Njia zipi naweza kutumia ili simu yangu isiweze kudukuliwa?

Mkuu open source app zipo, unatakiwa tu ufanye utafiti mwenyewe upunguze Kadri itakavyowezekana.

Mfano unafanya Encryption simu, itasaidia ku kulinda na threat za nje, ila ukiweka app ile app ikawa ndani ya simu encryption haitasaidia chochote maana mwenye app anakuwa na mirija kusoma data kabla hazijafanyiwa hio encryption..

Hivyo kwa hizi os mbili za simu inakuwa ngumu sana, sababu udukuzi ni kama umehalalishwa.
Ahsante mkuu ngoja nifanyie kazi
 
Kama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapa

navyojua hazidukuliwi kizembe
Kwanini usidukuliwe? Moja ya udukuzi mkubwa kupata kutokea duniani kwa watu wa kawaida ni ule wa icloud, tukaona uchi wa celebrity zaidi ya 100.

Pia kama nilivyosema huko juu, udukuzi kwenye ios na android ni kama umehalalishwa unakuta app ya kuwasha tochi I naomba permission ya kusoma contacts, location, ku access gallery etc.
 
kwan unatumia cm gani mbona umekaza fuvu kiasi icho kama system ya ulinzi ya us inadukuliwa we unatwambia nini kama unapo kaa hamna watundu basi usikaze fuvu ueleweshe
Natumia one of the latest iPhones..macho 3😜

wanasema kati ya android na iOS
iOS ni salama zaidi
 
Encrypt ur data & avoid installing apps from 3rd parties
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom