Njoo tulime tikiti ujikomboe

Njoo tulime tikiti ujikomboe

Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa mashamba kwa waliolipia anaetaka kuja kulipia karibu sana
40baeb689bb3d67d10a8c503d21a3538.jpg
7d5c2e1250cb44991224e36d9d37b6fd.jpg
4df77f5f1c635d308f35dc2308c8b59c.jpg
71860ab70e985a32ee2701aa1e8c55ab.jpg
8991de2c0a6e4554b0833f6546daa1aa.jpg
1523b6a25eb048dd3a27242d271dd1c2.jpg

733578dd38f97e3437feaa1cad762e48.jpg
484cef7a95363eee2643ddbe559983e0.jpg
1f6296fa5e4e6b45ae9a15eeaf447cc5.jpg
15e1adff8e5fa9f569dd57b7ad5618ac.jpg
2a248499e126435eedb0a58dd6c120a3.jpg
b6636d45d12a4c941c44b0769d5f91df.jpg
Asante mkuu
 
Nani atahusika na usimamizi kama aliyekodi hawez pata mda wa kusimamia??tufahamisheni vizuri wakuu
Mkuu kama upo tayari tuwasiliane kupitia 0714306015 ui n PM! Ni kijana mwaminifu Nipe kazi hiyo nikakusimamie, nina uwezo kufanya kazi za kilimo ila suala ni mtaji tu!
 
Wapo waliokuja shamba usikurupuke kuongea hata wewe karibu sisi hatuna maneno mengi vingi vitendo njoo ujionee hakuna stori hapa kazi tu wacha maneno mengi
790c788d5460b71229922771353c07ef.jpg
8b51203e865de17c61ef0b2f47e1a64f.jpg
4b15c80148f53890380ad0805272bc88.jpg
1e6f0e7146d73904e5ed77e01eaf317b.jpg
6f75151dbd5bc806de9690ab7b945377.jpg
f4ad68146d339bd65dc12a9f9d56e8f8.jpg
6417bfe9be04ab1f387fc8158a51f47b.jpg
b4b78ee0f9bc0dc15be1027939b5cc18.jpg
Thanks in advance with a vivid pictures.
 
Mkuu kama upo tayari tuwasiliane kupitia 0714306015 ui n PM! Ni kijana mwaminifu Nipe kazi hiyo nikakusimamie, nina uwezo kufanya kazi za kilimo ila suala ni mtaji tu!
Nafrahi kuona kijana mwenzangu unavyoonyesha ushupavu wa kuona fursa na kuinyaka Big up
Mimi najaziajazia nyama kwenye kibubu changu hapa nianze mtanange bt by 2017 mjini ntakuwa nakuja kutembea tuu Maisha shambani bwana.
 
Jamani wale tuliokubaliana kuja shamba vikindu kesho kuanzia SAA moja asbh ntakua shamba anaetaka kuja kulipia anakaribishwa kuja mikataba itajuwepo
Good work mkuu! Naomba unijulishe spacing ya mashimo,ukubwa wa shimo,idadi ya miche kwa shimo na formula ya mbolea pls!
 
Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa mashamba kwa waliolipia anaetaka kuja kulipia karibu sana
40baeb689bb3d67d10a8c503d21a3538.jpg
7d5c2e1250cb44991224e36d9d37b6fd.jpg
4df77f5f1c635d308f35dc2308c8b59c.jpg
71860ab70e985a32ee2701aa1e8c55ab.jpg
8991de2c0a6e4554b0833f6546daa1aa.jpg
1523b6a25eb048dd3a27242d271dd1c2.jpg

733578dd38f97e3437feaa1cad762e48.jpg
484cef7a95363eee2643ddbe559983e0.jpg
1f6296fa5e4e6b45ae9a15eeaf447cc5.jpg
15e1adff8e5fa9f569dd57b7ad5618ac.jpg
2a248499e126435eedb0a58dd6c120a3.jpg
b6636d45d12a4c941c44b0769d5f91df.jpg
Mbona napiga number yako sikupati
 
Tatizo kubwa mleta maada badala ya kuanza taja gharama zako unazotaka ulipwe, wewe umeanza kutaja faida anayoweza kuipata mtu...mimi umenitisha maana naona unaanza ipigia mahesabu faida ambayo hata sijaipata bado!!!
 
