Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Chuki humuumiza aliyeibeba! Kama unasepa wewe sepa ila usijipe adhabu ya kutaka kuwaumiza waliokusaliti.

Ukiona watu wameachana kirafiki/kimapenzi halafu mmoja kila siku mapovu yanamtoka basi jua anayetokwa na mapovu ndio kaumizwa na alipendA sana.

Ukimove on, nenda mazima ujipe amani ya moyo. Hao wanaweza wasiteseke vilevile sababu Mungu hatoki kijijini kwenu.
Siku hizi umekuwa na hekima mdogo wangu
 
Wakati nasubiria huo utaratibu WA kimahakama nataka niwe nje ya mfumo .
Ushauri wangu; kwanza kabsa, tulia usifanye maamz kwa hasira na kukurupuka, unaweza kudhan unamkomoa mmeo na mchepuko wake kumbe baadae ukawaumiza watoto, vp kama utawaacha watoto na asiwajari au akamleta huyo mchepuko akaish nao kwa kuwanyanyasa!?

Jambo lingne; usiwe na wiv sana na mmeo, kumbuka huyo ni mwanaume anaweza kuoa mke wa pili na bado akataka aendelee kuish na wew kama mke mkubwa huku akihdumia watoto na wew pia, vp kama jamaa anampango huo ila alikua hajakujulisha tu, utafanya maamz kumbe unakosea!

Kumbka hamjafunga ndoa ya kanisan (mke mmoja mme mmoja), huenda jamaa anataka kuoa mke wa pili ila kakawia kukupa taarifa tu wew kama mke mkubwa!

Jamaa kama anahudumia familia, acha wenge kaa ulee watoto, acha mawazo hao, zungumza nae jamaa ukwel, umwambie kuwa ushajua kila kitu, angalia mipango yake ndo ufanye maamzi!
 
Muwekee tone Moja la eye drops kwenye juisi, maji na chai anayokunywa Kila siku

Mboga au chakula chake muwekee vidonge vya uzazi wa mpango wa mwanamke Kila siku.

Kuna oil Fulani hivi nyeupe kwa ajili ya vipuri, kachukue umuwekee kidogo kidogo kwenye kinywaji au chakula chake.

Mwaka hamalizi huyo, tutakuita mjane na utaolewa tena 😁😁😁😁😁😁
Kweli wewe ni mwanaharamu😂😂😂😂
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Cheating is a choice sio mistake bibie....hata usihangaike na unachokiwaza hakuna hela utapata zaidi ya dharau uzidi kuumia....na wewe ndoa gani hiyo ulienda kujioza bila kwenu kujua? Na je mahari pia ulimsaidia kulipa? Kama umeamua humpendi fanya mambo yako taratibu ujidhihirishe kutoka moyoni mwako kuwa umeamua bila shuruti kuwa single maza na utaweza......watoto watatu sio mchezo kuwalea peke yako ghafla tu ivi unless ulikuwa unawahudumia mwenyewe toka mwanzo japo watoto sio sababu ya mwanamke kuendelea kuteseka kwènye ndoa....na hayo sio mateso by the way ni wivu tu....ungejaribu kuwa na mambo yako bila kufuatana fuatana, mkumbushe tu majukumu yake ila usimgande as if bila yeye hupumui, puuza dharau zake ila muheshimu tu kama mume ( kama kweli ni mume alikuoa peke yake bila support yako kumsaidia kutoa mahari😀)
Hayo huwa ni mapito tu
 
Kama kuna watu walikutesa ukiwa mdogo, wafuate uwakabili / uwa confront.

Waambie
walichokifanya.

Wawajibishe, kama ni kuwapeleka polisi, au kuwaweka hadharani maovu waliyofanya.

Kama vipi lipiza kwao wenyewe.

