Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Mkuu, Nimeona wapempa wengi wakitoka nje ya Pemba huwa na mafanikio makubwa na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufanikiwa. Ni wajasirimali hodari. Linalo nishangaza ni kuwa huko Pemba hawakuwa hivyo au hakukuwa na fursa za wao kuwa na ujuzi wa kuweza kufanikiwa wakitoka nje. Jee upi ni muono wako kwa hili ? kwa kweli sijawahi kufika Pemba.
 
AlhamduliLlah katika safari zangu za hapa na pale nimefika Pemba na nikapapenda sana na nikajenga urafiki wa kufa na kufaana na Wapemba wengi.

Kusema za haki, Wapemba ni wakarimu sana, kisiwa chao ni super green na kizuri sana, vyakula vyao pia vizuri.

Baada ya kwenda kwa mara ya kwanza Pemba kama miaka 20 iliyopita na udugu nilioujenga na Wapemba basi AlhamduliLlah haipiti mwaka nakwenda mara mbili au tatu.

Ma sha Allah.
 
Samahani mkuu,umeuliza khs pemba lakin pia unguja watakua ni majiran zako na unawajua vzr,swali langu ni je mbona shule za unguja wamefeli sana??tatizo nn hasa,nimetanguliza samaha coz ulitaka khs pemba najua unaweza kunisaidia mkuu
 
Kwakua hakuna Ushindani mkubwa sana baina za shule z Unguja na Pemba kuhusu kupasi na kufeli, wanatakiwa waongeze jitihada, Wanaweza wakafanya vizuri hata baadae wakielewa makosa yao.
 
nikupe mfano mdogo tu baba yupo nyumba hana kazi yoyote amekaa tu unategemea nini zaidi? lazima akili ita-focus kwenye ngoni tu?
Nimekaa mikoa yote ya pwani na ninaifahamu vizuri sana ni wavivu kupindukia na wanapenda sana ngono kuliko kazi,vile vile kumbuka ukiwa mtu wa kazi hauwezi kuwaza ngono kila muda tofauti ukiwa hauna kazi.
Lakini kidoogo labda asili yao ya dini ndio vinavyowafanya wazaliane kwa wingi

Mkuu wafanyakazi wengi wanafanya ngono hadi maofisini inakuaje? sio jibu la msingi
 
Mkuu, Nimeona wapempa wengi wakitoka nje ya Pemba huwa na mafanikio makubwa na wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufanikiwa. Ni wajasirimali hodari. Linalo nishangaza ni kuwa huko Pemba hawakuwa hivyo au hakukuwa na fursa za wao kuwa na ujuzi wa kuweza kufanikiwa wakitoka nje. Jee upi ni muono wako kwa hili ? kwa kweli sijawahi kufika Pemba.

Sababu ya Wapemba kufanikiwa wakiwa nje ya Pemba sio kwakua Pemba hakuna biashara, Hii bidii inakuja mara nyingi kwa shida aliyoiacha kwao, na huwa wanaondoka kwa kujipanga vizurii kimaisha , pili waswahili huwa wanamsemo wanasema "mtu hachumi kwao" huu msemo tukiuchambua hautomaliza usiku huu.
 
Mambo yafuatayo yanawafanya wapemba kuonekana wanapenda siasa.

Kuonekana wachawi.

Wanazaa sana.

Wabaguzi.

Wachafu.

Hawajengi kwao.

Hizi ni propaganda za kupindukia.Ni wapemba asilimia kubwa ndio wana mashirikiano na pande zote Tanzania.
Wapemba wameshika Dini na uchawi kwa kiwango kinachotajwa si kweli.
Miundo mbinu ilicheleweshwa sana,Kiasi mpaka miaka hii ya 2000s walitumia generators na barabara mbovu na finyu.Wanabaguliwa pakubwa kwenye kazi kiasi cha kua wajiri wa taasisi za serikali hukimbilia zaidi cheti cha kuzaliwa hata kabla kukagua certificates za masomo.Suala la uchafu si kweli mana maambukizi ya kipindu pindu yapo chini.Kuhusu kuzaa sana ,Tanzania nzima ilikua ina tatizo hili kabla(ndio mana kukawa na taasisi nyingi zinazo endesha mpango wa uzazi wa mpango )mbona haziku dominant Pemba tu?.
Wameonekana ni wapinzani wakubwa ni kwa sababu tu hii ndio njia halali ya kutumia demokrasia kudai mabadiliko ya kiuchumi na kueleza mawazo mbadala.
 
nikupe mfano mdogo tu baba yupo nyumba hana kazi yoyote amekaa tu unategemea nini zaidi? lazima akili ita-focus kwenye ngoni tu?
Nimekaa mikoa yote ya pwani na ninaifahamu vizuri sana ni wavivu kupindukia na wanapenda sana ngono kuliko kazi,vile vile kumbuka ukiwa mtu wa kazi hauwezi kuwaza ngono kila muda tofauti ukiwa hauna kazi.
Lakini kidoogo labda asili yao ya dini ndio vinavyowafanya wazaliane kwa wingi
Baba yupo nyumba hana kazi yeyote sijui ulimaanisha nini, ila kama ulimaanisha hafanyi kazi yeyote, je anaiendeshaje familia yake, alijengaje nyumba anayoishi, na kama amepanga ana mudu vipi kulipa kodi. Kuhusu dini hapa umeonyesha uwezo wako mdogo kujua mambo, sioni utendaji kazi na Dini kunauhusiano gani. Kama hivyo basi nchi nyingi za kiarabu ambako waislamu wengi wapo, zingekua maskini sana, hata Tanzania Tungezizidi. Nikufahamishe tu ukitaja matajilli sita Tanzania, wengi watakuwa Waislamu.
 
Back
Top Bottom