Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,578
Hilo limeshajibiwa rudio post za nyuma hukoSuali kwa nini wapemba hawa ipendi ccm
Hilo limeshajibiwa rudio post za nyuma hukoSuali kwa nini wapemba hawa ipendi ccm
SUMU ITAKAYOANGAMIZA WANA TUNDURU HII HAPA: sulphur yakupulizia mikorosho yenye viambata vya sumu inauzwa sokoni pamoja na bidhaa zingine kama maharagwe na dagaa n.a. unga wa mahindi! Hupimwa kama sukari na vumbi lake huingia kwenye vyakula HIVYO! Kamati ya ulinzi n.a. usalama ya wilaya INAANGALIA TU KAMA VILE HAWAONI!Wewe kweli wawajua wapemba mwanzo mwisho! Mzee wa jiwe!
Mbona Kimara DSM wamejaa Wachaga mkuu, Mbagala wamakonde. Hawa nao tuwaite wabaguzi???Wewe mtoa posti ni muongo wewe si mpemba wa hujawahi kuishi pemba labda unenda kutembea au kusoma historia katika vitabu sawa usidanganye watu hapa .mimi binafsi naishi unguja nimezaliwa mwaka 1958 .sehemu moja inaitwa kikwajuni bondeni .mtaa wa kwangwengwe .wale watu wa umri wangu wazaliwa wa kikwajuni wataufamu huu mtaa ni maarufu enzi hizo sababu kuna bwana mmoja maarufu alikuwa kwa kuuza pombe ya gongo enzi zile hapa unguja tunaita tende .upo mimi binafsi nimezaa na mpemba ninaye mtoto wa kiume na nimefika pemba mara mbili na nawajua wapemba nje ndani ni ukweli usiofichika ni wabaguzi sana wanaundani sana wanapenda kujenga sehemu moja wao pekee yao hata hapa unguja ukija wanayo maaeneo yao maaluum .mfano jang'ombe .daraja bovu.kinuni.mto pepo .hezo sehemu nilizozita ni wao watupu kabila nyengine ni wa kutafuta wachufu mno hata yalipotokea mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu sehemu hizo nilizozitaja wagonjwa wengi wametoka huko .
Zanzibar na pemba shughuli zao kubwa ni uvuvi na biashara. kulima kwao ni kwa kujikimu sasa kama wana visiwani hao wangekuwa wavivu hizo biashara zao zilizoshamiri bara na visiwani zinaendeshwa vipi? Hebu nenda ferry angalia wakojani/watumbatu walivyokuwa mahiri kwenye fani hiyo. Kuhusu kilimo cha biashara ni karafuu na hili ni zao la msimu na mikarafuu haipandwi kila mwaka.watu wabara wengi tabia zao na tamaduni zao zinamashaka sana, lakini pia kumbuka wapo wabara kibao wameoa wapemba masikini kwa matajiri. wao wanachoangalia sana je tamaduni zao (dini hasa) itazingatiwa?? mwanawao atalelewa vyema au ndio kipigo kama punda??? wakiridhika na mambo yako na tabia zako hata ukitaja jahazi zima utapata. kazi kwako
Jee umeshawahi kwenda pemba? hayo mambo ya uchawi umeyaona au umehadithiwa. Kuhusu sifa ya uchawi mbona kuna sehemu nyingi bara zinasifiwa kwa hilo na bado watu wanaishi na kwenda kuoa huko na hayo msemayo wengi wao hawajayashuhudia. Kuhusu pemba kuthamini uarabu siyo kosa kama vile makabila ya pembezoni kuna mengine yanapenda kujinasibu ni nchi jirani? Hili siyo kosa. Kihistoria, Ufalme wa zanzibar himaya yake ilianzia kaskazini mashariki ya kenya hadi kilwa. Na ukweli hata mombasa ilikuwa chini ya utawala wa zanzibar hadi 1962. Katika himaya hiyo kulikuwa na muingiliano mkubwa kati ya watu hawa na waarabu.washirazi,wagunya, watumbatu wabarawa, wamvita, wamtangata na wamrima etc. Walioleana sana kiasi kwamba hata tamaduni zao zikaingiliana kutengeneza tamaduni mpya na kwa kiwango kikubwa kikifuata desturi za kiislamu. Hivyo kusema kuwa wanashabikia uarabu siyo sawa kwani hata wamakonde wa kusini wanashabikia msumbiji sana tu na hilo siyo kosa[zamani kigoma walikuwa wanashabikia burundi na zaire hilo nalo halikuwa kosa kwani kulikuwa na muingiliano mkubwa wa watu toka sehemu hizo.nawapenda wapemba kwa mambo yafuatayo-
1-ukarimu
2-mademu wazuri
3-msimamo
4-ni wepesi kusema NO
wanapokandamizwa..huwezi kuwanyanyasa wakakupigia makofi
5-hata ukiwanyima ajira serikalini hawawezi kua ombaomba,wanajua kuitafuta hela
6-wanauwezo wa kuteka maeneo ya maadui kibiashara bila wenyewe kushituka
LAKINI..
nawachukia kwa yafuatayo..
1-uchawi
2-kuthamini imani za waarabu kupitiliza
SUMU ITAKAYOANGAMIZA WANA TUNDURU HII HAPA: sulphur yakupulizia mikorosho yenye viambata vya sumu inauzwa sokoni pamoja na bidhaa zingine kama maharagwe na dagaa n.a. unga wa mahindi! Hupimwa kama sukari na vumbi lake huingia kwenye vyakula HIVYO! Kamati ya ulinzi n.a. usalama ya wilaya INAANGALIA TU KAMA VILE HAWAONI!View attachment 367263
Nauli shilingi toka Dar.to Pemba
Kwa nin mazingira yenu ya .migahawa kule jikoni ni kuchafu sana
Kwa nn shule zao nyingi zinashika mkia...??
Siri ya Jiko au Uchafuu tSiri ya jiko hiyo, Lakini chakula si kinakua kitamu?
Mkuu ni majini ya asili ambayo yamezunguka kisiwa cha Pemba chote, hawa ndio viumbe walioitawala Pemba kabla ya binadamu. Hawa majini wanapatikana Pemba miaka hiyo walipokuja waarabu ndio waliokua wanawatumilia kwa mambo yao ya biashara na maisha yao ya kila siku.