Sasa wewe jitie hamnazo waliokutesa unawaacha wanatamba unawafuata wasiohusika my friend, hiyo huruma unatafuta hutoipata zaidi ya kujaza ujazo wa ghadhabu itakayoshuka juu yako maana huna tofauti na hao waliokuumiza, walimuumiza mtu asiye na hatia na wewe unaumiza wasio na hatia. Wote waovu tu.
Huwezi ku heal kama hajuajisamehe mwenyewe, hata ukienda polisi the pain won't go away
 
Ulipo panafaa utakapoenda unaweza pata majuto
Kama unahudumiwa vzr hayo yatapita
Hakuna mwanaume kwa Tanzania hii mweny mbunye Moja,ndvyo tulivyoumbwa na muyapokee

Kazi ni mbaya unayo kama Hauna ni ya thamani sana
Watanzania tunajuana vumilia ipo siku atakaa sawa
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Mi naona muendelee kuishi ila usimpe ishu ten mbanie kila akitaka mgomee hadi ajishtukie
 
How dare are you umvumilie miaka 10? Na kwanini uishi na mtu usiye na upendo nae?
. Kwanini wanawake huwa mnakuwa vin'gang'anizi?

Wewe sema tu unacho kisubiria hapo ni mali tu umpige mzee wa watu. Na ulivyo Lijinga unataka kuacha watoto wateseke.

Hakuna mtu wa kukupa mbinu za kwenda kuangamiza mumeo, maana yeye tayari ana link na watoto wako, ukimpiga kizinga au kumuuwa watoto wenu watateseka zaidi
 
Cheating is a choice sio mistake bibie....hata usihangaike na unachokiwaza hakuna hela utapata zaidi ya dharau uzidi kuumia....na wewe ndoa gani hiyo ulienda kujioza bila kwenu kujua? Na je mahari pia ulimsaidia kulipa? Kama umeamua humpendi fanya mambo yako taratibu ujidhihirishe kutoka moyoni mwako kuwa umeamua bila shuruti kuwa single maza na utaweza......watoto watatu sio mchezo kuwalea peke yako ghafla tu ivi unless ulikuwa unawahudumia mwenyewe toka mwanzo japo watoto sio sababu ya mwanamke kuendelea kuteseka kwènye ndoa....na hayo sio mateso by the way ni wivu tu....ungejaribu kuwa na mambo yako bila kufuatana fuatana, mkumbushe tu majukumu yake ila usimgande as if bila yeye hupumui, puuza dharau zake ila muheshimu tu kama mume ( kama kweli ni mume alikuoa peke yake bila support yako kumsaidia kutoa mahari😀)
Hayo huwa ni mapito tu
Mimi kila siku napenda kusema mtu lazima alalie kitanda alicho kitandika, kama kasha zaa na ana watoto lazima awe responsible mpka wakuwe lasivyo atakuwa mjinga sana.
 
Mengi yamesha jadiliwa, lakini naomba tu niseme kwa ujasiri kabisa kwamba wewe ni mwanamke mpumbavu na nakuona ukivunja ndoa yako kwa mikono yako wewe mwenyewe (nisamehe kwa kutumia lugha kali).
Kimsingi hakuna siku utaweza kushindana na mwanaume, na hakuna siku utafanikiwa kumkomoa mwanaume.
Labda umfanyie kilema ama baya ambalo litamfanya asiweze kuendelea na maisha yake kawaida, and utakapo fanikiwa hilo kumbuka utakao wakomoa ni watoto wako kwa kuwafanyia maumivu na kukosa support ya baba.
Na sioni kama yeye kukuoa ukamkuta na mtoto mmoja ni issue kubwa.... yawezekana alikuficha kwasababu alikua anakupenda na aliogopa kukupoteza (mimi wakati nafungandoa alinikuta na watoto 5 na wote tunaishi nao hadi leo bladi hell...🫤)
Umeishi kwenye ndoa kwa miaka 10 na leo ndio u ajiona haupo sehem sahihi wala hautaki kuongelea maumivu yako....🤔
Na ukweli nikwamba kupata mwanaume atakae kupenda na kukutunza kwa dhati kwasasa na hali yako mama naomba nikwambie tu ningumu sana, ninacho kiona zaidi wewe ndie unaenda kuwa mchepuko wa wababa wenye ndoa zao.
 
