Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Napakumbuka hostel za makonyo chake chake nilikaa mitaa Ile miezi miwili pia naikumbuka shule ya Fidel Castro labda njoo unieelezee historia ya hii shule kidogo ya Fidel Castro maana kwa majengo ni nzuri saana kuliko shule karibu zote za serikali Dar es salaam hii.
 
Yakhe nasikia huko Pemba, Wapemba wakiwa katika mchezo wa Pool Table huwa hawasimami kama ilivyo kawaida ya mchezo wenyewe, na kama ikitokea kuna Mpemba kasimama basi anaweka ndoo kwa nyuma, kuna ukweli hapa? Lakini pia nasikia Wapemba ni washirikina sana, nadhani hili ndiyo la muhimu lenye kuhitaji majibu.
Kama wapemba washirikina sumbawanga jeee
 
Hili si jibu fafanua kwa maelezo ya kutosha kwanini sio asilli ya msumbiji. Ukisema tu uongo ni kama nawe unabisha tu.
Hilo ndo jibu.
Dababu hukumwambia discuss wala explain.
Uliuliza swali tu.
Na kuna mifumo mitatu ya kujibu swali.
 
Inachukua muda gani kusafiri kwa boti kutoka Pemba kwenda Unguja?
Inategemea na usafir utakao tumia.
Kama ni ndege dakika 25.
Kama boat masaa mawil na nusu maximum time.
Kama ni mameli ya kawaida tu.
Masaa manne hadi sitaa.
 
Mkuu, Nimeona wapempa wengi wakitoka nje ya Pemba huwa na mafanikio makubwa na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufanikiwa. Ni wajasirimali hodari. Linalo nishangaza ni kuwa huko Pemba hawakuwa hivyo au hakukuwa na fursa za wao kuwa na ujuzi wa kuweza kufanikiwa wakitoka nje. Jee upi ni muono wako kwa hili ? kwa kweli sijawahi kufika Pemba.
Kwasababu wale wote wasokua wapemba akili zao haziwatoshii.
Hawajui kuzitumia resources inavyotakiwa kwa maslahi na maendeleo ktk jamii.
Pia wamemba wanaangalia sana maisha na maendeleo na sio starehe ngono na kilevi kisichokua na mipaka wala wizi usokua na kificho uporaji na mengineo.
Na bila pirika zao wapemba zikiwemo zankibiashara mlobaki nyote hamlii.
Coz hao wapemba ndo wanaokutumeni nyny mkapata tonge na wakezenu nyumbani.
 
Imekuaje wapemba huko ndo mmeongoza matokeo ya form six kutoka mkiani?
Kwan hao wabongo wamepass kwa akili zao ama wamepelekewa mitihan majumban mwao.
Na kupangiwa matokeo kama nyanya sokon.

Hiv inakwaje mbongo hata akapata A 10 bodi haina discussion.
Ila kwa mpemba akizipata A 3 tu.
Tayar anaekwa kikaangoni.
Ilikuaje akazipata...kwan hana akili.
Angalifikia huko.
Ndo mana wabongo Mumetumbuliwa majipu saana awamu hii.
Na badooo.
Mutafukuzwa makazini vyuwoni na mpaka majumbani mwenu.
Sababu akilizenu sizoo.
Soma kwa akili yako ili upate kijitetea ukitumbuliwa.
Lakin unavutwa mkono na babu yako then ukishikwa unabakia kumlaumu Rais.
 
Wapemba huwa wanakuja na majahazi yao Tanga kwa biashara nahua wanafikia guest house za barabara ya nne na ya tano
Chakushangaza huchelewa kurudi kwa kuchapa lager na vidada poa,je Pemba hakuna baa na vidada poa?
 
M


Mkuu kuhusu suala la huo mchezo wa pool table sio kweli, na Ushirikina walionao wapemba sio wa kwenda kwa mganga wa ndunguli, wao kama ikitokea umefanyiwa ushirikina inawezekana hata yeye mwenyewe mpemba asijue kama kakufanyia, kwakua wengi wa wapemba wana majini ya asili vichwani mwao, ila hawa huwa hawana tatizo ila pale utakapomsumbua kichwa chake.
NENO
 
Wapemba huwa wanakuja na majahazi yao Tanga kwa biashara nahua wanafikia guest house za barabara ya nne na ya tano
Chakushangaza huchelewa kurudi kwa kuchapa lager na vidada poa,je Pemba hakuna baa na vidada poa?
Tatozo nyny mnahafalika na hela za wapemba ndo mana mnatoa hayo mashimo yenu ng'ande mkapata angalau hela ya ugali.

Na juhusu leger huo uongooo.
Na mtatiwa mimba nyote ni wapemba mkifanya tamaa zenu hizoo.
 
Mtu anasema wapemba wavivu wakati Dar bila wapemba hakuna kitu, Bakhresa mpemba, kariakoo yote imejaaa wapemba wapemba ni sawa na wachagga, ni sawa na kusema wachagga wavivu wakati nchi wameishika kwa biashara za kijasiriamali, ni mji gani wasiopo wapemba kibiashara? ngumi wako fiti chokoza mpemba utolewe meno
 
unajibu kw ahisia sana kama vile umelazimishwa kujibu wakati wewe ndo ulosema uulizwe..pia huwezi kua fea sababu ww tayari ni mpemba....in short ni wabaguzi wa rangi mpaka damu,,,,,wabinafsi,,,,wachoyo
 
Back
Top Bottom