Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

mkuu chiniya kifua juu ya tumbo mitaa ya diaghram waswahili kuna kitu wanaita kijembe...ni kama karungu hivi kamesimama ukikagusa...sasa kakilala mtu anaishiwa damu anakonda au anapata magonjwa mengine na afya mbovu...chaajabu akienda hospital hawaoni ugonjwa ila dawa za kienyeji wanakanyanyua tena...sasa naomba kujua hako kajembe kwa kitaalamu kanaitwa nini na kuna ambao hawana?maana mimi hakapo
Nisame ukweli sijakuelewa mkuu
 
ok kunalingine

1.Differentiate between the anatomy of the heart and the physiology of the heart. What is an example of an anatomic structure in the heart? Elaborate about how that structure allows the heart to work the way that it does.
2. How does the heart electrical system is regulated by heart rate and what is role of sinoatrial (SA) node and atrioventricular node in heart's electrical system?

Naomba nijibu swali la pili, swali la kwanza ni rahisi kidogo lakini maelezo yake ni marefu
1.The heart rate zinakuwa regulated na zinakuwa controled na speed ya electrical impulses ambazo zinazalishwa na SA node,Kazi ya SA node ni kuzalisha electrical impulses ambazo zitasababisha contractio ya Atrium and Ventricals, speed ya electrical impulses inategemea na shughuli anayofanya mtu muda huo,pia inategemea na kiwango cha homoni fulani muda huo,lakini pia itategemea na hali ya autonomic nervous system ikoje muda huo.

Kazi ya AV node ni kupokea electrical impulses na kuzisambaza kwenye Ventricals lakini kazi kubwa kabisa ni kupunguza speed ya electrical impulses kutoka kwenye Atrium ili kuzipa muda kidogo ziweze kujaa damu Ventricals kabla ya contraction kutokea.
 
Rudi darasani mkuu
Sawa mkuu,shule lazima nitarudi tu
20210106_143404.jpg
 
well, gdtry
Naomba nijibu swali la pili, swali la kwanza ni rahisi kidogo lakini maelezo yake ni marefu
1.The heart rate zinakuwa regulated na zinakuwa controled na speed ya electrical impulses ambazo zinazalishwa na SA node,Kazi ya SA node ni kuzalisha electrical impulses ambazo zitasababisha contractio ya Atrium and Ventricals, speed ya electrical impulses inategemea na shughuli anayofanya mtu muda huo,pia inategemea na kiwango cha homoni fulani muda huo,lakini pia itategemea na hali ya autonomic nervous system ikoje muda huo.

Kazi ya AV node ni kupokea electrical impulses na kuzisambaza kwenye Ventricals lakini kazi kubwa kabisa ni kupunguza speed ya electrical impulses kutoka kwenye Atrium ili kuzipa muda kidogo ziweze kujaa damu Ventricals kabla ya contraction kutokea.
 
Cranial nerve type mnemonic

Some says mary money but my brother says big business matters most

S=sensory
M=Motor
B=Both Motor and sensory

1.Sensory
2.sensory
3.motor
4.motor
5.both
6.motor
7.both
8.sensory
9.both
10.both
11.motor
12.motor
 
Branchial plexus mnemonic

Really Tired, Don't Care Now

Root
Trunck
Division
Cord
Nerve

Root= C5-T1
Trunk=Upper, middle and lower
Division=Anterior and posterior divisions
Cord=Lateral,medial and lateral
 
Nerves

SAME DAVE

sensory=afferent
Motor=efferent
Dorsal =Afferent
Ventral=efferent
 
Proximal Row of carpal bones

Mnemonic
From lateral to medial/radial side to ulner side.

She Likes To Play

Scaphoid
Lunate
Triquetral
Pisiform

Nb.Pisifom iko juu ya Triquetral

Distal row of carpal bones

Mnemonic
From lateral to medial/ radial side to ulner side

Try To Catch Her

Trapezium
Trapezoid
Capitate
Hamate

Nb.Trapezium articulate with only the thumb.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
Naomba kitabu kizuri cha anatomy natama nianze kuimeza mwakani niende shule nianze MD 1
 
Proximal Row of carpal bones

Mnemonic
From lateral to medial/radial side to ulner side.

She Likes To Play

Scaphoid
Lunate
Triquetral
Pisiform

Nb.Pisifom iko juu ya Triquetral

Distal row of carpal bones

Mnemonic
From lateral to medial/ radial side to ulner side

Try To Catch Her

Trapezium
Trapezoid
Capitate
Hamate

Nb.Trapezium articulate with only the thumb.
Sally left the part to take Cindy home

Nlkua natumia hii mnemonic
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
[emoji23][emoji23]daah , anatomy and physiology hizi Mambo zilinitesa Sana chuoni
 
Back
Top Bottom