Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Fafannua vizuri mkuu kwa kiswahili,samahani unapochanganya lugha sikupati vyema.
Narudia swali alafu jifanye kama unajikuna

Ni manebo ya aina gani wanapenda kuambiwa wanawake wawapo kitandani wakifanyiwa mapenzi?
Dirty words, ongea maneno yoyote but don't show kama una imitate...tena Wanawake wengi hawapendi kuwa na wanaume mabubu kitandani...
 
Fafannua vizuri mkuu kwa kiswahili,samahani unapochanganya lugha sikupati vyema.
Narudia swali alafu jifanye kama unajikuna

Ni manebo ya aina gani wanapenda kuambiwa wanawake wawapo kitandani wakifanyiwa mapenzi?
Anza na maneno matamu like it's all wet baby, its hot, we mtamu mama, nitakupa utamu taratibu... sasa engine ikisha waka ongea ujinga like f***k, km na mengine "machafu" ..

Hapo lazima injini inoki
 
Kwanini ni ngumu kwa mwanamke anaejielewa kupata mahusiano sahihi(ndoa)
 
Mimi na demu wangu tumetofautiana miaka 3 je ni vema kuoana au gap ni ndogo
Kama yuko over 25 Kiakili huyo mwanamke ni mkubwa sana kwako. She is matured mara nyingi zaidi kuliko wewe katika uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo. Ni mzuri kuishi nawe kama utavumilia challenges.
 
Kwanini ni ngumu kwa mwanamke anaejielewa kupata mahusiano sahihi(ndoa)
Kuna sababu nyingi moja standard zake anaweza kuwa ameziweka juu sana kwa hiyo kwa hiyo vigezo vyake ataona kwamba hakuna mwanaume anaweza kuvimeet
Pili, wanakuwa wanahang ambako hakuna wanaume wa kuwaona na kuwaoa

Tatu wanakuwaga wana harakati, wanaume wachache wanaweza kuowa mwanamke mwanaharakati
 
Tangu mwanzo wa ulimwengu hajawahi kuwepo mwanamke bora. Wanawake wote wana uzuri na mapungufu yao.
Unamaanisha including your mother, aunt, grandmother na wengine? Kumbe wanaume wooote tangu dunia iumbwe ni wakamilifu? Nini kinafanya wanaume waende kupiga magoti wakati wa kutoa mahari kwa hawa viumbe wasiokamilika? Kwa nini kuoa badala ya kuchukua tu barabarani sababu hawa viumbe hawaaminiki? Kwanini ulale na mtu usiyemwamini kitanda kimoja?
 
Back
Top Bottom