KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,214
- 56,855
- Thread starter
- #21
Ahsante mkuu ngoja nifanyie kaziMkuu open source app zipo, unatakiwa tu ufanye utafiti mwenyewe upunguze Kadri itakavyowezekana.
Mfano unafanya Encryption simu, itasaidia ku kulinda na threat za nje, ila ukiweka app ile app ikawa ndani ya simu encryption haitasaidia chochote maana mwenye app anakuwa na mirija kusoma data kabla hazijafanyiwa hio encryption..
Hivyo kwa hizi os mbili za simu inakuwa ngumu sana, sababu udukuzi ni kama umehalalishwa.