Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua.

Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda nitamsahau yule aliyekuwa mpenzi wangu, kwa takribani miaka minne sasa nitamsahau na kupata pakuanzia.

Ingawa sikuwa single kwa wakati huo, kuna mtu ambaye nilikuwa naye kwa muda mrefu, alinizidi umri sana na ni mume wa mtu, nilihitaji mtu wakuwa naye huru na kwakuwa huyu mchumba wake alikuwa mbali na mie moyo wa kupenda ulikufa sikuona shida kusogeza muda naye.

Kadiri siku zilivyosonga niliona mwenzangu anazidi kukolea, ikabidi nikate mawasiliano, mana ilifika kipindi anajutia kuwa kwenye commitment.Ni mwezi sasa na siku kazaa tangu aoe, bado ananiganda anataka tuendelee na mahusiano, binafsi siko tayari kuendelea naye nishatumia njia zote kumkatisha tamaa bado kang'ang'ana.

Tafadhari wale wakurusha mawe pita mbali, hapa ni ushauri jinsi ya kunusuru ndoa ya watu idumu tu.

Mwambie umepata mchumba ambaye mmepanga kuoana, so hauwezi kuendelea nae kwako hautaki mchepuko.

Mwambie unahitaji kutulia na hiyo mchumba na unafikiria future yako sasa.
 
We ndo huwexi kumuacha sio.yeye!
Mbona alikuacha akaoa mchumbake??
And do you think ndoa yake ipo taaban kwa ajili yako?
Ameamua tu kukufanya kitonga wake simply bcoz umemruhusu!!

Hapana nilimuacha muda wakati mchakato wakuoa unaanza, hizi vurugu zake ndio zimenifanya nije hapa.
 
mmmhhh!!
kwa sababu una mtu mwingine huyo achana nae!!
tafuta mwingine

Nimeshamuacha ila yeye kukubali ndio kagoma, tayari niko na mtu ila jamaa fujo zake zinanipa hofu.
 
Shostito, ivi kweli mwanamke wakisawasawa atake lake Ashindwee? Mbona unajidanganya? Kaa chini peke yako ujiulize jee kama ninge kua na thamani au ananipenda kweli kwanini asikuoe? Hongera Una moyo sanaaaa mie na wivu huu ...

Hujawahi kukutana na Mwanaume king'ang'anizi, huyu ni kiboko nimetumia ubabe nimegonga mwamba, naitaji njia nzuri nimalizane naye kwa amani.
 
Mwambie unasafr alaf ukifka huko unamwambia nipo kwa ba mdogo huwa hapendi kuongea na sim hususan ukiwa nae au usiku na nyumba haina dali so utapunguza mawasiliano zo utakua hujasafr.akipiga unakata unamtumia txt npo na ba mdogo.Week tuuu anasepa huyoooo.....Unabak huruu unatafuta mwingne akizingua nae unaleta maada yake tuijadl.

Kazini na nyumbani anapajua haitasaidia kitu, mana ndio sehemu anazonishinda kwasasa baada ya kukata mawasiliano.
 
ebu ngoja kdg.... yule mtu mzima unae bado??.... mwambie amuache mkewe akuoe wewe......hofu yangu ni yule mbabu wako of the other side....
 
kwa sababu hata huyo single unayemtafuta utulie nae hujampata na kwa sababu nawe wataka wa kukupa penzi, trust me ukiachana na huyo mme wa mtu utakuja kumuhtaji tena. Masingle nao hawapatikani kirahsi siku hizi

Ninaye tayari mtu ambaye nilimpa nafasi baada ya huyu kuamua kuoa.
 
It begins with you....

Sidhani kama unaweza kuusaidia mchepuko utulie kwenye ndoa yake. Na hilo halikuhusu. Ila, ninaamini unaweza kusitisha mahusiano yako naye in the blink of an eye!! I really thought women are good at this kind of shit.

Its either huna msimamo thabiti au msimamo wako unayumbishwa na hisia za kimapenzi...typical of women.

Katika hali kama hii...tumia kichwa na logic tu!

Hadi nimekuja hapa ujue yamenishinda, nimetumia mbinu zote mwisho wa siku naona ntaumia Mimi nakupoteza nilichonacho.
 
Uamuzi ni wako, umuache au uendelee nae...

Lakini ujue kuwa ANAKUDANGANYA!!
Wanaume wengi ndivyo tulivyo....

Mkuu Eli79 inakuaje unatoa siri za kambi hadharani?
 
Last edited by a moderator:
hebu jikague binti

Hawa wanaume watakutumia tu.... haswa huyo anayekung'ang'ania, kama alikuwa na nia ya dhati asingeoa, angevunja huo uchumba akuoe wewe....

wanaume kiasili wanapenda kumiliki, ukija shtuka jua limezama jitathmini anyway, kama humtaki kwa dhati si unamwambia na kumpiga marufuku kuwasiliana na wewe?

