Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Wanaume tumeubiwa tamaa, hakuna mwanaume ambaye hana tamaa.
Je ni kweli tamaa tunayo sisi wanaume tu?

Kwamba wanawake na wao hawaikinai nanii hiyohiyo moja kila siku? Hawawatamani na kutongozwa na wanaume wengine huko nje wenye mionekano na hadhi kushinda sisi?
 
"badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika."

Hapo☝🏿 ndipo maamuzi ya mustakabali wako yajikite,ona thamani yako na uendelee na maisha yako.

Chochote kibaya unachopanga kufanya kipotezee tu,maana unaweza kuwafanyia na wasiteseke kama unavyodhania hapo utateseka wewe kwa kuona mpango wako umeshindwa.

Na inawezekana ukataka tena kufanya jaribio lingine,hapo utakuwa umeanzisha vita endelevu.
Je hili ndilo unalolitaka? Maana sidhani kama na wao hawatajibu mapigo.

Na utakuwa unaendelea kubeba chuki hata baada ya kuondoka hapo,jua tu chuki ni sumu unayokula wewe ukitegemea imdhuru umchukiaye,utakosa amani ya moyo.

Hiki kisasi unachopanga naamini kinachochewa na hisia za kutaka kuwakomoa,hizi ni hisia za muda mfupi,zisiunde maamuzi yako.

Jamaa huenda au anadhani anakumudu,ondoka kimya kaendelee na maisha yako,kujua kwake umeweza kufanya maamuzi ya kuondoka na akajua hana tena control juu yako ni kisasi au mateso tosha kwake.

Kila la kheri.

Ukiona mko kwa mahusiano na unataka kumkomoa mwenzio jua bado uko nae na unampendq na haujafikia standard ya kumove on

Nakushauri leo wanao hakuna mume wa peke yako na tabia yake umeitengeneza wewe
Ukiondoka haijalishi utakuwa umejimaliza maisha

Labda utoke na watoto nje ya hapo umejiua mwenyewe

Kila la kheri na maamuzi yako
Sawa
 
Watoto wanasoma dear mmoja Bado mdogo hajaanza shule.nikiwachukua nitavuruga utaratibu wao na kwasasa nitakua Sina pa kuwaweka sijaandaa mazingira .. ..pia baba aone umuhimu wangu ...alishawahi kutamka "kulea kitu gani" kwahiyo zamu yake imefika
Hahaha. Atauona ushetani wako pia. Kaa naye mwambie ulichogundua na maamuzi unayotaka kuyafanya. Kubalianeni kuhusu mustakabali wa watoto. Then tekeleza maamuzi yako. Cha muhimu usitelekeze watoto.
 
Men cheat, hilo wala usiwaze sana, ukiondoka hapo weka kipapa kufuli maana the next one will cheat too.

Nashangaa sana wamama wa sasa hawana time na watoto, hawataki kuwa responsible kabisa kulea watoto.

Poleni sana mnaopitia changamoto za ndoa na malezi.
 
Huyo mwanamke wala huna cha kumfanya, labda sijui umefikiria nini kusema ateseke. hatuwezi kuingia akilini mwako. Labda mwanaume ndo anaweza kuteseka kwa kuwa utamuacha wakati hajatarajia. Hata hivyo inategemea na akili ya mwanaume. Wengine ukiondoka ndo bye bye wala hakutafuti, especially kama anajiweza kiuchumi, na kama ana mental maturity ya kudeal na wanawake. Mimi wa kwangu siku akijaribu hivyo ndo bye bye forever.
Kwa hapa nilipofikia Wala Sina haja ya yeye anitafute .nikiondoka manake nimevumja ndoa mwenyewe sintarudi nyuma!
 
Men cheat, hilo wala usiwaze sana, ukiondoka hapo weka kipapa kufuli maana the next one will cheat too.

Nashangaa sana wamama wa sasa hawana time na watoto, hawataki kuwa responsible kabisa kulea watoto.

Poleni sana mnaopitia changamoto za ndoa na malezi.
😁 Kipapa.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Sawa umeeleza yoote mabaya ya Baba watoto lakini hakuna HT moja la kwako umetaja.

Ukifika mpaka Mwanaume anakupiga sio kwamba yeye ni kichaa, anakufungia ndani ukiwa na Mtoto yeye sio kichaa, mkamua kufunga Ndoa ya serikali bila Ndugu kujua hapo kunaonesha kasoro nyingi tangu Mwanzo, alikuwa na Mtoto wa nje bila wewe kujua sio Rahisi may be ili ignore Tu kwa sababu ya maslahi yako binafsi.

Yote kwa Yote ni matokeo ya uchaguzi wako, be responsible for your own choice
Acha kulia Lia na kutaka kuwaliza wengine.

Nadhani sijashauri chochote kama ulivyotak
Ya kwangu atasema yeye!! Binadamu ana nafsi Moja tu..
Asante kwa andiko lako
 
Ushauri wangu; kwanza kabsa, tulia usifanye maamz kwa hasira na kukurupuka, unaweza kudhan unamkomoa mmeo na mchepuko wake kumbe baadae ukawaumiza watoto, vp kama utawaacha watoto na asiwajari au akamleta huyo mchepuko akaish nao kwa kuwanyanyasa!?

Jambo lingne; usiwe na wiv sana na mmeo, kumbuka huyo ni mwanaume anaweza kuoa mke wa pili na bado akataka aendelee kuish na wew kama mke mkubwa huku akihdumia watoto na wew pia, vp kama jamaa anampango huo ila alikua hajakujulisha tu, utafanya maamz kumbe unakosea!

Kumbka hamjafunga ndoa ya kanisan (mke mmoja mme mmoja), huenda jamaa anataka kuoa mke wa pili ila kakawia kukupa taarifa tu wew kama mke mkubwa!

Jamaa kama anahudumia familia, acha wenge kaa ulee watoto, acha mawazo hao, zungumza nae jamaa ukwel, umwambie kuwa ushajua kila kitu, angalia mipango yake ndo ufanye maamzi!
Sawa ,asante kwa ushauri
 
Kama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !

Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !

Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha fasta
Thread Closed
 
Asante kwa ushauri ..napokea yote..ila kuhusu mtoto siyo inshu kwangu nilishalipokea ndo mana kama umesoma vizuri nimesema .."MAISHA yakaendelea" na mtoto yupo tulishamchukua tunaishi naye.

Sina lengo la kumdhuru mtu miye nataka tu nipoze moyo AJUE anayofanya akifanyiwa yeye atapenda?

haya nifanyeje basi?..mi pia ni binadamu kama yeye..
Hakikisha watoto wanakuwa huku ukiacha kusumbua na mtu asiye na upendo kwako, acha kudeal naye, wewe deal na watoto
 
Back
Top Bottom