NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
nasikia pemba wanaishi wangazija wengi je ni kweli? kama kweli ni eneo gani wanapatikana kwa wingi?
Wewe walishawahi kukufanya iyo kitu?WANAPENDA KUFANYA NGONO KINYUME NA MAUMBILE YANI tiGO?
Hili kwa upande wako unaliona ni sahihi????????Hili wengi hamlijui:
Sheria ya Ardhi haimruhusu mtu yoyote wa Tanzania Bara kumiliki Ardhi,akitaka inabidi afuate taratibu kama Foreigner mwingine kama vile Mkenya au Muingereza.
Ili kumiliki ardhi ni lazima uwe Mzanzibar.
-Ila kwa upande wa Tanzania bara,sheria ime generalize kwa wote.
Hope wanasheria mtatujuza zaidi
Hiyo misemo ya kiswahili ndo inayo wavuruga akiliMkuu lisemwalo lipo. Mbona inajulikana tuu east africa nzima? ukanda wote wa pwani umeharibika sio mombasa wala wazaramo, zanzibar n.k
mkuu nimekuuluza post [HASHTAG]#261[/HASHTAG] huhajibuView attachment 366523 View attachment 366523
Nimeamua kuja hapa rasmi kuizungumzia hali ya Kisiwa cha Pemba kimazingira, Uchumi,Afya,elimu, utamaduni na watu wake. Nimezaliwa Pemba eneo moja la kaskazini mwa kisiwa hiki chenye urefu wa wastani wa kilomita 95, Ni kisiwa chenye amani iliyorithiwa na sio ya woga. Watu wake ni wakarimu sana, lakini sio watu wanaopenda kuendeleza elimu kama msingi wa maisha yao. Hususani ni kipindi hicho ambacho tulikua tukisoma sisi sasa hivi ni tofauti kidogo zaidi kwa watoto wa kiume. Kwa upande wa watoto wa kike wazee hawaweki kipaumbele cha elimu.
Pemba imejigawa Miji mikuu 3, mizuri sana yenye huduma zote za jamii inayojitosheleza. Miji hii imejigawa na nikutoka kilomita 18 hadi mji mwingine. kwakua Miji hii imejigawa unaweza ukifika ukasema Pemba hakuna Maendeleo lakin Maendeleo yapo sababu kuu ya kutoyaona maendeleo hayo ni kila Mji na watu wake na Mambo yakeView attachment 366635 .View attachment 366631 View attachment 366632View attachment 366634 Bahari ya Pemba ni Blue yenye beach nzuri sana, ikiwa ina navisiwa vidogo vidogo ndani yake.
Idadi ya Watu wa Pemba kwenye sensa ya mwaka 2012 ni 406,808 ingawa wengi kipindi kile hawakujiandikisha.
View attachment 366728 View attachment 366729 View attachment 366730 View attachment 366731 View attachment 366732
Nimejifunza mengi sana katika maisha yangu ninayoishi pemba, kwakua nakielewa kisiwa hiki utandu na ukoko vizuri sana kuanzia ncha ya kusini mwa kisiwa mpaka kaskazini mwa kisiwa. Nimevutiwa kuweka bayana hapa kuhusu Hali yote ya pemba kwa sababu:
Nimepata changamoto nyingi niliposafiri sehemu tofauti watu wengi wana shauku ya kuijua Pemba na wapemba wakoje, wengi wanawaona wapemba kama hawasomeki au hawaeleweki, wengi wanawaona wapemba wana msimamo si watu wa kuyumba, wachawi ni watu wa kujituma.Wabaguzi hawapendi kujichanganya na wengine.
Nina majibu ya kutosha kuhusu hayo hapo kwa ufupi, ninapenda ukiwa na chochote ambacho umewahi kusikia kuhusu Pemba au kukukutokea niulize, nitajibu majibu yasiyopendelea upande wa kwetu au kujinasibu kwa majibu ya kejeli kwa wengine. nimeishi na watu tofauti nimesoma mazingira na tabia za watu wengi sana.View attachment 366637 View attachment 366639
Std 3 ndo nimeishiaMkuu une elimu gani?
Si unajua wapemba hawataki kusoma, mi mpemba hua tunashughulika na madrasa tu, hiyo elimu dunia tunawaachia nyinyiMkuu une elimu gani?
nasikia pemba wanaishi wangazija wengi je ni kweli? kama kweli ni eneo gani wanapatikana kwa wingi?
ni biashara gan ambazo nikitokazo bara zinamzunguko mkubwa hapo pemba
Kweli kabisa ulisemalo sisi ni vilaza sana, wasomi wa elimu dunia sisi (wapemba) tunawaona ni hatari na ndio maana tuliwachoma moto wale watafiti kwa kuwaona ni wanyonya damuNdo maana nyinyi ni vila*za. Vichwa vyenu vipo wazi na mnafeli sana mtihani wa form 4
"Sisi wapemba" ndo tulioishukuru serikali kwa kuchagua jua lipatwe kwetu, na kupendekeza mwakani serikali ichague tena kwetu kama sehem ya kupatwa jua, hii ni kutokana na ukilaza wetu wa kukataa shuleNdo maana nyinyi ni vila*za. Vichwa vyenu vipo wazi na mnafeli sana mtihani wa form 4
Nasikia wapemba mnajuana kwa vilemba..ni kweli?uchafu hauhusiani na wapemba!! kwani tukisema Tanzania mafisadi hiyo inamaanisha wote mafisadi?
Mnaiga ustaarabu wa waarabu kwa kupenda taarabu sioHiyo misemo ya kiswahili ndo inayo wavuruga akili
Aliekuambua taarab asili yake ni waarabu ni nani? Vipi na hao ndugu zenu huko bara kina isha mashauzi na wenzake nao ni wapemba?Mnaiga ustaarabu wa waarabu kwa kupenda taarabu sio
Siongelei taarabu kama muziki. Kamuulize Afande Sele ktk mkuki moyoni alimaanisha taarabu gani ambayo waaarbu wanaipenda ambayo ndo wapemba wanaisujudu.Aliekuambua taarab asili yake ni waarabu ni nani? Vipi na hao ndugu zenu huko bara kina isha mashauzi na wenzake nao ni wapemba?
Sina muda huo? Afande sele ndo mdudu gani?Siongelei taarabu kama muziki. Kamuulize Afande Sele ktk mkuki moyoni alimaanisha taarabu gani ambayo waaarbu wanaipenda ambayo ndo wapemba wanaisujudu.
Naona unaanza mipasho ya kipemba. Yani wapemba bhana. Yakheee na taarabu yakheeeSina muda huo? Afande sele ndo mdudu gani?
Kwaheri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Naona unaanza mipasho ya kipemba. Yani wapemba bhana. Yakheee na taarabu yakheee