Wale wapemba weupe kama waarabu wanapatikana sehemu gani? Hapo pemba nataka nije kuowa huko nasikia bila milioni hupati mke na vip tabia zao wanawake wa kipemba? Majbu plz
Nngepend kujua pemba kuna kabila/makabila mangapi ? Ngependa kujua asili ya majina ya ukoo
Me muislamu na nisha Date na bint wa Kipemba akaniambia hutanioa kwetu hawatak mtu wa Bara
Eti ni kwel wapemba wanaooana ndugu kwa ndugu kwa mfano mtoto Wa Baba mkubwa Na Mdogo? Naomba jibu tafadhali
Mimi kuanzia babu mpaka mjukuu tumezaliwa na ndo asili yetu huko. Tunapiga kazi sio mchezo, ila nyie wabongo uaminifu ni zeroNimebuni,mm hawa nimekua nao,nimesoma nao na hadi sasa naishi nao sio kuwasikia tu kama ww
Mkuu,hongera kwa majibu yako mazuri,na tumeshukuru kujitosa kifua mbele kujaribu kutoa ufafanuzi.
Yoote uliyoulizwa ndiyo ambayo yanawatambulisha Nyie wapemba kwamba ndivyo mlivyo.Umejitahidi kufafanua lakini ki ukweli Wapemba hamuwezi kujisafisha na tukawaelewa.
UBAGUZI
Hili hauwezi kudanganya,Nyie ni wabaguzi sanaa,hamna tofauti hata chembe na wahindi.Mfano ni hapahapa Maeneo mnayoishi Dar,wapemba mmekuwa ni watu wakujitenga kwa kutojichanganya na wa wabara,nyie mnakuwa karibu na watu wengine kwa sababu za kibiashara tu!,nje ya hapo ni nyie wenyewe.Huwezi kuta mpemba ana ukaribu wa ndani na mbara,labda mia kwa mmoja.Nenda kwenye masoko, mfano ya Samaki,mpemba yupo tayari amuuzie mpemba mwenzie kwa bei ndogo kuliko wewe mbara kwa bei kubwa.Hivi sisi wabara tungekuwa kama nyie maana yake mchaga asingejuana na mkurya!,Huko nje ya nchi ukikutana na Mpemba yeye hujifanya si mtanzania tena atampenda Mkenya au taifa lingine si wewe mbara.
UDINi
Mpemba anaweza akakusikiliza kidogo akijua wewe ni muislam,na hii ni kwa huku bara huko visiwani utaitwa Chogo,kwenye suala la dini kwenu ni kipaumbele kuliko Elimu ya kawaida.Mwanamke wa kipemba kama wewe si muislam humgusi nguo hata kwa bahati mbaya kwa madai unamtoa Udhu.
Nina jirani yangu mpemba,mwanae alipata shule ya secondary moshi,aligoma kumpeleka kwa madai kuwa ni ya kikristo,tena shule yenyewe ni kati ya best school na haina masharti ya Dini.Shule ina sifa zoote ila mtoto hapelekwi kwa vile ni ya kikristu!.
Haya niliyoandika sijahadithiwa ni kwa ushahidi nimeyaona, na si kwa Mpemba mmoja wengi ndivyo mlivyo,Mifano mingine tunasikia kwenye vyombo vya habari,mnachoma mabaaa kwa madai ya Ukafiri,ina maana ukafir ni kwenye pombe na nguruwe peke yake?.Je hili la kubaguana kwenye misikiti na misiba,ni Mungu gani anasema tubaguane kwa ajili ya siasa.Inasemekana suala la ushoga limetamalaki huko kwenu mbona hatusikii mkilitolea matamko.Kama vile hatoshi inasemekana mwanamke wa kipemba mkianza urafiki,kabla ya ndoa atakupa nyuma mbele hakupi kulinda ubikra. Kama ni kweli hamuoni huu ni ukafir kuliko hayo mengine?