Ndoa ni kama kazi ujue ,
Mwanzo unapopata kazi unaweka mipango mizuri ya kuwahi kaziini na mambo mengne .Mwishoe mtu haendi kaziini au unajifanyia unavyotaka .
Hata KWENYE ndoa mwanzo mwanamke anakuwa na mawazo mazuri tuu,kupika ,kuandika kitanda, kuwa kalibu na mmewe na mambo mengne .Miaka inavyozidi kwenda mwanamke anajenga mazoea ,Anajipikia anavyotaka na mambo mengne meng
Hapa Mwanaume unatarajia afanye Nini?

Unaish na mwanaume miaka kumi unaomba ushauri umuache Tena umuache kwa maumivu

Hapa unalenga kifo au Mali .

Hayo mawazo yatoe utajuta mbeleeni
 
Ili usiteseke huko unako enda, mashairi mvute mkopo mkubwa chukua chako ili tuendako usipange uanzie nyumbani kwako, ukipalamia Kodi za nyumba au chumba utajua haujui, ila jirizishe SAA zingine waweza kuta una nongwa Yako tu hamna inshu ya jamaa kuchepuka Wala nini
Sina nongwa mkuu ..
 
Kiafrika mwanamke hana hadhi ya ubinadamu aliyonayo mwanaume ndio maana mwanamke anatakiwa kuvumilia usaliti ila mwanaume hatakiwi. Huo ndo uhalisia bila kurembesha maneno.
Hii sio sawa! Ilifanya kazi kipindi cha nyuma coz wanawake hawakuwa na uwezo wa kujitegemea ila sio sasa.

Ndio maana ndoa now ni kipengele.
 
Mengi yamesha jadiliwa, lakini naomba tu niseme kwa ujasiri kabisa kwamba wewe ni mwanamke mpumbavu na nakuona ukivunja ndoa yako kwa mikono yako wewe mwenyewe (nisamehe kwa kutumia lugha kali).
Kimsingi hakuna siku utaweza kushindana na mwanaume, na hakuna siku utafanikiwa kumkomoa mwanaume.
Labda umfanyie kilema ama baya ambalo litamfanya asiweze kuendelea na maisha yake kawaida, and utakapo fanikiwa hilo kumbuka utakao wakomoa ni watoto wako kwa kuwafanyia maumivu na kukosa support ya baba.
Na sioni kama yeye kukuoa ukamkuta na mtoto mmoja ni issue kubwa.... yawezekana alikuficha kwasababu alikua anakupenda na aliogopa kukupoteza (mimi wakati nafungandoa alinikuta na watoto 5 na wote tunaishi nao hadi leo bladi hell...🫤)
Umeishi kwenye ndoa kwa miaka 10 na leo ndio u ajiona haupo sehem sahihi wala hautaki kuongelea maumivu yako....🤔
Na ukweli nikwamba kupata mwanaume atakae kupenda na kukutunza kwa dhati kwasasa na hali yako mama naomba nikwambie tu ningumu sana, ninacho kiona zaidi wewe ndie unaenda kuwa mchepuko wa wababa wenye ndoa zao.
Asante kwa ushauri ..napokea yote..ila kuhusu mtoto siyo inshu kwangu nilishalipokea ndo mana kama umesoma vizuri nimesema .."MAISHA yakaendelea" na mtoto yupo tulishamchukua tunaishi naye.

Sina lengo la kumdhuru mtu miye nataka tu nipoze moyo AJUE anayofanya akifanyiwa yeye atapenda?

haya nifanyeje basi?..mi pia ni binadamu kama yeye..
 
Back
Top Bottom