Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi kupeleka mwizi gerezani pamoja na familia yake yote ambayo haikushiriki wizi, bali tunapaswa kupeleka mwizi huku familia yake ambayo haijashiriki wizi wake ikibaki salama
Watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii wanaweza kuonywa kwasababu idadi kubwa haijui Sheria, wengi wanafanya kwa kutokujua hakuna ulazima wa kuwaadhibu labda kama makosa yatavuka kiwango na hasa pale wanapokuwa wameshaonywa kwa mara kadhaa
Zipo baadhi ya adhabu zinazohimilika mfano kuzuiwa huduma ( temporarily account suspension) mpaka pale watakapopata uelewa