Kwangu mimi haya hunidaganyi,nilichokigundua ukarimu mnaouonyesha mbele ya macho ya watu,ni wa kinafiki ili kufanikisha mambo yenu.
Pia uzuri, asa wao wanataka waje kuoa tusiangalie hivo vigezo. Kila kitu kina vigezo, sisi ndo tulivofunzwa, wao wanaona ubaguzi. Hapo Tanga dada zetu wengi wameolewaUkoo wako haujulikani! Tumeambiwa katika kuoa tuangalie.. Dini, mali na nasaba...
Hapa kwenye nasaba basi atlist watu wajue huko kwenu .. Wajue wazee wako.. Wajue tabia zenu...
Mimi ni mtu wa Tanga tumeoa pemba!
Ubaguz Tu hakuna loloteUkoo wako haujulikani! Tumeambiwa katika kuoa tuangalie.. Dini, mali na nasaba...
Hapa kwenye nasaba basi atlist watu wajue huko kwenu .. Wajue wazee wako.. Wajue tabia zenu...
Mimi ni mtu wa Tanga tumeoa pemba!
OK nashkur kwa maelezo Makin sasa hata wakijenga bandari itasidia kupunguza majanga yanayotokea eneo hilo?Mkuu Nungwi ni kiunganishi cha mzunguko mkubwa wa bahari ya Tanga,Pemba na Unguja hapa maji yanazunguka hayaeleweki. Kiukweli panatisha na sio kwa manahodha tuu hata abiria. Tuombe Mungu sana awe anatuvuusha salama kwenye mkondo huu na hasa katika kipindi hiki.
Serikali ingeweka bandari nungwi kuwa kiunganishi cha Unguja na Pemba iwe rahisi kufika kwakua sehemu hii kama itakuwa na bandari ni Dakika 40 tuu itakua safari ya Unguja na Pemba Imekamilika.
Kweliuongo
UongoNi masaa2 kutoka Mkoani Pemba port kwenda Stone town
Sasa kama anafahamu au yeye ni mpemba anakatazwa kujibu. Mimi nimefika Pema kwa kweli nikisiwa cheny mandhari mazuri mnoo. Na wapemba ni watu wanaopenda kazi ni wajasiriamali na ndio maana hata bara maduka yao yanashamiri! Ila tu naona hawajajenga kwao sana sasa hiyo sijui ni kwanini?Mbona Wewe kimbele mbele sana Wewe ndio uliotoa Uzi huu ngoja aliye leta awajibu waulizaji
Sasa kama anafahamu au yeye ni mpemba anakatazwa kujibu. Mimi nimefika Pema kwa kweli nikisiwa cheny mandhari mazuri mnoo. Na wapemba ni watu wanaopenda kazi ni wajasiriamali na ndio maana hata bara maduka yao yanashamiri! Ila tu naona hawajajenga kwao sana sasa hiyo sijui ni kwanini?
OK nashkur kwa maelezo Makin sasa hata wakijenga bandari itasidia kupunguza majanga yanayotokea eneo hilo?
Ivi ukiwa unaenda Pemba ni lazima upite hapo mkuu
Huyo nishamswameh Nami kama nliteleza naomba mniswameh ndugu zang ktk imaan na ndugu zang ktk utu na ubinadamSasa kama anafahamu au yeye ni mpemba anakatazwa kujibu. Mimi nimefika Pema kwa kweli nikisiwa cheny mandhari mazuri mnoo. Na wapemba ni watu wanaopenda kazi ni wajasiriamali na ndio maana hata bara maduka yao yanashamiri! Ila tu naona hawajajenga kwao sana sasa hiyo sijui ni kwanini?
sio wabara wote wabaguzi,ni wale waliojaa chuki na elimu duni,hivyo mkuu kuwa na amaniwabara kwa ubaguzi hamuwezekani asilani!! mara wapemba wavivuu Mara wabaguzi Mara tunazaa sana wengine wanasema wapemba magaidi sie tulii tunawaangalia tu