Naomba niulize.
Hivi nikipanda hayo matikti mwezi huu,kuna uwezekano ya kuathiliwa na mvua za mwezi wa 11 kabla ya kuvuna.Elimu tafadhali.
 
Mkuu laurentie hongera kwa kuwahamasisha raia kuhusu kuzikamatia fulsa zilizopo shamba!

Mimi ni mkulima mzoefu wa mazao karibu yote ya bustani.

Nimesoma na kujionea picha zako ulizo bandika hapa;
Zipo kasoro nyingi sana nimeziona kwenye hili bandiko. Ningependa kuweka masahihisho ya jumla iwe kama tahadhari kwa wale waliovutiwa na huu uzi hatmae kuja kufanya kazi.
1) Ipo kasoro kwenye upandaji wa hizo tikiti. Umepanda kienyeji sana. Upandaji wako utaathiri huo mmea kipindi cha umwagiliaji maji hasa kwa hiyo hybrid(zebra)
2) kuna mapungufu katika uainishaji wa gharama za uendeshaji. Kwanini huwi realistic kuchambua hatua kwa hatua mpaka mavuno.
Nk nk nk
Nikipata muda, ntatoa mchanganuo wa upandaji, cost na kipato halisi kwa ekari moja ya tikiti ili kuwarahisishia watakaovutika kuingia kwenye sekta hii na hatmae wajue mbivu na mbichi kuhusu kilimo.
 
Duh ki ukweli wakenya akili yao iko sharp sana, I love this guyz, ni wajinga wachache sana wasingependa kushiriki na hawa jamaa, they are very smart and ambitious, watz tutabaki na wivu tuu daima huku we zetu wakipiga hatua nyingi sana, hawa jamaa nimewakodishia shamba kule moshi, wanapiga kazi kama vifaru aisee, ni mfano wa kuigwa.
Unakodisha shamba Moshi sehemu gani bosi
 
Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu

Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Hawana element za u koffi olomide??
 
mi natamani wakenya wawe watu wa kwanza kukatazwa kuingia nchini mwetu
Tatzo la kuzaliwa na kukulia buguruni kimboka,unakuwa unacopy element zile zile za dada zako pale buguruni shelii-koffi olomide wee
 
Mkuu laurentie hongera kwa kuwahamasisha raia kuhusu kuzikamatia fulsa zilizopo shamba!

Mimi ni mkulima mzoefu wa mazao karibu yote ya bustani.

Nimesoma na kujionea picha zako ulizo bandika hapa;
Zipo kasoro nyingi sana nimeziona kwenye hili bandiko. Ningependa kuweka masahihisho ya jumla iwe kama tahadhari kwa wale waliovutiwa na huu uzi hatmae kuja kufanya kazi.
1) Ipo kasoro kwenye upandaji wa hizo tikiti. Umepanda kienyeji sana. Upandaji wako utaathiri huo mmea kipindi cha umwagiliaji maji hasa kwa hiyo hybrid(zebra)
2) kuna mapungufu katika uainishaji wa gharama za uendeshaji. Kwanini huwi realistic kuchambua hatua kwa hatua mpaka mavuno.
Nk nk nk
Nikipata muda, ntatoa mchanganuo wa upandaji, cost na kipato halisi kwa ekari moja ya tikiti ili kuwarahisishia watakaovutika kuingia kwenye sekta hii na hatmae wajue mbivu na mbichi kuhusu kilimo.
Ndg nimekupm no yangu tuwasiliane
 
Mimi nakusahihisha kwenye paragraph ya kwanza.

Fulsa = Fursa.
 
Jamani wale tuliokubaliana kuja shamba vikindu kesho kuanzia SAA moja asbh ntakua shamba anaetaka kuja kulipia anakaribishwa kuja mikataba itajuwepo
Hutakiwi kuwakodishia ardhi raia wa kigeni, unatakiwa kushtakiwa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom