Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

uvivu ndio unachangia sana watu kuzaa ovyo hususani mikoa ya pwani uzaliana sana na ndio mikoa inayoongoza kwa uvivu..naomba unijibu ili swali mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume ana uwezo kurutubisha yai?
Naona kama mikoa ya mwanza shinyanga ndio ina idadi kubwa ya watu hao si wavivu na hawazaliani ila wana photocopy machine tu!
Kwa nguvu za kiume ndio unaweza kuzalisha mtu hata zikipungua kwa maana ni shuti moja tu linalohitajika ,sasa kwa watu wa pemba na kwa ruksa ya dini yao one kidume anaweza kuwa na 4 jikez na akazishughulikia pasi na kutetereka na anauwezo wa kuwazalisha kwa kadri atakavyo jaaliwa tofauti na jamii zingine pamoja na ukware wao hako kamoja tu lazima wawasioiane na muuza mkuyati!
 
Wapemba wabaguzi sanaaaaaa hapo huwezi kuniambia chochote mpaka nikuelewe....nimeishi nao,nimesoma nao,na mpaka sasa nipo nao,hawafai hata kidogo,wanapenda sana kujiona wao ni watakatifu sana kuliko wabara kumbe hamna kitu,manake siku hz hata wabara wengi wanaoa na kukuza familia na waarabu lakini wapemba.......?!!!acha kabisa,kuna mmoja alikuwa ananiletea hoja za kibaguzi nimempa fact za kidini mpaka sasa hv anakiri kweli wanafanya makosa....hapo siwezi waelewa kwa kauli yoyote kwa sababu nawajua vilivyo.
 
Nliwah kuwa na dem wa kipemba ni mzur sio siri na alikuwa ananipenda xana ila chakushangaza ni kuwa ndugu zake walpofaham kama npo nae wakampiga marufuku kabisa yeye kuwa na mmi kwasababu mmi ni mkristo na wao wanamtaka muislam mwenzao, Sasa nauliza kwanini wazaz wengi wakipemba hawataki binti zao wawe na mahusiano na wanaume wa dini ya kikristo?? na hata ndoa za kiserikali hawazitaki?
Nakwanin hata ikitokea mwanamke amelazimisha kuishi na mwanaume wa kikristo wao wanamtenga kabisa na ukooo?
 
Wewe mtoa posti ni muongo wewe si mpemba wa hujawahi kuishi pemba labda unenda kutembea au kusoma historia katika vitabu sawa usidanganye watu hapa .mimi binafsi naishi unguja nimezaliwa mwaka 1958 .sehemu moja inaitwa kikwajuni bondeni .mtaa wa kwangwengwe .wale watu wa umri wangu wazaliwa wa kikwajuni wataufamu huu mtaa ni maarufu enzi hizo sababu kuna bwana mmoja maarufu alikuwa kwa kuuza pombe ya gongo enzi zile hapa unguja tunaita tende .upo mimi binafsi nimezaa na mpemba ninaye mtoto wa kiume na nimefika pemba mara mbili na nawajua wapemba nje ndani ni ukweli usiofichika ni wabaguzi sana wanaundani sana wanapenda kujenga sehemu moja wao pekee yao hata hapa unguja ukija wanayo maaeneo yao maaluum .mfano jang'ombe .daraja bovu.kinuni.mto pepo .hezo sehemu nilizozita ni wao watupu kabila nyengine ni wa kutafuta wachufu mno hata yalipotokea mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu sehemu hizo nilizozitaja wagonjwa wengi wametoka huko .
 
Ahsante , Mihiga ila ningependa zaidi ungeniuliza swali lolote linalohusiana na Pemba ili kujiridhisha zaidi kama kweli mimi natoka Pemba au la?
suala linalosemwa la ubaguzi wa maeneo yao kuwa Wapemba wanakaa sehemu zao peke yao na ni kama wanajitenga eti kwa sababu ni wabaguzi, jibu lake nimesema ikiwa mimi Mpemba nimepata sehemu ya kujenga nzuri na haina tatizo ikitokea sehemu nyingine ambayo ipo karibu yangu ni lazima wa kwanza kumpa atakua ni ndugu yangu. na hili limesababisha umewaona Wapemba wanakamata maeneo kila siku, na sababu kubwa tuseme hata kipato chao kinatosha kufanya hivo kama wangekuwa hawana uwezo hio mitaa wasingeweza kuinunua na kuwahamisha wengine kwa sababu hawawaondoshi watu kwa kutumia nguvu. Haya mambo ya kuwaita ndugu zako sehemu sio kwa Mpemba tuu ni watu wa aina zote wanafanya hivo ila kasi ya Mpemba ni kubwa sana ndio ikaonekana inaleta madhara kwa wengine au wengine kuona wivu, na maneno mengi sana.
 
Wewe mtoa posti ni muongo wewe si mpemba wa hujawahi kuishi pemba labda unenda kutembea au kusoma historia katika vitabu sawa usidanganye watu hapa .mimi binafsi naishi unguja nimezaliwa mwaka 1958 .sehemu moja inaitwa kikwajuni bondeni .mtaa wa kwangwengwe .wale watu wa umri wangu wazaliwa wa kikwajuni wataufamu huu mtaa ni maarufu enzi hizo sababu kuna bwana mmoja maarufu alikuwa kwa kuuza pombe ya gongo enzi zile hapa unguja tunaita tende .upo mimi binafsi nimezaa na mpemba ninaye mtoto wa kiume na nimefika pemba mara mbili na nawajua wapemba nje ndani ni ukweli usiofichika ni wabaguzi sana wanaundani sana wanapenda kujenga sehemu moja wao pekee yao hata hapa unguja ukija wanayo maaeneo yao maaluum .mfano jang'ombe .daraja bovu.kinuni.mto pepo .hezo sehemu nilizozita ni wao watupu kabila nyengine ni wa kutafuta wachufu mno hata yalipotokea mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu sehemu hizo nilizozitaja wagonjwa wengi wametoka huko .
Mkuu mm si mpemba lakini hoja yako haina mashiko.
Kujenga sehemu moja kwa kabila fulani ktk miji ambayo si yakwao kiasili haitoshi kuhukumu ni ubaguzi na kujitenga.
Hapa Dsm kuna makabila mengi sana lakini ukienda kimara utakuta wachaga wengi wamejenga hapo.
Ukienda maeneo ya kipunguni utakuta wakurya wengu ukienda segerea utakuta wajaluo wengi ukienda geza na mpaka mbutu utakuta wanyamwezi nk.
Hii swala la kujenga kabila fulani sehemu fulani lipo sehemu nyingi tu sio hapo znz tu.
 
hivyo ndivymn walivyo kaka,hata mimi yamenitokea nikauliza kwa nn familia yao haitaki mimi mbara???? akasema ooohoo tuna mila na desturi tofauti???? alivyoniambia hvyo nikaona ameisha kabisa....nikampeleka kwenye Quraan tunaambiwaje kuhusu mila na desturi????? akanijibu simply mungu anatuambia sisi waislamu tufate mila ya baba yetu ibrahimu ambao ni uislamu na mungu ameuleza katika vitabu vilivyotangulia....nikamwambia sasa unampinga mungu wako mlezi????? finally akaogopa kwa hizo fact na wakajiona hawana jipya kupambanishwa na mungu....
 
Afadhali hata waarabu siku hizi wameelimika na wanaolewa na watu tofauti,nina babu yangu ameoa mwarabu na kazaa nae watoto wakubwa tu,mjomba angu kaoa binti mwenye asili ya kiarabu anamtolea watoto mixer lakini siyo waarabu wa kisiwa cha kibaguzi.....na ilikuwa karibia tubebe na mwarabu mgunya wa mombasa hawana hata matatizo ktk mahusiano lakini siyo wapemba wamenitoka kabisa.
 
Baada ya Unguja kuibuka kidedea mkiani ktk matokeo ya kidato cha 6, VIPI HALI YA PEMBA?
 
Nliwah kuwa na dem wa kipemba ni mzur sio siri na alikuwa ananipenda xana ila chakushangaza ni kuwa ndugu zake walpofaham kama npo nae wakampiga marufuku kabisa yeye kuwa na mmi kwasababu mmi ni mkristo na wao wanamtaka muislam mwenzao, Sasa nauliza kwanini wazaz wengi wakipemba hawataki binti zao wawe na mahusiano na wanaume wa dini ya kikristo?? na hata ndoa za kiserikali hawazitaki?
Nakwanin hata ikitokea mwanamke amelazimisha kuishi na mwanaume wa kikristo wao wanamtenga kabisa na ukooo?
Na ww hapo ndo umeuliza swali?
 
Back
Top Bottom