Ikiwemo kumblock kila kona? na hata akija kwako si haumfungulii tu? kiufupi fukuzia mbali, atakasirika ila miezi 2 au 3 atasonga mbele

Miezi 5 tangu nianze kufanya hivyo, Mimi nimzuri kwenye kukatisha tamaa ila hapa nimetumia njia zote zimegoma, wasiwasi wangu kuharibu huku nilikoanza kutengeneza.
 
Nimeshamuacha ila yeye kukubali ndio kagoma, tayari niko na mtu ila jamaa fujo zake zinanipa hofu.

huyo ana mapepo ye kwa nini kaoa sasa?
hebu aende zake huko
nilikua kwenye situation km yako miaka iliyopita
mpk leo regadless nna familia yule mtu anafatafata
akiskia niko home ananitafuta ili ajue km nimetengana turudiane
off course nilipata shida mwanzo kumuacha sana tu imagine nlikua na mimba yake ila mwenzangu akaniwahi na ukabila ukaingia kati kati na yule mshkaji ni celebrity kidizaini hapa bongo
mwenzangu akamchimba biti ntakuuza kwa shigongo
alioa bila sherehe wala tarumbetaa
ananipenda mpk leo ananihudumia sana tu
ashaniambiaga tutoroke bongo tukaishi ht kenya au south but i refused mana namheshimu sana huyu aliyenifuta chozi
 
Sikatai chembe chembe zakumpenda zilianza ndio sababu kuu ya kukata mawasiliano, niliogopa kuzama pasipo na future, mwenzangu naye yu taabani na sasa yupo ndoani nafanyaje kunusuru ndoa yake????

acha kujidanganya. uchumba ni rahis kuvunjika kuliko ndoa. angekuwa taaban asingeoa. ila anampenda mkewe na keshajua ww ni mteremko tu......w kupumnzikia. wake up girl....
 
Uamuzi ni wako, umuache au uendelee nae...

Lakini ujue kuwa ANAKUDANGANYA!!
Wanaume wengi ndivyo tulivyo....

Tangu mwanzo nilitambua hilo, na makubaliano yetu hayakuwa mapenzi, alikuwa na mtu na mimi mapenzi hayakuwepo, imekuwa kinyume, moyo wangu ushafunguka sehemu, kwa hizi fujo zake nikiendelea kujifanya mbabe ntaumia Mimi.
 
Wanawake mnadanganyika sana Mungu awasaidie kwa kweli, yaani mmekuwa kama samaki mnajikuta mmeshavuliwa mko ndani ya nyavu
 
huyo ana mapepo ye kwa nini kaoa sasa?
hebu aende zake huko
nilikua kwenye situation km yako miaka iliyopita
mpk leo regadless nna familia yule mtu anafatafata
akiskia niko home ananitafuta ili ajue km nimetengana turudiane
off course nilipata shida mwanzo kumuacha sana tu imagine nlikua na mimba yake ila mwenzangu akaniwahi na ukabila ukaingia kati kati na yule mshkaji ni celebrity kidizaini hapa bongo
mwenzangu akamchimba biti ntakuuza kwa shigongo
alioa bila sherehe wala tarumbetaa
ananipenda mpk leo ananihudumia sana tu
ashaniambiaga tutoroke bongo tukaishi ht kenya au south but i refused mana namheshimu sana huyu aliyenifuta chozi

Eeee😱
 
Ningekuwa sina mtu isingekuwa shida, kuondoka kagoma namtishia kumlipua kwa mkewe wala hatishiki ila akinilipua mm ndo basi nawaza kujilipua kabla hajanilipua ila sijui Kama ntaeleweka, yamenifika haswa.
 
Wanawake mnadanganyika sana Mungu awasaidie kwa kweli, yaani mmekuwa kama samaki mnajikuta mmeshavuliwa mko ndani ya nyavu

I hope hapa umejumuisha wote mke na mchepuko.
 
acha kujidanganya. uchumba ni rahis kuvunjika kuliko ndoa. angekuwa taaban asingeoa. ila anampenda mkewe na keshajua ww ni mteremko tu......w kupumnzikia. wake up girl....

Si alikuwa TAABANI KIUCHUMI! breaking up with millions needs balls! And he had none! Angempenda mkewe angetulia sio kubembeleza chiu masaa ishirini na nne kama chiu wa mkewe una funye funye vile! Hahahahahaaaa! Lets be honest MKE KAPATA HASARAAAAA. mKE ANA CHIU AFU MUME ANAENDA KUPIGIA MAGOTI CHIU NJE! Wallah naenda kuoga maji ya bahari, tena kwa kuyapigia mbizi niondoe gundu.:lol:
 
mbona simpo sana. wewe jitahidi uanzishe urafiki na mkewe, jamaa lazima ataslow down
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom