Njoo tulime tikiti ujikomboe

Njoo tulime tikiti ujikomboe

Mmh mbona naona kama imekuwa bit exp mimi nimelima mwaka jana hapo mwasonga kigamboni, heka moja nlitumia kama million 1 tu! Na nikauza after 70 days shamba zima kwa shilling 2.8 m
Wateja wa kununulia shamba unawapataje mkuu?
 
Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680
40baeb689bb3d67d10a8c503d21a3538.jpg
7d5c2e1250cb44991224e36d9d37b6fd.jpg
4df77f5f1c635d308f35dc2308c8b59c.jpg
71860ab70e985a32ee2701aa1e8c55ab.jpg
8991de2c0a6e4554b0833f6546daa1aa.jpg
1523b6a25eb048dd3a27242d271dd1c2.jpg
Mkuu kama nataka la kununua sio kukodi Napata? sh. ngapi kwa heka?
 
Ndugu zangu kwa wanaotaka kuanza kujiunga nasi katika kilimo hichi hapa vikindu ajitahidi kujipanga mapema muitikio umekua mkubwa mashamba ya karibu yanajaa yanabaki ya mbali
 
Naomba nikushukuru kwa uzalendo ulio nao umetoa fursa kwa anaye taka sasa malumbano yanatoka wapi naomba nitumie namba ya cm kwa no 0622747736 nahitaji kuja sasa tuwasiliane
 
i feel sory for you, umeenda kenya basi unajiona umetembea duniani, i have been in more that 15 countries, sijui una nini cha kunifundisha, i know what am talking about, damn bitch
Hii kuishi kwa shemeji yako inakupa kiburi sana wee mtoto
 
Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680
40baeb689bb3d67d10a8c503d21a3538.jpg
7d5c2e1250cb44991224e36d9d37b6fd.jpg
4df77f5f1c635d308f35dc2308c8b59c.jpg
71860ab70e985a32ee2701aa1e8c55ab.jpg
8991de2c0a6e4554b0833f6546daa1aa.jpg
1523b6a25eb048dd3a27242d271dd1c2.jpg
Aisee asante sana kwa ukarimu wako. Hizo ni fulsa nzuri sana. Sasa kwa mfano mtu anashamba huko kimanzichana na ardhi ya pale maji yako karibu au mbali sijui? Na je hayo matikiti yanakubali huko kimanzichana? Naomba ufafanuzi plz.
 
Ni vikindu boss unataka kukodi au kununua
 
Ndio mkuu. Ila mi binafsi nna shamba kimanzichana. Msaada wa fikra
 
Haha 5m ndani ya miezi 2. 2.5m.....andika "other things remain constant".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom