mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Wauza ngada wakubwa..hivi kwa nini wapemba wanapenda kukaa chini ya miembe na kujisifia eti wao ndugu zao wako omani?
Wauza ngada wakubwa..hivi kwa nini wapemba wanapenda kukaa chini ya miembe na kujisifia eti wao ndugu zao wako omani?
Nimewai kufika pemba chakechake had Gando. Nilipewa story nyingi lakin nikaambiwa pia sababu ya kuwepo waarab pori wengi (shombe shombe) hata kwenye familia isiyo na mwarab ni kuwa wapemba asilia walikuwa radhi kuwapeleka wake zao kwa mwarab rijari azae na mkewe mtoto wa kiarabu. Kuna ukweli ndugu?
kuhusu majini Pemba ....nilichokiona kule. bas tu. Inasisimua kama hujawai . Na wao wamezoea hiyo mdudu had sielewi. ( there are things you can't comprehend easily). Ilinisaidia lakin kuamin zaid huenda Mungu yupo kweli.
Mkuu mi naomba nisaidie kupata mchumba wa kipemba mwenye asili ya kiarabu..nawapenda sana hawa watu
kwa nini wapemba huwa wanapaka vinyesi makanisa.... mfano kanisa la katoriki lililopo nyuma ya benki Ya pbz chake chake
kwa nini kondomu haziuzwi kwenye maduka ya madawa otc ili hali kesi. za mimba ni nyingi.. ubakaji na vitendo vya. kushoti.
kwenye harakati za kisiasa hasa maandamano kwanini wapemba weeee asili ya kiarabu huwa hawajitokezi. kabisa na huwa hamuwagombezi.... lakini asiposhiriki mweusi. mnamsema saana
Hi ni kweli,maana wengi hawawekezi kwao,ila mikoani wamewekeza.Mkuu, Nimeona wapempa wengi wakitoka nje ya Pemba huwa na mafanikio makubwa na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufanikiwa. Ni wajasirimali hodari. Linalo nishangaza ni kuwa huko Pemba hawakuwa hivyo au hakukuwa na fursa za wao kuwa na ujuzi wa kuweza kufanikiwa wakitoka nje. Jee upi ni muono wako kwa hili ? kwa kweli sijawahi kufika Pemba.
Mwambie na Masharti ya December twaja siku mbili,hahahaAqeelah nimeweka masharti ya kutosha kuhusu kupata mke wa kipemba,pitia vizuri na kama una sifa karibu sana Pemba mm nitakuwa mwenyeji wako kwa hilo.
Inategema,hayo yalikuwa zamani.Me muislamu na nisha Date na bint wa Kipemba akaniambia hutanioa kwetu hawatak mtu wa Bara
Wengi hutumia kujiita Washiraz na Waafrica.Mkuu Pemba majina ya ukoo kama ya Bara hawatumii wanatumia majina ya kiislamu tuu, na makabila yapo lakini huwezi kujua nii wapi wanapatikana makabila hayo ndani ya pemba kwakua wamechanyikana sana na hayakuwekwa kipaumbele zaidi watu wanatumia WAPEMBA tuu.
Mwachie mkuu,hajui kama Kisiwandui Zanzibar ni Mji wa Wamanyema?Hio ndio hali ya wapemba,ukimueleza ukweli anaanza hisia za ubaguzi za kusema unatokea sijui bara, au sijui wewe Mmakunduchi, yaani hupenda sana kuangalia asili,kwa taarifa yako unaongea kitu usichokijua mm ni Mzanzibari halisi kuliko hata wewe,ila naichukia tu dhambi ya ubaguzi ya wa pemba, ila sishangai hii mmerithishwa na Maalim Seif ambae hata yeye mama yake ni anatoka Kigoma, au hujui nikudadavulie.
Mkuu huku hakuna GerezaHivi Pemba kuna gereza? na kuna mahakama?
gereza lina wafungwa?
Aqeelah nimeweka masharti ya kutosha kuhusu kupata mke wa kipemba,pitia vizuri na kama una sifa karibu sana Pemba mm nitakuwa mwenyeji wako kwa hilo.