Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

1)Kwa nini binadamu akiumwa homa anajiskia baridi ila ukimgusa mwilini ni wa moto inasababishwa na nini..??

2)Kwa nini virusi vya ukimwi vikingia kwnye mwili wa binadamu vinaenda moja kwa moja kukaa kwnye DNA.??

3) Kwa nini inakuwa vigumu kuviuwa virusi vya ukimwi vikiwa kwnye DNA.??

4)Kwa nini Binadamu akienda chooni kujisaidia haja kubwa lazima haja ndogo itoke kwa nini.??

5)Kwa nini binadamu akila chakula lazima abeuwe kubeuwa inasababishwa na nini..??

6)Kwa nini magroup ya damu yametofautiana...??

NB:nimekuliza maswali marahisi sana nataka nijue je ww kweli ni mtu wa medicine afu ndo tuje sasa kwnye maswali ya kibabe ya medicine..
sisi wasakatonge tunasubr majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Physiology hiyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
Umenikumbusha Byabato na Lufukuja wa pale Kairuki aiseee daaah sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3.Kwasababu tayari vinakuwa kama sehemu ya cell za mwilii hivyo huwezi kuuwa virus bila kuharibu cells

Sent from my Huawei mate 9
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg

What was included in the original Pepsi-Cola recipe?
 
Hii ni anatomy kweli
ok kunalingine

1.Differentiate between the anatomy of the heart and the physiology of the heart. What is an example of an anatomic structure in the heart? Elaborate about how that structure allows the heart to work the way that it does.
2. How does the heart electrical system is regulated by heart rate and what is role of sinoatrial (SA) node and atrioventricular node in heart's electrical system?
 
Hahahaha ww jamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
Muanzisha uzi, taja msuli wenye nguvu kuliko yote katika mwili wa binadamu
 
What is the function of xiphoid process

Kuna hii kitu kwa kiswahili tunaita kajembe kanakuwa chini ya ribs wanasema kakilala mtu anakosa nguvu,upungufu wa damu na generally inakuwa dhaifu
Ukienda hospital utaambiwa hawaoni ugonjwa lakini waganga wa mitishamba wanajua kukatibu kajembe...kukainua
Mimi sina totally...although sina hizo symptoms
What are your thoughts
 
hahaa kajembe tena mzee baba
 
mkuu chiniya kifua juu ya tumbo mitaa ya diaghram waswahili kuna kitu wanaita kijembe...ni kama karungu hivi kamesimama ukikagusa...sasa kakilala mtu anaishiwa damu anakonda au anapata magonjwa mengine na afya mbovu...chaajabu akienda hospital hawaoni ugonjwa ila dawa za kienyeji wanakanyanyua tena...sasa naomba kujua hako kajembe kwa kitaalamu kanaitwa nini na kuna ambao hawana?maana mimi hakapo
 
Mkuu naona unafufua uzii
 
What is the function of xiphoid process

Kuna hii kitu kwa kiswahili tunaita kajembe kanakuwa chini ya ribs wanasema kakilala mtu anakosa nguvu,upungufu wa damu na generally inakuwa dhaifu
Ukienda hospital utaambiwa hawaoni ugonjwa lakini waganga wa mitishamba wanajua kukatibu kajembe...kukainua
Mimi sina totally...although sina hizo symptoms
What are your thoughts
Inabidi madaktari waende kwa waganga wakienyeji waone hiko kitu kinainuliwa vipi na ni dawa gani zinatumika 😀😀
 
Back
Top Bottom