Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Sio napinga nayo yaliandikwa kulingana na jamii ya wakati huo so lazima waliweka hayo mambo.
Ni kweli tukiwa kwa siku zote huwa Kuna mabadiliko ya hormone, Kuwa na hasira sometimes kutokujisikia kufanya mambo flani flani. So mzee was right kwa hapo. Kwanini umuchokoze mtu akiwa kwenye mood hzo ndo mana mnaambiwa muishi nasi kwa akili ndo mambo ka haya ya kusoma saikolojia ya mtu. Hata nyie wanaume mna siku zenu mbona
Siku za wanaume
 
Hii kebehi yako nimeichukua. Ila hili somo lipo darasa la sita. Kuvunja ungo ni neno lililozoeleka kwenye jamii yetu ila kwenye vitabu vya sayansi halipo labda kama limewekwa sasa hivi. Ni balehe kwa kijana wa kiume na balehe kwa kijana wa kike period!
Huyo nayeye anajiita 'great thinker'

Nimependa uliposema 'kebehi yako nimeichukua' only matured people wataelewa hiyo, clap clap.
 
Kuna uhusiano gan
Suala la mwanamke kuwa
mnene au mwembamba
na suala la kukojoa kwa haraka,kuchelewa
au kutokojoa kabisa
 
Papa mobimba nimekuelewa, inaonyesha jinsi gani unaitendea haki taaluma yako! leo hutaki ujinga ujinga! nice!
Ngoja tupeane maarifa. Mpaka waseme wote. Tena wakati huu niko likizo ya December. Kuna mtu ana niuliza hapa leo nimekuwa mod wa JF
 
Wanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni mara chache kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kama
1. Kukosa usiri. Wanawake wengi sio watu wa kutunza siri. Wanaweza kutoa siri za familia kwa mtu ambaye hana msaada sana. Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe ana upungufu wa nguvu.
2.Kutumia hisia zaidi kuliko akili. Maamuzi ya wanawake wengi yanafuata hisia zaidi kuliko akili.
3.Wivu.
4.Matarijio ya uongo. ni rahsi sana wanawake kuamini wanayo ambiwa , kuona kwenye tv. kama umewahi kusikai mapenzi ya kwenye tamthilia yalianzia kwa wanawake. WENGI HAWAISHI KATIKA UHALISIA
Naona umenena vema
 
Back
Top Bottom