Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
NgapiNisamehe leo nawaka oder mapema kuanzia sasa hivi kesho, nataka bagia sawa
NgapiNisamehe leo nawaka oder mapema kuanzia sasa hivi kesho, nataka bagia sawa
Ahaha we jamaa maswal yako
Ila poa msalmie mujomba ya intaliya
This comment killed me ...
Nipo najiandaa kufa uwii
Hilariously
Duh ni seme ukweli niliwahi kutana na hicho kilainisho Ila ilikuwa to much broo dah Nisiongeze Neno!!!Hichi ni kilainisho tu
Dont take things too seriously.mkuu mm sipo kama unavyoniwazia..mimi napenda sana kujifunza kwa yule anaeona nakosea..
Njoo mama nieleweshe taratibu ntaelewa tu..au nikuje PM![]()
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanafika kwa mara ya kwanza kileleni wakati wa ujauzito. Chochote kinachotokea wakati wa ujauzito kinasababishwa na mabadiliko ya homoni yanayotokea wakati wa ujauzitoKwanini mwanamke mjamzito
ni mtamu sana,halafu kwann
Mwanamke akishika mimba
Anapenda sex?
Nataka nioe mkuuHusijari kaka yagu!?
Bagia mamdogoNini sasa na wewe baba swalehe
Labda alikuwa popobawakuna siku nime lala kama mida ya saa saba nahisi kunyenge umedinda nafungua macho nakuta mtu kaushika kama handbreak huku machozi yanamtoka hadi leo sielewi alikuwa na maana gani. aligoma katakata kunieleza sababu za kulia na kushika mkunyenge,naomba maoni yako mtaalam


Harusi gani unaniita bila kunipa kadi ya mchango!Nataka nioe mkuu
Karibu kwenye harusi ...
ni viatu vyako tu mkuuHarusi gani unaniita bila kunipa kadi ya mchango!
nitapata wapi ujasiri wa kuomba Konyagi harusini?
Wenzako wanafurahia huo utelezi. Kila mtu ana fleva yakeDuh ni seme ukweli niliwahi kutana na hicho kilainisho Ila ilikuwa to much broo dah Nisiongeze Neno!!!
mkuu mm wala sikumind nilikua namchallenge tu😂😂Alikuwa ana tania
Kila la kheriNataka nioe mkuu
Karibu kwenye harusi ...
ni viatu vyako tu mkuu
Wewe ni ke au me?Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Kumbuka nimesema akili yao iko hivyo kukubali vitu ambavyo vipo imaginable sanaKwa nini mwanamke anaupiga ukweli na kuukubali uongo?
Sure ata hivyo mkuu sija sema ni mbaya!Wenzako wanafurahia huo utelezi. Kila mtu ana fleva yake
Usipende kula vya bure..jitahidi kuchangia hata single 🤣🤣🤣Ok sawa uko kanda gani, maana nina mialiko mingi mwezi huu hata sijui wapi nitaanzia.