Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Sijawahi "somasoma vitabu shuleni". Very sorry...Hivi katika somasoma yako ya vitabu shuleni ulishawahi kuona neno 'kuvunja ungo?'
Ila mtaani nimelisikia.
Sijawahi "somasoma vitabu shuleni". Very sorry...Hivi katika somasoma yako ya vitabu shuleni ulishawahi kuona neno 'kuvunja ungo?'
Naomba unisaidie kujibu swali hilo na la mdauKuvunja ungo ni hedhi ya kwanza ya mwanamke. First menstruation
Mleta mada, Kwanini wasagaji wameongezeka siku hizi? Ni raha gani wanaipata?
Kuna sababu nyingi sana moja ni kwamba uwazi umekuwa mkubwa sana na uhuru wa watu kujieleza. So people are coming out
Pili kumekuwepo na movement nyingi za kutetea LGBT
Tatu, vipindi culture inakalibia kufuse. Kwa hiyo watu wamekuwa wakiiga mambo
Nne, Kumekuwepo na kulegea kwa malezi katika familia nyingi
Ndio nimemjibu hivyo kuvunja ungo ni pale mwanamke anapopata hedhi kwa mara ya kwanzaNaomba unisaidie kujibu swali hilo na la mdau
Kwani wewe sio straight?Usimquote mtoa mada ukaniquote mimi nyie straight pipo ni wakorofi sana lol, haya jibu umepewa nakazia kwenye point ya kwanza na ya pili.
Wala sisi sio wakorofi.Usimquote mtoa mada ukaniquote mimi nyie straight pipo ni wakorofi sana lol, haya jibu umepewa nakazia kwenye point ya kwanza na ya pili.
Hahaha nimekwambia ishia hapo hapo wewe mbona hausikii unazidi kwenda mbele tu
Hii kebehi yako nimeichukua. Ila hili somo lipo darasa la sita. Kuvunja ungo ni neno lililozoeleka kwenye jamii yetu ila kwenye vitabu vya sayansi halipo labda kama limewekwa sasa hivi. Ni balehe kwa kijana wa kiume na balehe kwa kijana wa kike period!Sijawahi "somasoma vitabu shuleni". Very sorry...
Ila mtaani nimelisikia.
Yaan nawazoom tu..kwamba mleta uzi anatujua sana au?Naona walokole wanaulizana kuhusu msikiti
🤣🤣🤣Yaan nawazoom tu..kwamba mleta uzi anatujua sana au?
Mkuu sio kila mtu ana dedicate maisha yake kwa wanawake, ni tofauti za binadamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa aisee wengi humu mpo shallow kweli kweli..hakuna raha napoona men anatujua vyema wanawake...
Kuvunja ungo ni hedhi ya kwanza ya mwanamke. First menstruation
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!Kwa nini huwa hawana nauli??
Haha ni shida mamyYaan nawazoom tu..kwamba mleta uzi anatujua sana au?
✌✔Mkuu sio kila mtu ana dedicate maisha yake kwa wanawake, ni tofauti za binadamu
Curiosity killed the catI'm curious my dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamdogoNaona walokole wanaulizana kuhusu msikiti
Sio napinga nayo yaliandikwa kulingana na jamii ya wakati huo so lazima waliweka hayo mambo.Kwaiyo una pinga maandiko!!?
kila Mtu ana mapungufu yake!
Me Mzee wangu aliwahi kuniambia usigombane na Mwana mke wakati mwingine anaweza kukujibu vibaya sababu yupo kwenye siku zake!!
Sijuwi zaidi juu ya hili Mzee naye aliniongopea au!?
Copy hayo maswali yako kama yalivyo kisha njoo upaste kwenye uzi huu,Wala sisi sio wakorofi.
1. Meleta mada kasema inachangiwa na malezi mabovu ni kweli?
2. Je inakuaje mnaiga iga hasa kwenye hizo movement za wasagaji? Hamuoni ni kinyume cha maadili?