Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Kama hujui anatomy phtsiology utaona uchawi tu aisee
Sidhani mzee..Anatomy basic tu ukiijua Physiology unasoma fresh tu..na wakati wa kusoma physiology muda mwingine ndo unaielewa na anatomy vizuri.

Mimi physiology nilikuwa nateleza tu,ila anatomy ile kukariri kariri ilikuwa inashosha aisee..
 
Pole mkuu,anatomy ni rahisi sana ukiwa unaelewa na sio kukariri
Mkuu kwanza Hongera sana..unaijua fani yako kwa kiwango cha ajabu sana
pili...nimshuku fungi na carcinoma kama sijakosea walikua wanajazia jazia

swali langu kimsingi lipo nje kabisa..naomba sana unijibu..
1. Hiyo fani kuisoma inahitaji IQ kubwa sana? maana naona ni ngumu na ww uko deep sana

2.kwa kuilewa anatomy ulishawahi kuwaza kwamba alieutengeneza mwili wa binadamu ni lazima awe na akili isio ya kikawaida...maana ni very complicated.
?
 
Asante sana mkuu.
Kwa kujibu maswali yako ni kwamba kusoma au kuelewa anatomy unatakiwa jambo la msingi usome uelewe kila kitu na usikariri au hata kama ukikariri iwe ni njia tu ya muda mfupi labda kwaajili ya kujibia exam,ila kwa kiasi kikubwa lazima uelewa kwasababu anatomy huwa huwezi kuitenganisha nikimaanisha utakachokisoma leo kwenye topic ya misuli utakuja kukitumia au kukihusisha na topiki nyingine kama mifupa,mishipa ya fahamu na mishipa ya damu,hivyo basi usipoelewa ukakariri lazima tu utashindwa kuelewa vitu vingi.

Swali lako la pili.
Kwakweli aliyetuumba viumbe ambavyo ni pamoja na sisi binadamu alitumia akili sana,viungo vyote mwilini vimewekwa sawia na vinaenda kwa spidi na mpangilio mzuri kabisa na vyote vinashirikana,kuhakikisha hatupti shida kama magonjwa,ajali,mawazo....
 
Nikweli ila inategemeana na mtu aliekufundisha pia.
Ushauri wangu kama unataka kujifunza kutu,usimeze slides,au pamphlets,SOMA VITABU VINGI,ANGALIA VIDEO ZA LECTURES YOUTUBE, TUMIA GOOGLE,elimu imekuwa rahisi sana kutokana na kuimalika kwa teknolojia.
 
Swali langu lipo kwenye mboo, tunaambiwa wanapiga nyeto Wana hatari ya kupoteza uwezo wa kuisimamisha hiyo inakuwaje maana naona hiki kiungo ni mikusanyiko wa misuli na mishipa ya damu, jaribu kutuelezea kwa mtazamo wa anatomy
 
Mpiga nyeto anaweza kuendelea kipiga nyeto hadi anazeeka na dushe litakuwa linasimama vizuri tu kila anapotaka kupiga nyeto..

Kushindwa kusimamisha anapokutana na mwanamke kunasababishwa na ubongo wake tu(psychological effect)...taarifa kutoka kwenye ubongo kushindwa kufanya damu kujaa kwenye uume vizuri.
 
Physiology nyanya kwangu kisanga ilikua pathology..[emoji16]
Sidhani mzee..Anatomy basic tu ukiijua Physiology unasoma fresh tu..na wakati wa kusoma physiology muda mwingine ndo unaielewa na anatomy vizuri.

Mimi physiology nilikuwa nateleza tu,ila anatomy ile kukariri kariri ilikuwa inashosha aisee..
 
Mbona nimekujibu vizuri tu mkuu.
Ishu iko hivi ukishika moto ubongo unakuambia umeshika moto,ukishika barafu vivyo hivyo...hayo yote yanatokea sababu ubongo umepelekewa taarifa kutoka hiyo sehemu yenye moto au barafu.
Kinachotokea kwa mtu mwenye homa ni kwamba zile taarifa zinazopelekwa kwenye ubongo zinatafsiriwa kama "Mwili una baridi" kumbe uhalisia ni mwili una joto.
Na ukumbuke kwamba ubongo utakavyo tafsiri hisia yoyote hata kama ni uongo ndivyo jinsi mwili mzima utakavyoielewa.

Ndiyo maana unaweza kukuta mtu amekatwa mkono kwenye kiwiko halafu akaja akakwambia vidole vya ule mkono vinauma wakati hata vidole vyenyewe havipo.
Phantom Sensation/Pain
 
Mpiga nyeto anaweza kuendelea kipiga nyeto hadi anazeeka na dushe litakuwa linasimama vizuri tu kila anapotaka kupiga nyeto..

Kushindwa kusimamisha anapokutana na mwanamke kunasababishwa na ubongo wake tu(psychological effect)...taarifa kutoka kwenye ubongo kushindwa kufanya damu kujaa kwenye uume vizuri.
Asante mkuu kwa majibu mazuri umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom