Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Kama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !

Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !

Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha fasta
Eeeeeh Mungu nifundishe kunyamaza.
 
Ukiona mko kwa mahusiano na unataka kumkomoa mwenzio jua bado uko nae na unampendq na haujafikia standard ya kumove on

Nakushauri leo wanao hakuna mume wa peke yako na tabia yake umeitengeneza wewe
Ukiondoka haijalishi utakuwa umejimaliza maisha

Labda utoke na watoto nje ya hapo umejiua mwenyewe

Kila la kheri na maamuzi yako
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Ushahidi ulionao tayari umekupa jibu ulilokuwa unalitafuta. Sasa usifanye kosa la kugeuza maumivu yako kuwa vita ya kulipizana.

Kama kweli umefika hatua ya kusema “SIMTAKI TENA”, basi ondoka kwa heshima na mpango, si kwa kulipiza kisasi. Usimtese huyo mwanamke, usimtese mume wako, na usianze michezo ya kuwachukulia hela kwa lengo la kuwaumiza. Mwisho wa siku unaweza kujikuta wewe ndiye umeingia kwenye matatizo mapya wakati wao wanaendelea na maisha.

Kama unataka wajue kuwa umejua, huhitaji drama kubwa. Unaweza kumwambia kwa utulivu:

“Nimejua kuhusu mahusiano yako. Sina haja ya mabishano wala maelezo. Nimefanya uamuzi wangu kuhusu maisha yangu, na muda ukifika utauelewa.”

Kisha songa mbele. Usimpe nafasi ya kukuchokoza, kukugeuza mwenye hatia au kukurudisha kwenye mabishano yasiyoisha.

Miaka 10 ya ndoa, watoto, kupuuzwa na hata tukio la kupigwa si jambo dogo. Kama umeamua kuondoka, tumia nguvu uliyonayo sasa kujenga maisha yako, biashara yako na amani yako.

Kisasi kikubwa zaidi si kumtesa mtu; ni kufika siku ukakumbuka yaliyokupitia bila tena kuwa mateka wa hasira zake.

Na kama kuna historia ya ukatili wa kimwili, hakikisha mpango wako wa kuondoka unakuwa wa usalama kwanza—usiutangaze mapema kama unaona unaweza kuwekwa hatarini.
 
Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...
Psychological mumeo atakuwa kalelewa na single mama, au single father, kama sio hivyo kalelewa kwa bibi au kwa ndugu ....... kuna kitu kinapungua kwenye uzani hasa wa mapenzi huyo jamaa alikosa mapenzi ya baba na mama utotoni kama aliyapata basi baba yake alikuwa mkatili anachokufanyia ni input aliyopata utotoni kiufupi watu wa aina hii hawajali hisia za wake zao wala wapenzi wao anachokifanya nikulipiza upendo alioukosa na ngono.
Cha kukushauri:
Achilia msamaha na Mwambie ukweli kumuumiza utaumiza uzao wako na wanao watakuwa kama baba yao maana watakosa malezi ya baba na mama mvumilivu kama wewe wanaume wengi wanafanana usiondoke leo wanao wala usiweke nia mbaya kwa mumeo lia na Mungu wako asimamie ndoa yako ya serikali.
#usiondoke umemudu kwa miaka minne talk to God ,Mungu aendelee kukutia nguvu na uvumilivu.
 
Halafu hii tabia ya ku blame tabia mbovu kwenye maisha ya utotoni iachwe.

Umekuwa mtu mzima na akili timamu behave yourself.

Sababu kwanini watu wa hovyo wanaendelea namna hii I kwasababu ya watu wanaotetea tabia zao za hovyo. Wewe kama unamtetea mtu wa hovyo kisa sijui alikosa upendo utotoni, una haki zote za kuteswa na huyo mtu, na akutese kweli kweli hadi akili ikukae sawasawa.

No excuses. Behave yourself.
 
Kama kuna watu walikutesa ukiwa mdogo, wafuate uwakabili / uwa confront.

Waambie
walichokifanya.

Wawajibishe, kama ni kuwapeleka polisi, au kuwaweka hadharani maovu waliyofanya.

Kama vipi lipiza kwao wenyewe.

Sasa wewe jitie hamnazo waliokutesa unawaacha wanatamba unawafuata wasiohusika my friend, hiyo huruma unatafuta hutoipata zaidi ya kujaza ujazo wa ghadhabu itakayoshuka juu yako maana huna tofauti na hao waliokuumiza, walimuumiza mtu asiye na hatia na wewe unaumiza wasio na hatia. Wote waovu tu.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Robertus Jacobus
Mtaalamu client huyo apo.
 
Chuki humuumiza aliyeibeba! Kama unasepa wewe sepa ila usijipe adhabu ya kutaka kuwaumiza waliokusaliti.

Ukiona watu wameachana kirafiki/kimapenzi halafu mmoja kila siku mapovu yanamtoka basi jua anayetokwa na mapovu ndio kaumizwa na alipendA sana.

Ukimove on, nenda mazima ujipe amani ya moyo. Hao wanaweza wasiteseke vilevile sababu Mungu hatoki kijijini kwenu.
Umemaliza
 
Utajutia maamuzi yako mwaka mmoja tu baada ya kutoka hapo kwa mumeo. Amini ninavyokwambia na nimeshashuhudia hizi kesi nyingi.

Hakuna mwanaume aliyetulia 100%, Anakutunzia heshima tu usijue makandokando yake. We chakufanya mwambie badala ya kuendelea kuzini na huyo mwanamke ni bora akamuo kabisa ili ujue una mke mwenza wa halali.

Kelele za mwanamke (mdomo wa mwanamke) ndio jambo la kwanza linalosababisha wanaume kutoka nje ya ndoa zao..amini
 
Kweli kbs mkuu💪
 
Kwa hiyo kwa maelezo ya mtoa mada huyo mumewe anamtunzia heshima?
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
"badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika."

Hapo☝🏿 ndipo maamuzi ya mustakabali wako yajikite,ona thamani yako na uendelee na maisha yako.

Chochote kibaya unachopanga kufanya kipotezee tu,maana unaweza kuwafanyia na wasiteseke kama unavyodhania hapo utateseka wewe kwa kuona mpango wako umeshindwa.

Na inawezekana ukataka tena kufanya jaribio lingine,hapo utakuwa umeanzisha vita endelevu.
Je hili ndilo unalolitaka? Maana sidhani kama na wao hawatajibu mapigo.

Na utakuwa unaendelea kubeba chuki hata baada ya kuondoka hapo,jua tu chuki ni sumu unayokula wewe ukitegemea imdhuru umchukiaye,utakosa amani ya moyo.

Hiki kisasi unachopanga naamini kinachochewa na hisia za kutaka kuwakomoa,hizi ni hisia za muda mfupi,zisiunde maamuzi yako.

Jamaa huenda au anadhani anakumudu,ondoka kimya kaendelee na maisha yako,kujua kwake umeweza kufanya maamuzi ya kuondoka na akajua hana tena control juu yako ni kisasi au mateso tosha kwake.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom