Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tuNchi yetu haturuhusu wakenya kulima[emoji15] [emoji23] [emoji23]
Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana