Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Sawa umeeleza yoote mabaya ya Baba watoto lakini hakuna HT moja la kwako umetaja.

Ukifika mpaka Mwanaume anakupiga sio kwamba yeye ni kichaa, anakufungia ndani ukiwa na Mtoto yeye sio kichaa, mkamua kufunga Ndoa ya serikali bila Ndugu kujua hapo kunaonesha kasoro nyingi tangu Mwanzo, alikuwa na Mtoto wa nje bila wewe kujua sio Rahisi may be ili ignore Tu kwa sababu ya maslahi yako binafsi.

Yote kwa Yote ni matokeo ya uchaguzi wako, be responsible for your own choice
Acha kulia Lia na kutaka kuwaliza wengine.

Nadhani sijashauri chochote kama ulivyotak
 
Ukisepa Kwa wema bila drama, itakupa ujasiri huko unapoenda na nadhan baada ya muda itamuathiri mentally kama unavyotaka.
 
Dada Yang mimi nitakushauri;

KISASI SIYO DHAMBI

Kama huyo dada mchepuko ana mme bas anza kutoa uroda kwa mmewe ikibidi mpe na zawad nzuri ya mtoto.
Halafu mwambie mmewe kwamba mkewe anachakatwa na mme wako.

Halafu ondoka zako na Bendera ya ushindi
Hahaha comeback ya nguvu
 
Muwekee tone Moja la eye drops kwenye juisi, maji na chai anayokunywa Kila siku

Mboga au chakula chake muwekee vidonge vya uzazi wa mpango wa mwanamke Kila siku.

Kuna oil Fulani hivi nyeupe kwa ajili ya vipuri, kachukue umuwekee kidogo kidogo kwenye kinywaji au chakula chake.

Mwaka hamalizi huyo, tutakuita mjane na utaolewa tena 😁😁😁😁😁😁
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
kupata usibitisho wa mahusiano ya pembeni na usimwambie ni kujitesa funguka muongee uenda mkapata suluhu nzuri kuliko kuondoka bila kusema tua mzigo kwa kuongea then rudi apa leta mrejesho upate ushauri kuliko kuondoka kimya kimya
 
Ni masikitiko kwakweli . Kuna siku alitamka... " Nitakuja kukufanyia kitu Cha kishenzi " mmmh Bado tu nisubirie kuja kutangazwa kwa kina Millard?
Kifuatacho ni" auwawa na mumewe kwa kipigo" halafu hiyo habari inakuwa inakuhusu wewe.
 
Mimi ni Kanda ile

Mmechuma mali ya pamoja kama wanandoa??

Kuna assets zozote hapo ??

Je mustakabali wa watoto hasa uliozaa naye upoje??

Kuondok kwenye ndoa uwaache hao watoto ni kipengele jaribu kutengeneza mazingira ambayo hayatakugharimu wewe wala watoto

Je jamaa ana ukwasi?? Tutengeneze mazingira ya parcent kadhaa
 
Jambo jema kabisa , asije akakuua huyo mwehu maana ni kama Kuna mahali nimeona umesema alikupiga na kukufungia nje

Unawezaje kumpiga na kumfungia nje baby mama wako na usiwe mwehu
Huyo mwanaume ana matatizo ya afya ya akili alitakiwa kuwa Mirembe boarding kwa kitendo cha kumpiga mwanamke tena mwenye mtoto.
 
Kila siku nasema humu,msaliti hua hasamehewi hata siku moja,haijalishi huyo msaliti ni wa jinsia gani,

Kitendo cha kusema ulifunga nae ndoa ya kiserikali bila ndugu kuhusika kina ashiria kua hiyo ndoa haikua na baraka za wazazi wako wala ndugu zako,hukutaka kusikia neno la mtu na ukaamua kuolewa tu,sasa yamekufika,mbele moto,nyuma moto,huwezi hata kwenda kushtaki kwenu coz ndoa uliitaka wewe mwenyewe kwa nguvu,

Ushauri,

Mchunguze huyo mwanamke kama kaolewa,kama kaolewa tafuta namba ya mumewe,ukisha ondoka hapo kwako,watumie hizo screen shot,Mume wako,Mwanamke wake na mume wa huyo mwanamke,

KOSA ulilolifanya ni ulivumilia kwa muda mrefu ukiamini kua Mumeo angebadilika,msaliti hua habadiliki,kosa lingine ulimuonyesha kua unamuhitajia sana na huwezi kuishi bila yeye,ndio maana akakushusha thamani yako,

WATOTO wako usiwaache,chukua watoto wako uende nao popote utakapo enda,

Huyo Mwanaume hata akija kukuomba radhi,usimpe nafasi kabisa,yani usirudiane nae tena,utakuja kufa kwa magonjwa ya stress au akuletee magonjwa ya zinaa,

Huu ni ushauri tu but the rest it's up to you,

Good luck.
Kuvumilia ujinga sisi wanawake tunapenda sana,tunajipaga moyo eti" atabadilika". Mwisho wa siku yanatufika shingoni tunakosa suluhisho baadae mtu anakufa kabla ya wakati kisa mwanaume.
 
Sawa umeeleza yoote mabaya ya Baba watoto lakini hakuna HT moja la kwako umetaja.

Ukifika mpaka Mwanaume anakupiga sio kwamba yeye ni kichaa, anakufungia ndani ukiwa na Mtoto yeye sio kichaa, mkamua kufunga Ndoa ya serikali bila Ndugu kujua hapo kunaonesha kasoro nyingi tangu Mwanzo, alikuwa na Mtoto wa nje bila wewe kujua sio Rahisi may be ili ignore Tu kwa sababu ya maslahi yako binafsi.

Yote kwa Yote ni matokeo ya uchaguzi wako, be responsible for your own choice
Acha kulia Lia na kutaka kuwaliza wengine.

Nadhani sijashauri chochote kama ulivyotak
Huyo mwanaume ni kichaa ndo maana anampiga mke wake, huwezi kuwa na akili timamu halafu ukampiga mkeo, haipo hiyo.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Ukiondoka halafu ukajua kuwa hajateseka kisaikolojia halafu ndiyo kwanza kafurahia umempa uhuru utajisikiaje?
 
🤗

Ila sasa mbona unaona ni sawa mke kuvumilia usaliti wa mwanaume?
Kiafrika mwanamke hana hadhi ya ubinadamu aliyonayo mwanaume ndio maana mwanamke anatakiwa kuvumilia usaliti ila mwanaume hatakiwi. Huo ndo uhalisia bila kurembesha maneno.
 
Chuki humuumiza aliyeibeba! Kama unasepa wewe sepa ila usijipe adhabu ya kutaka kuwaumiza waliokusaliti.

Ukiona watu wameachana kirafiki/kimapenzi halafu mmoja kila siku mapovu yanamtoka basi jua anayetokwa na mapovu ndio kaumizwa na alipendA sana.

Ukimove on, nenda mazima ujipe amani ya moyo. Hao wanaweza wasiteseke vilevile sababu Mungu hatoki kijijini kwenu.
Best comment.
 
Mimi ni Kanda ile

Mmechuma mali ya pamoja kama wanandoa??

Kuna assets zozote hapo ??

Je mustakabali wa watoto hasa uliozaa naye upoje??

Kuondok kwenye ndoa uwaache hao watoto ni kipengele jaribu kutengeneza mazingira ambayo hayatakugharimu wewe wala watoto

Je jamaa ana ukwasi?? Tutengeneze mazingira ya parcent kadhaa
Unawaza pesa tu mnyanturu weye
Tafuta zako kijana ili husipakwe mafuta ya upako
 
Hivi ukiondoka unachokitaka utakipata nje au unaona single mother wanafaidi nje

Kaza mwanamke ndoa sio lele mama hivyo zungumza nae zaidi shirikisha mtu wa bus busara baina yenu mkae sawa
Hayo mambo ya kukaza huku unaumia ndo chanzo wanawake wanakufa kabla ya wakati kisa ndoa. Halafu usingo mother unaweza kuwa kwenye ndoa na upo singo ni vile tu mnaishi nyumba moja na mume wako na jamii inatambua kwamba mna ndoa. Cha muhimu ni amani na usalama, huyu mwanamke anapigwa,ndoa sio sehemu ya kupeana vipigo. Kukimbia vipigo na manyanyaso sio udhaifu, ni hatua sahihi kabisa ya kulinda usalama wako.
 
Unawaza pesa tu mnyanturu weye
Tafuta zako kijana ili husipakwe mafuta ya upako
Nimesema nina shida na pesa ??

Nimemuuliza muhusika na sijalia mm shida ya pesa mzee.... Tuheshimiane brother

Unafikir ataleaje watoto mwenyew ilihali mwenye watoto yupo ??
 
SIMTAKI TENA!!
Humtaki tena wakati ashakuzalisha makinda wanne??
Mbona kama ni wewe ndo utaingia cha kiume?
Nakushauri utulize hasira uendelee kutunza watoto. Kwa kuwa humpendi naona kama huyo mchepuko anakusaidia ili usilazimike kumpa kila wakati
 
Back
Top Bottom