Njoo tulime tikiti ujikomboe

Acha chuki za kijinga na utembee kidogo, Watanzania wenzako wamejaa huku Kenya wewe unafikiria kutimua watu.. The world is a global village, wake the fcuk up and exploit it, dumbass.

i feel sory for you, umeenda kenya basi unajiona umetembea duniani, i have been in more that 15 countries, sijui una nini cha kunifundisha, i know what am talking about, damn bitch
 
Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu

Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Anatania huyo mkuu usichulie kaongea serious haa haa
 
Duh ki ukweli wakenya akili yao iko sharp sana, I love this guyz, ni wajinga wachache sana wasingependa kushiriki na hawa jamaa, they are very smart and ambitious, watz tutabaki na wivu tuu daima huku we zetu wakipiga hatua nyingi sana, hawa jamaa nimewakodishia shamba kule moshi, wanapiga kazi kama vifaru aisee, ni mfano wa kuigwa.
 
Nitakukodishia shamba ,utalima ntakushauri pia ukipenda tunatoa usimamizi wa shamba

Kitu ambacho huwa nashindwa kuelewa ni pale mtu anapotafuta 80,000/= kwa siku 60 wakati angeweza kutengeneza 5,000,000/= kama faida ndani ya siku hizo. Je ni ulaghai? ama nini? Tusaidiane tutoke kimaisha kwa njia sahihi kwa kutoa taarifa sahihi tafadhali!
 
Mtu pekee anayeweza kutoa dili la milioni mbili na nusu kwa watu baki maana yake kwao yeye ndio masikini wa mwisho. Hongera sana mkuu kuwa masikini wa mwisho kwenye ukoo wenu.
 
Mmh mbona naona kama imekuwa bit exp mimi nimelima mwaka jana hapo mwasonga kigamboni, heka moja nlitumia kama million 1 tu! Na nikauza after 70 days shamba zima kwa shilling 2.8 m
Inaekea matunzo hayakua mazuri ,matikiti yalikua madogo
 
Kitu ambacho huwa nashindwa kuelewa ni pale mtu anapotafuta 80,000/= kwa siku 60 wakati angeweza kutengeneza 5,000,000/= kama faida ndani ya siku hizo. Je ni ulaghai? ama nini? Tusaidiane tutoke kimaisha kwa njia sahihi kwa kutoa taarifa sahihi tafadhali!
Matikiti unavuna 24000-3000 @sh. 2000 hadi 3000 kwa tikiti kubwa zaidi unaweza uza shamba au ukapeleka mjini unapata zaidi ya sh.5000000 .usihesabu pesa tu kwenye investment hesabu na muda pia ni rasilimali ,tuna fail sana watanzania tunapoangalia pesa nikitu pekee unachoweza kuwekeza ,tunasahau unaweza ukawa na pesa ukikosa muda huwezi wekeza so gharama katika mradi wowote usiangalie pesa tu ,muda pia nirasilimali kubwa sana
 
i feel sory for you, umeenda kenya basi unajiona umetembea duniani, i have been in more that 15 countries, sijui una nini cha kunifundisha, i know what am talking about, damn bitch

You shouldn't feel sorry for me hun, I dont need it. for a person alleging to have 15 stamps on her passport you surely are close minded. this is an awesome topic with very beneficial inputs from members here, sad that all you could bring to the table is hate and negativity, hating on your neighbors for no apparent reason. You need to style up, and I insist you get out of manzese and exploit the world around you, it'll change your mentality.
 
mimi kama sipo huko je,niko tabora nahitaji tu muongozo wa namna ya kuyalima,schedule nzima tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho kwahiyo ukinisaidia kupata softcopy nitakulipa
 
You shouldn't feel sorry for me hun, I dont need it. for a person alleging to have 15 stamps on her passport you surely are close minded. this is an awesome topic with very beneficial inputs from members here, sad that all you could bring to the table is hate and negativity, hating on your neighbors for no apparent reason. You need to style up, and I insist you get out of manzese and exploit the world around you, it'll change your mentality.

you sound so stressed, pole ni Changamoto za maisha, this is the place where we dare to talk openly,what i wrote is my opinion buddy, if you find something out of your interest, please close your eyes and look for what you think is best for you, otherwise you will end up provoking to everybody, my opinion is not necessarily your opinion, we are different my dear, i cant be what you want me to be huh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom