi ni mtu social , sikuwaahi kumuona kwenye press za kichawa mbali na teuzi aliyokuwa nayo.
Na kumpa nafasi ya umakamu ni kumuongezea exposure kwa watu na pressure kubwa maana watu watataka majibu ya maswali yao.
Jamaa anaonekana ana akili timamu , red flag moja kubwa kwa ccm.