Wewe ni mwanamke na Nusu..mi nadhani suala la usaliti umelichukulia kwa uzito sana,mpaka hapo ushaanza kujiona si chochote ila nikwambie wanaume wana asili ya kuchepuka na kuna mda wanajisahau.
bado sijaona sababu ya ww kuachana na hiyo ndoa kwani umewahi kukaa naye chini na kuhitaji mazungumzo naye na yy akasema ya kwake yawezekana kila mtu ana makosa.
iliwahi nikuta ila sasa inachekesha sijawahi kuwaza kuacha ndoa yangu
Talking from experience,tuna hadithi ya upande mmoja laiti tungekuwa na upande wa mwanaume nakuhakikishia Watu Wangebalansi na wangekuwa na Akiba ya Maneno.
Mimi ilinikuta Hii, Bibie akaleta mbwembe na vile ana Kazi ,alitegea Nipo Zangu kwenye harakat Zangu,akabeba Kila kitu na Watoto, yaaani nilikuta Hakuna hata ndoo ya chooni,nakakausha Wala sijamtafuta Wala Nini, Wewe now Days anaomba hata Kuwa mchepuko.